Hawa wanatamani Rais Magufuli asifike 2020

Hawa wanatamani Rais Magufuli asifike 2020

Et kamanda[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chadema mmeonesha udhaifu wenu kwa kuleta na kutetea mafisadi chamani kwenu
Hii inaonesha ni jinsi gani mnatamani mchukue NCHI ili mfanye ufisadi

Ooohhhh!!!!! Sorry mbaya ni kuwa kuna KING MAGU ambae hana uchama wala uteam
Ye ni mtu wa kaz
Najua.mlitaka mruke na mkimbie Kodi
CHADEMA kwa hili la kutetea mafisadi wamewavunja moyo mashabiki wao
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Kama kuna watu wanatamani Utawala wa Rais Magufuli usifike 2020, basi miongoni mwao ni hawa wafuatano.

1. Wauzaji na watumiaji wa Madawa ya Kulevya

2. Wakwepa kodi na wafanya biashara kijanja ujanja.

3. Wezi, mafisadi na wabadhilifu wa mali za umma

4. Vibaraka wa mataifa ya kinyonyaji

5. Wazembe kazini na wapiga deal

Haya ni baadhi ya makundi yanayopambana kila uchwao kuhakikisha Rais Magufuli hafanikiwi. Nyuma yao wapo CHADEMA ambao wamekuwa wahanga wa Utawala wa Rais Magufuli kutokana na kuwanyima ajenda kwenye majukwaa ya siasa.

Lazima tuheshimiane tu. hakuna jinsi
Umetusahau wengine hatuna chama lakini
1.Tunaopenda rais anayefuata katiba.
2.Tunaopenda rais asiyesema ovyo bila breki ya mdomo.
3.Tunaopenda rais asiyejikanganya.
4.Tunaopenda rais asiyelinda mabashite.
5.Tunaopenda rais mwenye hekima katika uongozi.
6.Tunaopenda rais mwenye kuchunguza mambo kabla ya kuteua na kutumbua.
7. Tunaopenda rais anayeelewa mambo ya kimataifa.
8. Tunaopenda rais anayesikiliza watu.
9. Tunaopenda rais anayejua Kiswahili.
10. Tunaopenda rais anayefuata bajeti na taratibu za uongozi.
 
Ongeza na hawa pia
5.Wasiokuwa na ajira
6. Watumishi wa uma karibu wote
7.Waliokosa mikopo ya Elimu ya juu
bila kujisahau na wewe mwenyewe ila UNAFIKI umeweka mbele
 
CHADEMA kwa hili la kutetea mafisadi wamewavunja moyo mashabiki wao
Nilikuwa nawakubali ila kwa hilo niliona ni kuwa ni mafisadi waliokosa Sehem ya kufanya ufisadi wao
Ndo tangia apo nikaanza kuona hawana democracy from kuchagua mgombea adi kuchagua Viti maalum
 
[QUOTE="Lizaboni, post: 20871381, member: 13804 majukwaa ya siasa.akuna jinsi[/QUOTE]Wewe ni yule kimada aliyokuhonga nyumba zile za serikali???
 
Wadau, amani iwe kwenu.

Kama kuna watu wanatamani Utawala wa Rais Magufuli usifike 2020, basi miongoni mwao ni hawa wafuatano.

1. Wauzaji na watumiaji wa Madawa ya Kulevya

2. Wakwepa kodi na wafanya biashara kijanja ujanja.

3. Wezi, mafisadi na wabadhilifu wa mali za umma

4. Vibaraka wa mataifa ya kinyonyaji

5. Wazembe kazini na wapiga deal

Haya ni baadhi ya makundi yanayopambana kila uchwao kuhakikisha Rais Magufuli hafanikiwi. Nyuma yao wapo CHADEMA ambao wamekuwa wahanga wa Utawala wa Rais Magufuli kutokana na kuwanyima ajenda kwenye majukwaa ya siasa.

Lazima tuheshimiane tu. hakuna jinsi
Wanataka kumpindisha My Magufuli watapinda wao.
 
Niite jina lolote utakalotaka lakini na mimi ni mmoja wao.
 
Huu uzi lazima fisi wengi watausapoti tu.
 
Ndo akili za kinyumbu
Kama mtu alipewa buku saba
Je kwa hyo buku saba ndo adi leo inamfanya amwamini Magufuli????

Nyie waga ni vilema wa akili
Vilema wa akili ni nyie mnaokana elimu zenu tena za Uprof kisa mnasaka tonge.

Bora uwe na Phd ya uchawi ukiwa unasimamia ukweli na unayoyaamini, kuliko kupindisha na kusema uongo hata kama mwanzoni ulishasema na kauli zipo kwa maandishi.
 
Ukiona kijana anamtetea sizonje, moja ana elimu ya kuunga unga kama mzee, pili ni kula kulala, tatu ni shoga n nne ni tahira mwisho kabisa sio mtanzania
 
nikweli Huyu Rais anastahili pongezi sana, na watanzania tujivunie na kumuunga mkono Rais wetu, ila bado kuna watumishi wa serikali ambao bado hawajabadilika hasa wanao ongoza baadhi ya Taasisi, mfano kuna jamaa yangu aliniambia anako fanya kazi mkuu wa hiyo taasisi anachukuwa posho mfano ya siku kadhaa kwenda mahali fulani kikazi, halafu anakwenda siku moja au asiende kabisa, sasa Tuzidi kumuombea rais wetu na watanzania wote tumuelewe Rais na hasa kuiga jinsi yeye anavyo bana matumizi yasiyo ya lazima serikalini na wakuu wa taasisi wajitahidi kuziongoza vizuri.
 
Back
Top Bottom