KISAKA MORIS
JF-Expert Member
- Apr 23, 2012
- 372
- 33
Aliyeleta hii thread nadhani ni gamba, ajue kuwa CDM ni chama makini na kila mwenye vigezo anaruhusiwa kuchukua fomu ya kugombea na kura ya maoni ikaamua nani asimamishwe, sisi siyo magamba wanaofanya uchaguzi huku wakimjua mshindi kabla ya kura. Pia nakushangaa kuzungumzia swala la uraisi sahivi wakati huu ni muda wa chama kufanya mambo ya maendeleo majimboni. Ushindwe na ulegee pamoja na huyo aliye kutuma.