Hawa warembo wa chuo ni hatari sana!

Hawa warembo wa chuo ni hatari sana!

Wewe unaejua kuweka nukta ni nani Tanzania hii??
Au wewe ndio Waziri mkuu Majaliwa?

Wazee wengine hata mchana unaweza kukuta haujala lakini maneno mengiii ya kukashifu watu.
hahaaaa JF nyokoooo
 
Elimu kiasi gani[emoji274]

Ok Nina elimu kilograms 3
hahaaaa daaaahh
hahaaaaa haaaa
nimecheka mnoo aiseeee hahaaaaa daaahh
aiseeee mods anzisheni jukwaa linaloitwa milembe humu
 
Soma kijana.....wazazi wanajua upo mkoa wa dodoma kusoma sio kuendekeza mapenzi..usiniulize nimejuaje upo unasoma mkoa wa dodoma
 
Tz watu wanachelewa kuanza shule..miaka 25 hujamaliza digirii. Au ulitokea kazini
 
"Enyi vijana sikilizeni mnapokuwa masomoni, acheni mchezo wa mapenzi mnawana uchungu ooooh wazazi wenu"
Wazazi wanakusomesheni,
Kwa gharama nyingi sana.
Matokeo ni kupata.........
 
JIBU: Don't answer her..... Futa txt, futa namba... Endelea na kitabu.

We ni mwanaume huwezi kua single hilo liko wazi, tuliza akili tafuta msichana mwenye vigezo vyako.. Mbona wapo Wengi tu vyuoni hapo.

Hawa choka mbaya ndio huwa wasumbufu... Kwao Maisha magumu kame kuja chuo.. Kana dhani kuomba hela kwa mwanafunzi mwenzake ndio mapenzi au ndio ujanja...

Mademu wengi wapenda hela chuo ni choka mbaya trust me... Tumesoma huko tuna jua.

IPO SIKU ATAKUJA MWENYE WE.. na utampiga show hawanaga lolote hawa....

USHAURI: Be a gentleman, hapa ndio una mvuruga zaidi. Usianze kumtangaza tena chuo kwa shikaji " Ooh aliniomba hela, mara sijui alifanya nini " Cool down piga kitabu.. Atakuja tu. Ukikutana nae msalimie endelea na safari. Epuka maongezi marefu haya maana tena... Akituma sms usi jibu kwa muda huo huo... Chukua hata masaa 6 na zaidi ndio ujibu, au jibu kesho kama haina ulazima.. Hizi ni techniques tu zaku wanyoosha hawa.
daahh mkuu wew mbona kama tunafanana kwa hizi agenda zako
 
kwa upande wangu mimi bhana niwe muwazi tu ..mimi nimdhaifu mnoo na udhaifu huu nilionao sio kwa wanawake tu but upo kwa jinsia zote ..ninatatizo lakutoweza kumkatilia mtu jambo direct yaani huwa naona kama nitamkwaza Hivi then ataniona kama najiskia so huwa sipndi akwazike ...ijpo kuwa kuna matukio mengine huwa najitahidi kukomaa..so kwa hili mtoa mada nakupa pongezi ..maana umemkazia haswaa...ila kwaupnde wangu mimi ningekuwa ndio wewe huyo Dada ningembwaga mapema mnooo ..iko hvi kwa hawa wanawake wetu wakiswahili wakikwambia naomba nikwambie kitu ..au nisindikize mahali basi ukikubali tu andika maumivu mkuu..so ningekuwa mimi ningembwaga pale pale aliposema anaomba umsindikizeu..ilikuepuka kwenda kutoa Pesa ktk hiyo safari maana kama nilivyosema awali huwa ninaudhaifu wakukataa
 
Tz watu wanachelewa kuanza shule..miaka 25 hujamaliza digirii. Au ulitokea kazini
Inaonekana we mgeni nchi hii haiwezekani mtu kuwa na miaka 25 unashagaa kwann hajamalza degree, umesahau kuna above 30 bado wapo mtaani wana reseat QT.[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji3]
 
Shikiria hapo hapo chukua muda wako usimfuate tena ibilisi huyo mungu kakuepusha wewe mwenyewe hera unaomba kwa wazazi harafu unahonga noma mkuu usimrudie tena huyo
 
Elimu ya Tanzania inaelekea kaburini, kijana wa mwaka wa tatu degree huwezi hata kuandika ukaweka nukta?

Mpaka kufikia Hapo ulikuwa unaandikaje report za field, research na assignment zako?

Hatari sana hii!

Maandishi yako Mwenyewe ni Kiazi Kabisa

Jitafakari[emoji35]
 
Part one, mlikutana na mkapotezana.

Part two, mmekutana na mmezinguana.

Part three, take ur time little boy
 
Elimu ya Tanzania inaelekea kaburini, kijana wa mwaka wa tatu degree huwezi hata kuandika ukaweka nukta?

Mpaka kufikia Hapo ulikuwa unaandikaje report za field, research na assignment zako?

Hatari sana hii!
We na elimu yako ya QT huwezi kutotautisha formal na informal writings????
Puuumbavu sana.
 
Back
Top Bottom