BAK
JF-Expert Member
- Feb 11, 2007
- 124,769
- 288,331
"Bei ya Unga wa Sembe 1kg TZS 2,300/= ( wastani ). Bei ya Mafuta ya Petroli 1lita TZS 2,060/= ( wastani). Kwa mara ya kwanza Ugali umekuwa ghali kuliko mafuta ya gari. Gharama hizi za maisha Kwa wananchi ni kubwa mno, hazistahmiliki na zinaingiza raia wengi kwenye umasikini. Serikali ipo kimya kana kwamba kila kitu kipo sawa" - Zitto Kabwe
Huyu naye bila shaka anatamani hivyo. Acha kuukimbia ukweli wewe na kuwa muongo wa kupindukia. Hebu siku moja tu andika hali halisi ya yale yanayojiri nchini. Msema kweli siku zote ni mpenzi wa Mungu. Usaliti wa Tanzania na Watanzania wenzako hautakusaidia chochote kile.

Wadau, amani iwe kwenu.
Kama kuna watu wanatamani Utawala wa Rais Magufuli usifike 2020, basi miongoni mwao ni hawa wafuatano.
1. Wauzaji na watumiaji wa Madawa ya Kulevya
2. Wakwepa kodi na wafanya biashara kijanja ujanja.
3. Wezi, mafisadi na wabadhilifu wa mali za umma
4. Vibaraka wa mataifa ya kinyonyaji
5. Wazembe kazini na wapiga deal
Haya ni baadhi ya makundi yanayopambana kila uchwao kuhakikisha Rais Magufuli hafanikiwi. Nyuma yao wapo CHADEMA ambao wamekuwa wahanga wa Utawala wa Rais Magufuli kutokana na kuwanyima ajenda kwenye majukwaa ya siasa.
Lazima tuheshimiane tu. hakuna jinsi