Hawa warembo wa chuo ni hatari sana!

Hawa warembo wa chuo ni hatari sana!

Kwema wakuu!!

Mm ni kijana wa kiume umri ni 25 nipo chuo fulani mwaka wa tat kozi moja ya biashara, Sasa kuna huyu dada tulijuana tangu akiwa first year yy yupo degree ya nursing kwasas nae yupo mwaka wa tat!

Kisa kipo hvi tulionana juzi hapahapa chuoni kidg tukapiga story mbili tatu za kawaida tu na kubadilishana namb za simu maana tangu tuonane hyo first year ikubukwe tulipotezeana kabis huku kila mtu akikomaa na masomo kwa upande wake hvo hadi juzi ndo imetokea tu tupo tunapiga story baada ya kukutan cateen,baada ya story hyo juzi tuliagan na kuahidiana tutaonana tukipata mda na tang hyo juzi tumekuwa tukitumiana sms za kusalimiana tu basi,leo mda wa saa sita mchna nikawa nimepokea ujumbe wake ukinitaka nimusindikize mjini kwa kuwa kuna kitu anaenda kuchukua basi nami bila hiana nikamwambia asijal,nikawa nimetoka gheto kwang hadi hostel kwake anapo ishi basi tukaonana safari ya mjini ikafata hadi dukani kwa muuza viatu vya kike basi ile tumefika akanambia nimsubiri nje japo nilishangaa kdg kwann nimsuburi kwa nje wakt duka ni ka viatu wala hakna pichu kwamba atanionea aibu kununua,nikawa nimesubir kwa nje cha ajabu hakuchukua mda sana akawa katoka na kudai hakuwa na pesa na kuna kiatu kakipenda kinauzwa 35000.

Kiukwel nilishangaa sana kwa maana mm huyu dada wala siyo mpenzi wang inakuwaje nimpe pesa yote hyo pasina makubaliano ya kwamba labda namkopesha au pengine tumekuwa wapenzi ilibidi nimtaka tutafute sehem tukae kwanza kwaajil ya makubaliano khs mm kumpa pesa lakn alikataa na kulazimisha nimpe kwanza pesa anunue viatu and then tutaongea baadae,kdg mm nilistuka kumpa pesa maana nilijua italeta utata ukizingatia hatuna makubaliano yyte mm na yy.

Mm nilitaka tukae tuongee kama anakubali kuwa mpenzi wang hapo poa lakn siyo kumpa pesa halaf baadae anikane kwa kusema mm na yy hatuna mahusiano,mwishoni aliondok kwa njia yake nami nimepita njia yangu nadhan tutakutana chuoni[emoji1][emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3] .... Ila kanitumia sms inasema "Take your time little boy "

Ushauri nifanyeje? Ni mtafute baadae nimshawish awe mpenzi wang maana kaubika yaan ni mtoto mkali au niuchune tu?
Uko sahihi, achana naye,asicheze na pesa za wanaume, huyo ni mwizi na ameshawaibia wajinga wengi, akakutana na mwenye akili timamu, Wala usimfuatilie piga kitabu, wako wengi sana hao, jiweke mbali nao, usipende kuwa na urafiki wa karibu.
 
Kweli mkuu!!
 
Mdogo wangu nakushauri chuoni we soma tu. Hawa wanawake utawala tu pindi utakapofanikiwa tena watajileta wenyewe na utawala bureeeee ila kwa sasa achana nao
 
Dah..mkuu wewe ni bonge la mjanja kama umeruka hicho kiunzi..nakupa tano!...Huyo anajidai ni demu mjanja wa town..ninauhakika ashawafanyia wanaume kibao hicho kitu na hawakufanikiwa kuchomoa!..Achana naye kabisa..huyo ni wa mashuga daddy!
 
Ukiambiwa TAKE UR TIME LITTLE BOY na mwanamke ni dharau kwa tafsiri zangu mimi.. maana yani huwezi kumuhudumia na ndiyo maana akakuit little boy, sasa jiongeze little boy
 
Mzee baba matumizi ya akili kwanza kuliko kutanguliza hisia maana vingnevyo hapa ningepigwa 35k pasipo kuona ndani na wala haina ushaidi[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
35,000 ni hela ya kuleta Uzi humu ndani? ....like serious?

Na ungempa hiyo 35K ungepungukiwa nini au ndo ulikuwa huna unakuja kulia lia humu ndani? Hii ni aibu kwa mwanaume rijali
 
35,000 ni hela ya kuleta Uzi humu ndani? ....like serious?

Na ungempa hiyo 35K ungepungukiwa nini au ndo ulikuwa huna unakuja kulia lia humu ndani? Hii ni aibu kwa mwanaume rijali
Wala usimlaumu mleta Uzi ni hivii vyuma vimekaza
 
hata kama ni hela ndogo but sio kihvyo watokaje chuo nakwenda kufnya shopping pasipo kuwa unahela tena mbaya zaidi wataka ununuliwe namtu ambaye bado hamjawa na mazoea yyote yaliyoimarika ..sikujidhalilisha huko...aisee njaa hizi
Mdada alikuwa ana hela bana...sema sisi tunapenda vya kununuliwa na wakaka, raha sana ukaringishie chuo, " umeziona hizi sandals nimenunuliwa na Pete"[emoji23] [emoji23] [emoji23]
 
Vitu vidogo kama hivi unaleta humu?! alitaka kuona responce yako tu! ungetake it eazy! kwani a bottle of grants unanunuaga ngapi?! kakudharau! kama umeshindwa mguuni kwake tu,utaweza katikati?! kakutega kakuona boya! pengine angekupa hata bure tu!
Kudos mkuu...

Mtego mdogo katoka baruu, yaan kajidhalilisha sana japo humu wanampa sympathy! Huyo Dada alitaka kumtest kama mchoyo au vipi!

Na asubirie kutangazwa chuo kizima kuwa hana hata elfu 10! shangaa atakuwa anatongoza mdada yyte wa pale anapewa za uso!
 
Ndiyo zenu..! Nimemaliza chuo kwa kutia mademu 7 in 3 years! Sikuwahi toa ata shilingi zaidi ya ikitokea tumepeana offer za kutoka sometimes walilipia kabisa pesa ya Lodge.

Kwangu huyo mdada ndiyo mpuuzi ata mimi kama ningempa ningemwekea masharti kuwa pesa ya msosi kanteeni na arudishe..! Hivi mbona kumwambia demu wangu sina pesa rahisi iweje demu tu asiye demu wangu??
 
Kudos mkuu...

Mtego mdogo katoka baruu, yaan kajidhalilisha sana japo humu wanampa sympathy! Huyo Dada alitaka kumtest kama mchoyo au vipi!

Na asubirie kutangazwa chuo kizima kuwa hana hata elfu 10! shangaa atakuwa anatongoza mdada yyte wa pale anapewa za uso!
Kweli hadi hela ya viatu unaomba kwa mtu asie bwana wako na huoni aibu. Ptuuuuuuuu useless kabisa acheni kusupport ujinga au na nyie mnaomba pesa kwa watu za viatu mwanamke jiheshimu bwana...
 
Back
Top Bottom