Tatizo vijana mliozaliwa juzi hampendi kusomaHao wasioolewa inamaaana wamekosa wanaume au ni jeur tu? Wanapaswa kushitakiwa , Halafu mtu hajaolewa mnampaje ubunge? Mnampaje mtu ambae hajaolewa mnampa had uwaziri? Hivi nyie Mwalimu akifufuka atawachoma moto wote hao mnaoenda kumpigia kura msela anaeishi kihuni
Ameolewa ndio swali mtoto hata swala anae ....Gertrude Mongella ,mmoja wa wanawe ndio mkuu wa Mkoa wa Mwanza!!!!
Wabongo wengi chenga Sana .... Sasa si umeshafeli tayari ameuliza Ameolewaaa!?? Hajauliza kama ana mtoto... BlaaaaalifuluBulaya ana mtoto mkubwa tu anasoma form one au two.
Hii ni JF sio lazima tujibu swali kama ameolewa au hajaolewa,na hiyo niliyoweka mimi nayo ni fact,hauno kuongeza nyama ndio tunapanua mjadala? Yaani wote tukijubu kaolewa au hajaolewa basi hauni JF itaopteza mvuto? Haitakiwi uwe rigid.Wabongo wengi chenga Sana .... Sasa si umeshafeli tayari ameuliza Ameolewaaa!?? Hajauliza kama ana mtoto... Blaaaaalifulu
Hahahah acha hizo mrangi tumegee kama info kidogo .PRINCEd, Duh Catherine Maggie kabla hajawa mb nlishaishi naye mtaa mmja nyuma ya mango garden vijana.....
Ngj niishie hapaaaaa
Ova
Unatafuta ukorofiKuna Angela Kairuki, Jokate Mwegelo,.......!
- Samia Suluhu-kaolewa
- Anne Makinda-Hana ndoa
- Joyce Ndalichako-kaolewa
- Anna Tibaijuka-mjane
- Jenista Mhagama-Hana ndoa
- Asha Rose Migiro-kaolewa
- Esther Bulaya-hana ndoa
- Ummy Mwalimu-kaolewa
- Tulia Atkson-kaolewa
- Maua Daftari-sijui
- Julian Shonza-kaolewa
- Catherine Magige-hana ndoa
- Getrude Rwakatare-hana ndoa
- Getrude Mongella-kaolewa
SoooooHahahah acha hizo mrangi tumegee kama info kidogo .
Nilishawahi sikia aliwahi kumingo na kijana wa BCW uchafuni .kwa mujibu wa dada wa Taifa alitusaliti
Pia yule kibopa mwenye basi za idodomya mzizima zile classic ambaye ni mgonga meza pale
Jumba kubwa idodomya nae ashampitiaga
Wagonga meza wanashare kibaharia Sana hawanyimani mambo !!
sisi wengne mademu zetu historia yao ya uongozi ni u monitres na ma Dom leader.....
Mume nae mpiga bendi.....
Asalaaaaaleeeee........
Eh mkuu una maana kuna watu wana embark on LGBT ?Hapo najua Ester Bulaya na Halima Mdee ni Couple,
Getrude Rwakatare tangu alipoachana na mumewe hakuolewa tena,
Fatma Karume hajaolewa,
Catherine Magige hajaolewa,
Anna Tibaijuka Mjane.
Ana mwili kama wa simba dume japo Simba dume ana sura nzuri kumzidi NdalichakoSasa kama Ndalichako
Labda aolewe kutokana na hela zake lakini sio kwa ile sura...
Baba na babu zako wanajua wewe ni dogo mnoKati ya vitu nimekuwa nikijiuliza ni kuhusu hawa wanawake tunu za taifa hili.
- Samia Suluhu
- Anne Makinda
- Joyce Ndalichako
- Anna Tibaijuka
- Jenista Mhagama
- Asha Rose Migiro
- Esther Bulaya
- Ummy Mwalimu
- Tulia Atkson
- Maua Daftari
- Julian Shonza
- Catherine Magige
- Getrude Rwakatare
- Getrude Mongella
Je, wameolewa na kama wameolewa waume zao wako wapi na wanafanya nini?
Kwanini pia hatuwaoni hata kwa bahati mbaya?
Mwenye kujua samahani pia kwa uzi sina nia ya kuchunguza familia za watu.
Shauri zakoCathy Magige namuelewa sana yule dah..
Tatizo vijana mliozaliwa juzi hampendi kusoma
Hakuna sehemu kwenye katiba inasema kama huna mume usipewe ubunge
Acha kumsingizia mwalimu wakati mpaka anakufa ulikua hujazaliwa.unamjua Lucy Lameck wewe?mwalimu alimpa ubunge na uwaziri wakati hakua ma ndoa