Hawa wanafaa kugombea urais kwa tiketi ya CHADEMA!

That is debatable mkuu.

Bora wewe umeonyesha ukomavu kidogo wa kidemokrasia wengine hawataki,wanadai urais wa nchi yetu na wanaotajwa tajwa hasa wa chama kimoja cha upinzani kuwazungumzia sasa ni kama uhaini vile..ni siri ya chama chao mpaka ufikie mwaka wa uchaguzi 2015 ndio tutapewa kibali cha kuwachambua!
 
Naona Dr Slaa anawakosesha magamba usingizi!

Mbona unaweweseka kijana,wapi katajwa umeona huyo jamaa yako,jadili majina yaliyotaja kama hujui kusoma basi hata picha yake si ungeiona hapo ndio uje na post ya kitoto kama hiyo?kama huna cha kupost usilazimishe mambo!
 
ubunge wa arumeru kwa mzee wangu slaa palepale labda apewe special seats kufuatia muafaka wa juzi usiku pale ikulu!siku ile uliyolala mapema kwa ghazabu baada ya kuona picha za slaa akiwa ikulu.
2015 VOTE FOR

157427_100001425908463_4956608_n.jpg

NI ZAMU YA MWANAMKE SASA!

Hatutamchagua mtu kuwa kiongozi wetu kwa kigezo cha jinsi yake, tunachagua kiongozi kwa kuzingatia mahitaji ya nchi na chama.
Tunamchagua mtu kwa kuangalia uwezo wake wa kuwatumikia watanzania. Vigezo vya jinsi ya mtu kuwa kiongozi ni kwenu magamba, kama mnaona ni kigezo muhimu na kinawafaa mnaweza kuendelea kukitumia. Lakini kwa chadema hilo halipo.
 
wanachadema wenzangu ni kweli kigezo cha jinsia kinaweza kuonekana sio muhimu sana,lakini ni rahisi sana kukitumia na kukijengea hoja kiasi cha kufanya kazi ya kampeni kuwa nyepesi.Ni ukweli ulio wazi kwamba wanawake katika nchi yetu wana manung'uniko ya kuachwa nyuma katika suala zima la uongozi wa nchi,wanaona kama wakati umefika sasa na wao angalau waipate nafasi ya juu ya uongozi wa taifa letu,hii imepelekea vyama vingi sasa kuanza kuwaandaa kinamama kuchukua nafasi hiyo ya juu kabisa,sasa sioni sababu kwa nini chadema tulale usingizi katika hili,chadema inao kinamama wenye uwezo mkubwa kuliko vyama vyote vilivyopo hapa nchini mfano ni huyo mama Halima Mdee,anakisomo kizuri,ni good debator mwenye uwezo mkubwa wa kujenga hoja na pia ni mwanamama jasiri anaesimamia kile anachokiamini bila kujali nani yuko mbele yake,mfano mzuri wa ujasiri wa huyu mama ni kitendo cha kumvaa aliyekuwa meya wa kinondoni bwana Londa,ambaye alikua jeri akiogopwa mpaka na wanaume,mama HALIMA akasema hapana hii haikubaliki,kwa hili aliungwa mkono mpaka na wapinzani wa chadema kutokana na kuchoshwa na umungu mtu wa londa,leo londa ni historia!Mimi nasema shime tumuunge mkono mama Halima Mdee apate ridhaa ya kusimamishwa kugombea urais,she is a good presidential material kwa upande wa kinamama na vijana pia ambao ndio wapiga kura walio wengi,tuwape wapiga kura mtu wao!
 
Eti mwazungumzia rais anae faa kutoka upinazi?
Kisha iweje? Kwa katiba ipi?
You are wasting your time and energy on this,it is not the national critical need for now,may be later.

I think this time and energy should be directed to the new constitution.


Kwa katiba hii na kama ccm watacontroll process yote ya kuundwa kwa katiba mpya, basi rais atakuwa yeyote ambaye ccm itampitisha.

Hata RA kama akiteuliwa na ccm anakuwa rais.
 
Hapo rais wa kweli ni Tundu Lisu tu,huyu anafaa hata mimi nitampa kura yangu sababu anao mfano wa kutupa jinsi alivyojitahidi kupambana kulinda rasilimali zetu(madini)na kutaka kuona zinawasaidia wananchi.Japo chadema ikimsimamisha muislam itafanikiwa zaidi,haya ni mawazo yetu sisi tusio na vyama ambao ndio tuko wengi na ndio huwa tunaamua nani awe rais!
 
