Hawa warembo wa chuo ni hatari sana!

Hawa warembo wa chuo ni hatari sana!

No inategemea. Mm mwenyew na uwezo nilionao , ukanipiga tukio kama hilo. Nakukataa mchana kweupe, naweza hata kukukana kuwa sikujui.

Huyo dada amekosa staha, style gani hiyo aisee? amemdharau mchiz
Inawezekana ila huyo denti hela hana
 
Elimu ya Tanzania inaelekea kaburini, kijana wa mwaka wa tatu degree huwezi hata kuandika ukaweka nukta?

Mpaka kufikia Hapo ulikuwa unaandikaje report za field, research na assignment zako?

Hatari sana hii!
We mzee niaje? Una elimu kiasi gani?tuanzie hapo kwanza nisije kuwa nabiashana la nne D
 
Kwa usawa huu mdogo wangu 35000 si pesa ndogo hiyo ni nauli ya kutoka hapa mwanza kwenda dar es salaam take care ungempa angeishia kusema ahsante afu huko mbele kaka nyingi zinafuata!
 
Elimu ya Tanzania inaelekea kaburini, kijana wa mwaka wa tatu degree huwezi hata kuandika ukaweka nukta?

Mpaka kufikia Hapo ulikuwa unaandikaje report za field, research na assignment zako?

Hatari sana hii!
Wewe unaejua kuweka nukta ni nani Tanzania hii??
Au wewe ndio Waziri mkuu Majaliwa?

Wazee wengine hata mchana unaweza kukuta haujala lakini maneno mengiii ya kukashifu watu.
 
Kula mchana ndipo akili yako ilipoishia dogo?

Ikipita mchana bila Kula au hata Cku nzima Kuna shida?
 
Elfu 35 halafu bumu unapewa laki 2 kwa mwezi . Bado hujala na kulipa kodi.
Dah this is nat fair
 
Kwema wakuu!!

Mm ni kijana wa kiume umri ni 25 nipo chuo fulani mwaka wa tat kozi moja ya biashara, Sasa kuna huyu dada tulijuana tangu akiwa first year yy yupo degree ya nursing kwasas nae yupo mwaka wa tat!

Kisa kipo hvi tulionana juzi hapahapa chuoni kidg tukapiga story mbili tatu za kawaida tu na kubadilishana namb za simu maana tangu tuonane hyo first year ikubukwe tulipotezeana kabis huku kila mtu akikomaa na masomo kwa upande wake hvo hadi juzi ndo imetokea tu tupo tunapiga story baada ya kukutan cateen,baada ya story hyo juzi tuliagan na kuahidiana tutaonana tukipata mda na tang hyo juzi tumekuwa tukitumiana sms za kusalimiana tu basi,leo mda wa saa sita mchna nikawa nimepokea ujumbe wake ukinitaka nimusindikize mjini kwa kuwa kuna kitu anaenda kuchukua basi nami bila hiana nikamwambia asijal,nikawa nimetoka gheto kwang hadi hostel kwake anapo ishi basi tukaonana safari ya mjini ikafata hadi dukani kwa muuza viatu vya kike basi ile tumefika akanambia nimsubiri nje japo nilishangaa kdg kwann nimsuburi kwa nje wakt duka ni ka viatu wala hakna pichu kwamba atanionea aibu kununua,nikawa nimesubir kwa nje cha ajabu hakuchukua mda sana akawa katoka na kudai hakuwa na pesa na kuna kiatu kakipenda kinauzwa 35000.

Kiukwel nilishangaa sana kwa maana mm huyu dada wala siyo mpenzi wang inakuwaje nimpe pesa yote hyo pasina makubaliano ya kwamba labda namkopesha au pengine tumekuwa wapenzi ilibidi nimtaka tutafute sehem tukae kwanza kwaajil ya makubaliano khs mm kumpa pesa lakn alikataa na kulazimisha nimpe kwanza pesa anunue viatu and then tutaongea baadae,kdg mm nilistuka kumpa pesa maana nilijua italeta utata ukizingatia hatuna makubaliano yyte mm na yy.

