Hawa warembo wa chuo ni hatari sana!

Hawa warembo wa chuo ni hatari sana!

mwaka wa 3 cos ya biashara huna elfu 35 umeaaplly wap mambo ya class.UMEJISHUSHA VWANGO MKUU
 
Vitu vidogo kama hivi unaleta humu?! alitaka kuona responce yako tu! ungetake it eazy! kwani a bottle of grants unanunuaga ngapi?! kakudharau! kama umeshindwa mguuni kwake tu,utaweza katikati?! kakutega kakuona boya! pengine angekupa hata bure tu!
 
Kwema wakuu!!

Mm ni kijana wa kiume umri ni 25 nipo chuo fulani mwaka wa tat kozi moja ya biashara, Sasa kuna huyu dada tulijuana tangu akiwa first year yy yupo degree ya nursing kwasas nae yupo mwaka wa tat!

Kisa kipo hvi tulionana juzi hapahapa chuoni kidg tukapiga story mbili tatu za kawaida tu na kubadilishana namb za simu maana tangu tuonane hyo first year ikubukwe tulipotezeana kabis huku kila mtu akikomaa na masomo kwa upande wake hvo hadi juzi ndo imetokea tu tupo tunapiga story baada ya kukutan cateen,baada ya story hyo juzi tuliagan na kuahidiana tutaonana tukipata mda na tang hyo juzi tumekuwa tukitumiana sms za kusalimiana tu basi,leo mda wa saa sita mchna nikawa nimepokea ujumbe wake ukinitaka nimusindikize mjini kwa kuwa kuna kitu anaenda kuchukua basi nami bila hiana nikamwambia asijal,nikawa nimetoka gheto kwang hadi hostel kwake anapo ishi basi tukaonana safari ya mjini ikafata hadi dukani kwa muuza viatu vya kike basi ile tumefika akanambia nimsubiri nje japo nilishangaa kdg kwann nimsuburi kwa nje wakt duka ni ka viatu wala hakna pichu kwamba atanionea aibu kununua,nikawa nimesubir kwa nje cha ajabu hakuchukua mda sana akawa katoka na kudai hakuwa na pesa na kuna kiatu kakipenda kinauzwa 35000.

Kiukwel nilishangaa sana kwa maana mm huyu dada wala siyo mpenzi wang inakuwaje nimpe pesa yote hyo pasina makubaliano ya kwamba labda namkopesha au pengine tumekuwa wapenzi ilibidi nimtaka tutafute sehem tukae kwanza kwaajil ya makubaliano khs mm kumpa pesa lakn alikataa na kulazimisha nimpe kwanza pesa anunue viatu and then tutaongea baadae,kdg mm nilistuka kumpa pesa maana nilijua italeta utata ukizingatia hatuna makubaliano yyte mm na yy.

Mm nilitaka tukae tuongee kama anakubali kuwa mpenzi wang hapo poa lakn siyo kumpa pesa halaf baadae anikane kwa kusema mm na yy hatuna mahusiano,mwishoni aliondok kwa njia yake nami nimepita njia yangu nadhan tutakutana chuoni .... Ila kanitumia sms inasema "Take your time little boy "

Ushauri nifanyeje? Ni mtafute baadae nimshawish awe mpenzi wang maana kaubika yaan ni mtoto mkali au niuchune tu?
Umetisha mkali ..hakuna sababu ya kutoa pesa kizembe
 
Vitu vidogo kama hivi unaleta humu?! alitaka kuona responce yako tu! ungetake it eazy! kwani a bottle of grants unanunuaga ngapi?! kakudharau! kama umeshindwa mguuni kwake tu,utaweza katikati?! kakutega kakuona boya! pengine angekupa hata bure tu!
Mkuu acha kumpotosha mwenzio we kama unatoaga ndo huwa unaonekana boya
 
We kwani mbuzi unapelekwa machinjioni njia nzima hata hushtuki?
 
Mkuu hii haikuwa kuhonga maana hatuwa na makubaliano hii iite nimekataaa kutoa sadaka
yaani umefanya vzr sana, alishakuona boya, angeipata hiyo hela afu baadaye ufanye kumjua jua ndo ungeisoma vzr. yaani hapo bila bila. hakuna mshindi
 
yaani umefanya vzr sana, alishakuona boya, angeipata hiyo hela afu baadaye ufanye kumjua jua ndo ungeisoma vzr. yaani hapo bila bila. hakuna mshindi
Ni kweli mkuu nilijua tu kwamba mwishoni nitafanywa mbuzi wa kafara yaaan ningepangiwa ratiba tata sana..
 
Japo umetukanwa lakini wewe ni jembe, ningekuwa mimi ningeliwa maana ningetoa alafu holaa
 
Back
Top Bottom