I am humbled kuwa missed na marafiki..ubize tu but narudi mda si mrefu...thanx people..
Bujibuji nimemficha mahali anakula bata na siagi unamtaka nini?
Karucee acha uongo.Sionekani hii post umeionaje? Kiwatengu ni siku nyingi sana kaingia chitchat na post ya 'mtongozano live wa ki-utu uzima.' Baada ya hapo akapotea sijui alienda kwenye kampeni Kalenga au vipi. Mkewe Shansarie pengine alimfuata huko.
Yaani wewe lini na mimi utaamua nikugonge tu bila kung'ang'aniana ?
Mwaka jana aliota ndoto kwamba angefariki mwezi wa nne mwaka huu, na ilipokaribia mwezi wa nne tukawa tunamsikitikia siku silivyokuwa zinakata na hatimaye mwezi wa nne ndo huu so kwa kuwa naye haleti mrejesho tukajua ndo hivyo tena mwenzetu kesha r.i.p
Yaani wewe lini na mimi utaamua nikugonge tu bila kung'ang'aniana ?
Mimi nakuona upo sana hapa mmu ladyfurahia, tena unachangia thread vizuri tu. Sababu ya mimi kujisikia nawamiss hao niliowataja ni kwamba niliwakuta nilipojiunga JF desemba 2011 The Boss akatoaga thread moja moto kuhusu kanuni za kuwa na nyumba ndogo, Preta naye haachi kuarifu kwamba anatukaribisha Yaeda Chini nk. gfsonwin hali kadhalika mpaka akaitwa mwalimu hapa JF.Ndo maana najisikia sana kuwamiss.wala sikutegi bestito ni mm hapa hujanitaja kwani hujanitia machoni kwa muda wa siku ngapi?
Bujibuji bado huko hai ila nilimwacha kule jimbo la chalinze alikuwa anagombea na hata hivyo ameshindwa na mtoto wa mkuu wa nchi hii yeye kapata kura 5 mtoto wa mkuu wa nchi kapata kura750 sasa huoni hapo ndio tatizo hataki kuonekana hapa kwani anajua wote waliompigia kura hapa hawajajitokeza jimboni kabaki mwenyewe tu
ukimgonga tu nitamwambia muhusika kwanza ulikuwa wapi wewe ?
vipi umepata kura ngapi kule jimboni kwako chalinze nilikuona wanakutangaza mshindi kwa tiketi ya sisiemu au siyowewe nimekufananisha nini?
The Boss, heshima yako mkuu, habari za mjengoniI am humbled kuwa missed na marafiki..ubize tu but narudi mda si mrefu...thanx people..