Hawa wanafaa kugombea urais kwa tiketi ya CHADEMA!

Jamani mi natoa ushauri wa bure kwa wanajukwaa,hasa hili la siasa.. Mtu anayeongelea ama kuweka thread inayohusu chama cha siasa..aweke na upande aliopo..whether neutral,ama vipi.. Lakini ajiseme yuko side gani.. Kama tunavyoulizaga source,basi tuulize na stance yake,I can not get the right word quick enough..
All for the benefit of mijadala..
Tunaweza kuwa tunajadili mijadala kwa energy nyingi kumbe ni work done is equal to zero.. Na mtu anakuwa anafanya mocking tu wala hayuko serious..
Tuepushe kwa mtindo huo..
 
Usitupotoshe.Muda haujafika wa kuzungumzia hayo.Tujadili agenda za kitaifa zinazowasumbua wananchi.Matatizo ya kiuchumi hayajatatuliwa.CDM ina utaratibu wa kumtafuta mtu anayefaa kusimamishwa.

Huyu akuwa ametumwa na magamba ili wapime upepo na kuanza kumtaftia kashfa ya kummaliza kisiasa kabla ya wakati huo
 
hivi kim kardash ana undugu na malaria sugu? Naona kama vile akili zao zinafanana fanana.

labda tu kwa sababu wote wanapenda kuongea yale ambayo yapo ila hampendi kuyasikia...wanajaribu kuwasaidia kuwaonyesha yale yanayoonekana muyaone msikalie kuyaona yale mnayoyaamini tu.Hiyo ndio demokrasia yenyewe tuendelee kuvumiliana si unajua tena kila mtu anao uwezo wake wa kufikiri na kuamua?
 
Bora umenisaidia ndugu yangu ROM,hawa jamaa hawatofautinaga na mtu bila mtu huyu kuwa ametumwa na NAPE!
 
JAmani Wananchi tunakufaa njaa, maradhi na hatuna Elimu bora! Mambo ya nani awe rais yanatoka wapi leo? Mimi siwapendi na ninawachukia ninyi nyote mnao jadili hili swala kwani hamtofautiani na viongozi waliotufikisha hapa tuilipo leo hii.

Mshinndwe kwa jina la Yesu na mpango wenu mbovu wa kuondoa mawazo ya Watanzania kufikiri namna ya kutoka kwenye matatizo tuwajadilininyi na matumbo yenu.
NIlikuwepo nimetoka kwa sasa!
 
mi chama changu cha walipa kodi tanzania CCWT na pia ni mwanachama wa chama cha wapiga kura Tanzania ndio tunahangaikia usajili bado hivyo kwa sasa lazima tushiriki kuhakikisha kila chama kinasimamisha wagomea wenye mashiko,uchaguzi mkuu ni suala la kitaifa zaidi kuliko kichama ndio maana hutoniona hata siku moja natoe maoni nani wanafaa kugombea uenyekiti wa chama,urais ni wa wote hauna chama,amkeni vijana.
Tunajua ni jambo la kitaifa naona ungeanzia na chama kilichoko madarakani kwanza kuwashauri nani awe mgombea wao, kuliko kuanza na chadema halafu isitoshe chadema haina uhaba wa busara mpaka wafuate mawazo ya kigwagula kama wewe. kawangie huko msoga sio hapa jf, upo?
 
labda tu kwa sababu wote wanapenda kuongea yale ambayo yapo ila hampendi kuyasikia...wanajaribu kuwasaidia kuwaonyesha yale yanayoonekana muyaone msikalie kuyaona yale mnayoyaamini tu.Hiyo ndio demokrasia yenyewe tuendelee kuvumiliana si unajua tena kila mtu anao uwezo wake wa kufikiri na kuamua?
Hatuna haja ya mawazo yake hata sisi tunao wa kujadiliana na kushauriana nao lakini si huyu kibwengo.
 
Tunajua ni jambo la kitaifa naona ungeanzia na chama kilichoko madarakani kwanza kuwashauri nani awe mgombea wao, kuliko kuanza na chadema halafu isitoshe chadema haina uhaba wa busara mpaka wafuate mawazo ya kigwagula kama wewe. kawangie huko msoga sio hapa jf, upo?

ukitaka iwe hivyo labda mkivunje chadema kama chama cha siasa mkifanye chagga development manifesto or wat ever NGO it is..otherwise kama mmechagua kufanya siasa muwe wavumilivu na kukubali kujadiliwa kama vyama vingine tu vinavyoishi maisha ya kisiasa
 
Haya ndio mambo tunayoyataka unaona bwana sio watu wengine ooooh ni mapema sana kujadili mnataka kuficha nini ilhali urais haugombewi chumbani na wala huko sio mahala kwake bali hadharani?ok mkuu sasa unazo sababu zozote za kuwakataa hao na kuwakubali wawili Bi.Halima na mwenzake tundu?

kim-kardashian-breast-implants-before-and-after.jpg

boost3.jpg

kim-kardashian-breast-implants-before-and-after

Kwa mtindo huu ata Vincent Nyerere (Mbunge wa Musoma Mjini) atatajwa kwenye orodha ya wanaofaa kuwa Rais wa Nchi hii 2015.

ndio amekutuma umpigie debe hapa nini?maana siku hizi hatuaminiani tena,si ajabu umetumwa kupima upepo na vincent au wewe ndio vincent mwenyewe..
 
Zito na slaa ndio wanaweza but hatuongelei mambo ya urais kwa sasa hadi 2015
Kuna wana CHADEMA wanadai wanataka rais kijana, Zitto ni mmojwapo.

So inawezekana atapambana na Dr Slaa kwenye kugombea nafasi hiyo, na inavyoelekea kigezo cha kwanza ni umri.

Niligunduwa hilo kitambo, ila nikakumbushiwa na statement kutoka kwenye ile thread ya Zitto dedicated to the late Regia.
 
Mahitaji ya sasa ya tanzania yanahitaji kijana mwenzetu kushika dola,wazee basi sasa inatosha!
 
Back
Top Bottom