Wengine wametoka kwenye service mkuu. Wapo hata wa 50yrs, unakosea sana kuona 25yrs ni ming au nyie ndo mnawaona wanachuo kama wanafunzi wa kidato fulan?Tz watu wanachelewa kuanza shule..miaka 25 hujamaliza digirii. Au ulitokea kazini
Hapana mkuu ni Tandabuihuko ni Udom hahahaaa
Siku nyingine nyie vijana wa mkoani mliokuja mjini kupata elimu ya juu muwe mnajanjaruka....demu akishakuambia "nisindikize mahali" mkimbie huyo kama huna hela mana utaishia kuja kulalamika hapa....We mzee niaje? Una elimu kiasi gani?tuanzie hapo kwanza nisije kuwa nabiashana la nne D[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Mzee baba umetisha kinomaaaaUkizingatia na hii hali ya uchumi wa vi wonder[emoji1] [emoji1] [emoji1] [emoji1]
[emoji23] [emoji23] [emoji379]"TAKE YOUR TIME LITTLE BOY"
Ndio maana tunaitwa nchi masikini. Mtu unakua tegemezi mpaka una miaka 26Inaonekana we mgeni nchi hii haiwezekani mtu kuwa na miaka 25 unashagaa kwann hajamalza degree, umesahau kuna above 30 bado wapo mtaani wana reseat QT.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] jf rahaaa sanaWe mzee niaje? Una elimu kiasi gani?tuanzie hapo kwanza nisije kuwa nabiashana la nne D[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
Elimu kiasi gani[emoji274]
Ok Nina elimu kilograms 3
Kwanza mkuu kisaa chako kimenchekeshaa sana.akaniandikia ujumbe "take your time little boi"Kwanza naezaa sema wewe ni mtumwaa wa mapnzi,kwann nasema hivo??Yani umeenda na MTU ambaye sio mpnz wako,kakuomba hela tena35000 halaf wewe unataka mkae mzunguko et kama atakbali muwe wapenz poa...very stupid boi.....halaf tena kakwambia take your time little boi.sasa unataka ushaur gan?au unataka uende ukaumie??badae ujelilia hapa jukwan shame on youKwema wakuu!!
Mm ni kijana wa kiume umri ni 25 nipo chuo fulani mwaka wa tat kozi moja ya biashara, Sasa kuna huyu dada tulijuana tangu akiwa first year yy yupo degree ya nursing kwasas nae yupo mwaka wa tat!
Kisa kipo hvi tulionana juzi hapahapa chuoni kidg tukapiga story mbili tatu za kawaida tu na kubadilishana namb za simu maana tangu tuonane hyo first year ikubukwe tulipotezeana kabis huku kila mtu akikomaa na masomo kwa upande wake hvo hadi juzi ndo imetokea tu tupo tunapiga story baada ya kukutan cateen,baada ya story hyo juzi tuliagan na kuahidiana tutaonana tukipata mda na tang hyo juzi tumekuwa tukitumiana sms za kusalimiana tu basi,leo mda wa saa sita mchna nikawa nimepokea ujumbe wake ukinitaka nimusindikize mjini kwa kuwa kuna kitu anaenda kuchukua basi nami bila hiana nikamwambia asijal,nikawa nimetoka gheto kwang hadi hostel kwake anapo ishi basi tukaonana safari ya mjini ikafata hadi dukani kwa muuza viatu vya kike basi ile tumefika akanambia nimsubiri nje japo nilishangaa kdg kwann nimsuburi kwa nje wakt duka ni ka viatu wala hakna pichu kwamba atanionea aibu kununua,nikawa nimesubir kwa nje cha ajabu hakuchukua mda sana akawa katoka na kudai hakuwa na pesa na kuna kiatu kakipenda kinauzwa 35000.
Kiukwel nilishangaa sana kwa maana mm huyu dada wala siyo mpenzi wang inakuwaje nimpe pesa yote hyo pasina makubaliano ya kwamba labda namkopesha au pengine tumekuwa wapenzi ilibidi nimtaka tutafute sehem tukae kwanza kwaajil ya makubaliano khs mm kumpa pesa lakn alikataa na kulazimisha nimpe kwanza pesa anunue viatu and then tutaongea baadae,kdg mm nilistuka kumpa pesa maana nilijua italeta utata ukizingatia hatuna makubaliano yyte mm na yy.
Mm nilitaka tukae tuongee kama anakubali kuwa mpenzi wang hapo poa lakn siyo kumpa pesa halaf baadae anikane kwa kusema mm na yy hatuna mahusiano,mwishoni aliondok kwa njia yake nami nimepita njia yangu nadhan tutakutana chuoni[emoji1][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] .... Ila kanitumia sms inasema "Take your time little boy "
Ushauri nifanyeje? Ni mtafute baadae nimshawish awe mpenzi wang maana kaubika yaan ni mtoto mkali au niuchune tu?
Acha ujinga Mkuu unamshaur nini hapo?au wewe ulitaka Ampe?achà ushuhamama wewwmwaka wa 3 cos ya biashara huna elfu 35 umeaaplly wap mambo ya class.UMEJISHUSHA VWANGO MKUU
Huwezi amini mkuu mfukoni nilikuwa na kama 80k lakn pia nilikuwa na kadi ya bank iliyo na pesa nyingi za matumizi,, hvo usidhani sikuwa na pesa sema ndo hvo siwezi kumpa mwanamke pesa kidezidezi hvo... Hayo fanya ww boya.Nimegundua sio kwamba hukutaka kumpa hiyo 35,000 bali hukuwa na hela. Siku nyingine tembea na float 100,000, kijana wa chuo unatembea na mia nane hamsini ya nauli