Mm nilitaka tukae tuongee kama anakubali kuwa mpenzi wang hapo poa lakn siyo kumpa pesa halaf baadae anikane kwa kusema mm na yy hatuna mahusiano,mwishoni aliondok kwa njia yake nami nimepita njia yangu nadhan tutakutana chuoni .... Ila kanitumia sms inasema "Take your time little boy "

Ushauri nifanyeje? Ni mtafute baadae nimshawish awe mpenzi wang maana kaubika yaan ni mtoto mkali au niuchune tu?
hii kwa sie wataalamu wa draft tunaita force king kitendo cha kukuacha nje ya Duka nakuja kukutajia bei kwa nza kakuona lofa Na kwakua uumetaja umri wako sina chaka.na maelezo yako
 
Broo Mzaleee karibu katika utu uzima kaka, sasa umeshakuwa mtu mzima rasmi kabisa. Wanaume hatuvunji ungo kama wadada zetu sisi tunavunja ungo kwa kupevuka kiakili na kuwa na maamuzi magumu na yakishujaa kama ya kwako. Umenifurahisha sana leo mimi kaka yako, uwe na msimamo kama huo kwenye maisha yako na utafanikiwa sana kaka.
 
Hapo ungenunua viatu unabaki nazo ww unampitisha hostel kwako unammwagia viwili unampa viatu unachukua vitabu unaingia class hapo unakuwa umekula mtoto mzuri kwa gharama ndogo ....ila sambi sako mwenyewe
 
Elimu ya Tanzania inaelekea kaburini, kijana wa mwaka wa tatu degree huwezi hata kuandika ukaweka nukta?

Mpaka kufikia Hapo ulikuwa unaandikaje report za field, research na assignment zako?

Hatari sana hii!
Unafananisha assignment na thread ya jf? Kwenye assignment anapata marks,na hapa anapata nini?
 
Kwema wakuu!!

Mm ni kijana wa kiume umri ni 25 nipo chuo fulani mwaka wa tat kozi moja ya biashara, Sasa kuna huyu dada tulijuana tangu akiwa first year yy yupo degree ya nursing kwasas nae yupo mwaka wa tat!

Kisa kipo hvi tulionana juzi hapahapa chuoni kidg tukapiga story mbili tatu za kawaida tu na kubadilishana namb za simu maana tangu tuonane hyo first year ikubukwe tulipotezeana kabis huku kila mtu akikomaa na masomo kwa upande wake hvo hadi juzi ndo imetokea tu tupo tunapiga story baada ya kukutan cateen,baada ya story hyo juzi tuliagan na kuahidiana tutaonana tukipata mda na tang hyo juzi tumekuwa tukitumiana sms za kusalimiana tu basi,leo mda wa saa sita mchna nikawa nimepokea ujumbe wake ukinitaka nimusindikize mjini kwa kuwa kuna kitu anaenda kuchukua basi nami bila hiana nikamwambia asijal,nikawa nimetoka gheto kwang hadi hostel kwake anapo ishi basi tukaonana safari ya mjini ikafata hadi dukani kwa muuza viatu vya kike basi ile tumefika akanambia nimsubiri nje japo nilishangaa kdg kwann nimsuburi kwa nje wakt duka ni ka viatu wala hakna pichu kwamba atanionea aibu kununua,nikawa nimesubir kwa nje cha ajabu hakuchukua mda sana akawa katoka na kudai hakuwa na pesa na kuna kiatu kakipenda kinauzwa 35000.

Kiukwel nilishangaa sana kwa maana mm huyu dada wala siyo mpenzi wang inakuwaje nimpe pesa yote hyo pasina makubaliano ya kwamba labda namkopesha au pengine tumekuwa wapenzi ilibidi nimtaka tutafute sehem tukae kwanza kwaajil ya makubaliano khs mm kumpa pesa lakn alikataa na kulazimisha nimpe kwanza pesa anunue viatu and then tutaongea baadae,kdg mm nilistuka kumpa pesa maana nilijua italeta utata ukizingatia hatuna makubaliano yyte mm na yy.

Mm nilitaka tukae tuongee kama anakubali kuwa mpenzi wang hapo poa lakn siyo kumpa pesa halaf baadae anikane kwa kusema mm na yy hatuna mahusiano,mwishoni aliondok kwa njia yake nami nimepita njia yangu nadhan tutakutana chuoni .... Ila kanitumia sms inasema "Take your time little boy "

Ushauri nifanyeje? Ni mtafute baadae nimshawish awe mpenzi wang maana kaubika yaan ni mtoto mkali au niuchune tu?
Wape hi madogo wenzio hapo chuoni, ushauri wangu, soma sana, soma sana,soma saaana
 
Back
Top Bottom