Mimi kidogo nina mawazo tofauti,nadhani chadema ingefiria zaidi jinsi gani inavyoweza kusimamisha wagombea wengi zaidi wa ubunge,katika uchaguzi uliopita chadema kuna sehemu nyingi ama hawakua kabisa na wagombea ama walipata wagombea wa kuokoteza ambao walikua na makombo yaliyotelekezwa na ccm,SHIBUDA type na matokeo yake kila mtu kayaona,kwamba jamaa kweli kaipata cdm ruzuku lakini ni mzigo wa gunia la chumvi lililowana na mvua kubwa.Chadema muda upo jipangeni sasa,kuhusu urais nadhani huu ni wakati wa vijana zaidi wazee inatosha sasa.

Nazungumza kutoka group ya vijana,wazee kama mpo humu mtanisamehe lakini pia ruksa kunipinga,ila vijana tuwe kitu kimoja hapa.
 
Mods kwanini mmechakachua ID yangu bila kuniconsult???.....mmekaa na kutafakari athari za uamuzi wenu huo wa kibabe au mlikurupuka tu kwa kujiona mko juu ya sheria,hii sijaipenda,natoa masaa nane mniombe radhi hadharani ikiwezekana kwa kuasisi thread nzima na pia mrejeshe id yangu kama ilivyokua inasomeka mwanzo,mimi ni mmoja wa watu wachache sana humu ndani niliejitoa mhanga kutumia jina langu(sir name) halisi iweje mchakachue jina langu nyie???hii kitu kwanza imenisababishia usumbufu sana kwa takriban 5 days nimeshindwa kushiriki mijadala mbalimbali hapa kwa kuwa kila nilikua nikijaribu ku login kwa ID yangu niliyoirejista na kukubaliwa hapa inagoma,kumbe kuna mtu mmoja kakaa zake chumbani kwake sijui ofisini kwake kwenye laptop yake anahangaika na ID yangu...!sijapenda narudia tena na nimeweka hapa ili nipate mashahidi wa kunitetea kwa hatua yoyote kali na ya jazba dhidi yangu,mi sitakubali mpaka ID yangu ilrudishwe na aliefanya mchezo huo apewe onyo kali huko ofisini,hii ni sawa sawa kabisa na kughushi sahihi ya mtu...mchezo huu wa kitoto ni wa hatari sana ukiachwa bila kukemewa vikali kama hivi.

Mimi naitwa KIFILIO na sio KIFILI,KIFILIO ni sir name,na hata mkienda kwenye kamusi KIFILIO maanake ni SHARPENER na kikwetu lina maana ya mtu shujaa.

Nikirudi kwenye mada kama nilivyowahi kuchangia kabla sijapokonywa kimabavu ID yangu ambalo ni jina halisi la ukoo wangu,nadhani tuna kila sababu safari hii kumsimamisha mwana mama,hii itakisaidia sana chama kuzipata kirahisi kura za kina mama ambao ndio mtaji mkubwa wa magamba.

Halima mdee naendelea kumlilia,huyu ni mwanamama wa chuma.
 
Napendekeza vyama vizingatie kusimamisha mgombea mwenye taaluma ya dr. Wa binadamu, wana utofauti na wana taaluma wengine
 
Mawazo yako haya unatakiwa ukubaliane na Mbowe mbabe wa wababe ndani ya chadema.
 
Tatizo la vinega la kudumu ni ukaidi,hata muwashauri vipi kitu kama hajasema slaa hawakikubali hata mfanye nini ila akitamka mungu wa chadema bwana slaa wote watafyata mkia..
 
WANACHADEMA HUYU MWENYE ID KIM KARDASH NI GAMBA,ANATUPOTEZA.anaweza kusema tumsimamisha millya arusha mjini 2muache lema.mara zote anakuja na mada za kukibomoa chadema.NAAPA KWAMBA SITAKAA NIICHANGIE THRID YAKE NA MUNGU ANISAIDIE.it seem that wote walotoa michango yao hapa ni magamba.
 
Back
Top Bottom