shansarie
JF-Expert Member
- May 25, 2013
- 5,690
- 3,370
we ndo umepotea shem nimemis smile lako ulienda wapi
Yaani wewe lini na mimi utaamua nikugonge tu bila kung'ang'aniana ?
. Mkuuu heshima yako. Niko salama kabisa. Nimewamiss mno ubize tu but ntakuwepo full very soonKaribu tena mkuu The Boss,
Kwema huko ulikojificha? Umerudi salama? Tunasubiri taarifa ya maganda na risasi....only if you know what I mean sir!!
mkuu, habari za siku nyingi aisee? mi nilidhani ulikuwa kwenye ndege ile ya malaysia bana! lols..! karibu tena kwenye kilinge... i am major general, Excel.. Mkuuu heshima yako. Niko salama kabisa. Nimewamiss mno ubize tu but ntakuwepo full very soon
Mkuu Nashukuru sana ..nipo nowThe Boss heshima yako mkuu.kupotea kwako kulinifanya nihisi ukongwe umekuingia ghafla na kupofusha macho,yaani huwezi tena kuona maandishi ya jf.niwie radhi kwa hilo.nimepata faraja kukuonha u mzima,karibu tena.jina la bwana na lihimidiwe.
Yaani wewe lini na mimi utaamua nikugonge tu bila kung'ang'aniana ?
Yaani wewe lini na mimi utaamua nikugonge tu bila kung'ang'aniana ?