Dear Invisible,
Nakupongeza kwa jinsi unavyoendesha jamvi kwa umakini na bila upendeleo kuhakikisha sheria na taratibu za jamvi kufuatwa.
Keep it up!
Hapana,
Njabu Tha Dude
Ndjabu Tha Dude
Nyama Hatari
Shetani
ViciousRecklessSavage!!!
Will remain banned... Sorry to tell you this!
Chinga & Mswahili are free YES...
Hahahaha! unajua huyu jamaa nilikuwa nikimuona hapa nilikuwa nacheka sana.The guy is smart on issues lakini madudu yakimpanda....NN anajua. Anakula store na Mramba na Yona!Hapana,
Njabu Tha Dude
Ndjabu Tha Dude
Nyama Hatari
Shetani
ViciousRecklessSavage!!!
Will remain banned... Sorry to tell you this!
Hahahaha! unajua huyu jamaa nilikuwa nikimuona hapa nilikuwa nacheka sana.The guy is smart on issues lakini madudu yakimpanda....NN anajua. Anakula store na Mramba na Yona!
Poa kamanda pamoja sina noma
ha!ha!ha!ha!ha!ha!Come on now...Njabu is not that smart. Alifeli darasa la saba lakini yeye anadai ali pass ila nafasi yake akapewa mtoto wa kigogo. Nyinyi mnamwona smart kwa sababu anapenda kuongea kiingereza na anaeleweka zaidi ya Pundit.
ha!ha!ha!ha!ha!ha!
Come on now...Njabu is not that smart. Alifeli darasa la saba lakini yeye anadai ali pass ila nafasi yake akapewa mtoto wa kigogo. Nyinyi mnamwona smart kwa sababu anapenda kuongea kiingereza na anaeleweka zaidi ya Pundit.
Pundit is derived from an exogenous silicon based life form, unlike the bipedal carbon based organism, an extra terrestrial terrorist, so it does not surprise him that mere mortals shiver their timbers when he spits the scripts and pits your seats with his boomlike bionic-symphonic cantankerous cacophonic cold calculating cocoons.

LOL , huwa nikizisoma mada za pundit akiporomosha Ung'eng'e nafurahi sana... ananikumbusha mwalimu wangu wa Ki-inglishi darasa la saba, mwenyewe alikuwa na maneno yake anayaita ma-bombastic! We acha tu. lazima uwe na dictionary pembeni, .......
Huyu teacher was very Amiable fella,though very hard to appease, we always acquisced with him amicably, nevertheless we abhor his class as he can be right implacable sometimes!!
That man was very diligent,spoke eloquently, those were jolly good days one can not forget!!!