Hawa warembo wa chuo ni hatari sana!

Hawa warembo wa chuo ni hatari sana!

Kama kuna demu mkali wa CBE au IFM kwenye Uzi huu anicheki pm. Sina shida kuhonga
 
Kula tano zangu mkuu,,,ishawahi kunitokea hiyo,,demu nimemtongoza muda mrefu akanizunguuuushaaa,,,sasa siku moja akapata shida eti akajifanya amelegeza kidogo akanambia nimpe30000,nikamuuliza na jibu langu vipi,akadai eti nimpe kwanza atanambia akimaliza shida,hahaha!!nikamwambia labda nipige siku moja kwanza ndo nimpe,weeee!!akaja juu balaa..eti hajiuzi wakati mimi alitaka kuniingiza mjini..
 
Mukluk wangu sikia...
Mapenzi hayana tunzo,
Chuoni ogopa wanawake kuliko magari
Chuoni usiwe dereva kwenye basi la wazinzi
Ni bora uitwe mshamba kwenye group la matapeli
Nguzo ya umeme haimwagiliwi maji wewe
Aisikrimu haipashwi


Alafu nishakujua dogo nipo nawe chuo kimoja,
Niliwaona mnavyosindikizana
Nilikuona unaviiiiiiiiiiimba na pesa za raia walipa kodi
Kaza dogo
 
Mzaleee,
hili halihitaji ushauri. hata kitoto cha vidudu ktk swala lako kinajuwa kifanyeje.
 
Alikuchungulia akahisi utakuwa mtindiga kama mzee wa magogoni ila bahati umeshtuka, usijitie umbugila ukarudi kwa huyo changudoa.
 
Back
Top Bottom