kiwatengu
Platinum Member
- Apr 6, 2012
- 19,288
- 17,777
anitake radhi aisee :A S 13::A S 13::A S 13::A S 13::A S 13:
Ni Mapinduzi au mageuzi?
Mkuu Excell,tupo majukumu yamekuwa magumu mno,najuta kwanini nimekuwa mkubwa.mi nimewamiss sana dada mkubwa Lizzy, bi mdogo wa zamani Passion Lady na mzee wa kuloggoff Washawasha!
kwa yeyote atakaewaona kokote na kuwawasilisha kwangu,
namtangazia dau la dola 100,000 za kimarekani!
changamkieni dili hilo...
Husninyo niko somalia mwezi sana nasubiri kazi UN ntakuja nairobi mwezi ujayo,bongo ntakuja kupiga kura mwakani,wasalimie wote.Mkimuona uporoto01....
nakumiss my x. haya TC.Husninyo niko somalia mwezi sana nasubiri kazi UN ntakuja nairobi mwezi ujayo,bongo ntakuja kupiga kura mwakani,wasalimie wote.
Walikuwa kwenye ile ndege ya Malaysia iliyopotea.
Mkuu Excell,tupo majukumu yamekuwa magumu mno,najuta kwanini nimekuwa mkubwa.
Nalog off
maaaaam ndenyiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiMmmm
Tuacheni kwanza.
Husninyo niko somalia mwezi sana nasubiri kazi UN ntakuja nairobi mwezi ujayo,bongo ntakuja kupiga kura mwakani,wasalimie wote.