Hawa wanatamani Rais Magufuli asifike 2020

Wadau, amani iwe kwenu.

Kama kuna watu wanatamani Utawala wa Rais Magufuli usifike 2020, basi miongoni mwao ni hawa wafuatano.

1. Wauzaji na watumiaji wa Madawa ya Kulevya

2. Wakwepa kodi na wafanya biashara kijanja ujanja.

3. Wezi, mafisadi na wabadhilifu wa mali za umma

4. Vibaraka wa mataifa ya kinyonyaji

5. Wazembe kazini na wapiga deal

Haya ni baadhi ya makundi yanayopambana kila uchwao kuhakikisha Rais Magufuli hafanikiwi. Nyuma yao wapo CHADEMA ambao wamekuwa wahanga wa Utawala wa Rais Magufuli kutokana na kuwanyima ajenda kwenye majukwaa ya siasa.

Lazima tuheshimiane tu. hakuna jinsi
Wewe hata ukatibu kata hupati.
 
Wanashinda mitandaoni kueneza habari za uongo badala ya kutafuta kazi za kufanya,wanahemea juu juu na pumzi zimewaishia.

Mkuu, unafanya assumption za hovyo kabisa. Kwa taarifa yako, wengi unaowaona humu ni watu wenye kazi zao. Kama wewe unaisoma namba shauri yako. Hebu tupe mifano ya baadhi ya habari za uongo unazosemwa zinaenezwa hapa mtandaoni??
 
Magufuli ni kiboko ya wapiga dili, anaipeleka nchi kwenye mstari. Ndani ya mwaka wake mmoja nchi imenyooka, maendeleo kila kona mpaka treni za umeme.

Watanzania tuliomba Mungu atuletee mkombozi, mwenyezi Mungu akatuletea Magufuli.
Mkuu umetisha umeongea vitu vzr nyinyi ndio mnaofaa kuwa viongozi
 
Lizaboni una lako jambo, always we ni chokonozi na unatetea hata usivyo amini. Lengo lako lilishajulikana kwa mwonekano wa Title tu. Kimsingi unajipendekeza tu kwa hao watawala. Makamanda tumsamehe huyu KIMADA wa watu maana hajui alitendalo.
Lakini kuna kaukweli mkuu!!!
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Kama kuna watu wanatamani Utawala wa Rais Magufuli usifike 2020, basi miongoni mwao ni hawa wafuatano.

1. Wauzaji na watumiaji wa Madawa ya Kulevya

2. Wakwepa kodi na wafanya biashara kijanja ujanja.

3. Wezi, mafisadi na wabadhilifu wa mali za umma

4. Vibaraka wa mataifa ya kinyonyaji

5. Wazembe kazini na wapiga deal

Haya ni baadhi ya makundi yanayopambana kila uchwao kuhakikisha Rais Magufuli hafanikiwi. Nyuma yao wapo CHADEMA ambao wamekuwa wahanga wa Utawala wa Rais Magufuli kutokana na kuwanyima ajenda kwenye majukwaa ya siasa.

Lazima tuheshimiane tu. hakuna jinsi
hakika hatofika
 
Makonda anataka akae maisha yote
 
Wapiga diri wote wapo chama amabacho mwenyekiti wake wazamani alaishawai kusema kuna mafisi kwa mfano migodi yote mzee wa Malofa na Mzee jk unajua wameifanya nini nchi hii
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Kama kuna watu wanatamani Utawala wa Rais Magufuli usifike 2020, basi miongoni mwao ni hawa wafuatano.

1. Wauzaji na watumiaji wa Madawa ya Kulevya

2. Wakwepa kodi na wafanya biashara kijanja ujanja.

3. Wezi, mafisadi na wabadhilifu wa mali za umma

4. Vibaraka wa mataifa ya kinyonyaji

5. Wazembe kazini na wapiga deal

Haya ni baadhi ya makundi yanayopambana kila uchwao kuhakikisha Rais Magufuli hafanikiwi. Nyuma yao wapo CHADEMA ambao wamekuwa wahanga wa Utawala wa Rais Magufuli kutokana na kuwanyima ajenda kwenye majukwaa ya siasa.

Lazima tuheshimiane tu. hakuna jinsi
Nilitaka kushangaa umalize bila kutaja CHADEMA!
Endelea kuwaota hivyo hivyo!
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Kama kuna watu wanatamani Utawala wa Rais Magufuli usifike 2020, basi miongoni mwao ni hawa wafuatano.

1. Wauzaji na watumiaji wa Madawa ya Kulevya

2. Wakwepa kodi na wafanya biashara kijanja ujanja.

3. Wezi, mafisadi na wabadhilifu wa mali za umma

4. Vibaraka wa mataifa ya kinyonyaji

5. Wazembe kazini na wapiga deal

Haya ni baadhi ya makundi yanayopambana kila uchwao kuhakikisha Rais Magufuli hafanikiwi. Nyuma yao wapo CHADEMA ambao wamekuwa wahanga wa Utawala wa Rais Magufuli kutokana na kuwanyima ajenda kwenye majukwaa ya siasa.

Lazima tuheshimiane tu. hakuna jinsi
Hivi unaweza kujisifu kuwa umemnyima mtu agenda na hana cha kuongea wakati huo huo umempiga pin asifanye mikutano ya hadhara?Umepimaje kuwa umewanyima agenda?Kama ni kweli,waruhusu wafanye hiyo mikutano wakapate aibu mbele za wananchi!Hofu inayofanya JPM azuie mikutano ya siasa ndio hiyo anayotumia nguvu kushurutisha wafanyakazi kuandamana kumpongeza!
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Kama kuna watu wanatamani Utawala wa Rais Magufuli usifike 2020, basi miongoni mwao ni hawa wafuatano.

1. Wauzaji na watumiaji wa Madawa ya Kulevya

2. Wakwepa kodi na wafanya biashara kijanja ujanja.

3. Wezi, mafisadi na wabadhilifu wa mali za umma

4. Vibaraka wa mataifa ya kinyonyaji

5. Wazembe kazini na wapiga deal

Haya ni baadhi ya makundi yanayopambana kila uchwao kuhakikisha Rais Magufuli hafanikiwi. Nyuma yao wapo CHADEMA ambao wamekuwa wahanga wa Utawala wa Rais Magufuli kutokana na kuwanyima ajenda kwenye majukwaa ya siasa.

Lazima tuheshimiane tu. hakuna jinsi
Mmeshauriwa mkazikwe naye, mnatuchosha!
 
Kiko wapi sasa? yuko wapi huyo Magufuli wako? Angalia umebakia mjane
 
Back
Top Bottom