Hawa warembo wa chuo ni hatari sana!

Hawa warembo wa chuo ni hatari sana!

Una mpa ya nini..huo ndo uanaume sasa...trust me...hapo umekamilika kuitwa mwanaume
 
Mdada alikuwa ana hela bana...sema sisi tunapenda vya kununuliwa na wakaka, raha sana ukaringishie chuo, " umeziona hizi sandals nimenunuliwa na Pete"[emoji23] [emoji23] [emoji23]
hahaaa hela atoe wapi .. angekuwa nazo angenunua vile viatu baada ya jamaa kukataa kumnunulia ..njaaa tu imemtafuna hahaa
 
Kudos mkuu...

Mtego mdogo katoka baruu, yaan kajidhalilisha sana japo humu wanampa sympathy! Huyo Dada alitaka kumtest kama mchoyo au vipi!

Na asubirie kutangazwa chuo kizima kuwa hana hata elfu 10! shangaa atakuwa anatongoza mdada yyte wa pale anapewa za uso!
hahaa alikuwa anamtest wakati baada ya kukataliwa kapanic kabisa..acha masihala mkuu ..huyo gal alikuwa anamaanisha kabisa..na jamaa angeji changanya na kuchekwa mnooo
 
Kijana hao tunawaita paka wa jikoni they take men for their needs ha ha little boy pole
 
35,000 ni hela ya kuleta Uzi humu ndani? ....like serious?

Na ungempa hiyo 35K ungepungukiwa nini au ndo ulikuwa huna unakuja kulia lia humu ndani? Hii ni aibu kwa mwanaume rijali
Hv unakielewa ulichokiandika hapa?

Ndo maana mnaishia kubaya kwa sababu ya kuendekeza mteremko!!!
 
35k Tshs kitu gani little boy? Imekufanya umemkosa mtoto mkali wa chuo
 
Sana mkuu hata ingekuwa 5000 tu haitoki kizembekizembe bora ukabet
 
Gold digger, alafu inaonyesha ni tabia yake kuchukua pesa za wanaume. mfwatilie utajua nachosema ni kweli.
 
Kama ulikua unamtaka, ungempa tu iyo 35000. Naye mchezo angekupa lazima. Wanawake wasiku hizi kutoa PAPUCHI mbona nijambo lakwaida sana. Hasa hao wachuo. Wanagawa sawa.
 
Akili bado IPO,dalili mbaya,hakupendi yeye,atakuchuna tu, tafuta anayekufaa Leo na baadae!!!!!
 
Back
Top Bottom