DeepPond
JF-Expert Member
- Nov 18, 2017
- 43,311
- 109,525
Sipati picha chemba ya mahojiano itakuaješ
Sahihi kabisa Israel au Russia ni bora ujiue wasikunase hao jamaa ni makatili balaa.
Hawa wataenda kuimbishwa kwaya katika chamber za kirusi muda sio mrefu watataja ramani yote.