Kwan anakulazimisha kuchukua?Kulipa ni ngumu unapojua unatapeliwa kitu cha elf20 dukani yeye anataka akupige 50
Yaani kulipa elfu 65 tu hamuwezi mpaka mrogwe?
Kweli maisha yamekuwa magumu aisee
Kuna mama mmoja hpa kitaa deni lilikuwa kubwa akataka akimbie, ile siku ya kuhama Muha amefika ngoma ikaenda hadi kwa mjumbe ikabidi wagawane vyombo
Na wa dawa bhana,Uchawi wao mkubwa ni
Nidhamu ya pesa
Kujinyima
Kujituma
Acheni dhulma watu wenyewe wamechoka vile anatembeza vyombo kutoka Mbezi mpaka Mbagala bado unataka kumdhulmu?? Kwano amekulazimisha kukopa?Nilijaribu kukopa begi la elfu 65 huku nikilipishwa bukumbili kila siku hadi itimie yote, kwa thamani ya lilie begi Kariakoo imezidi sana 35 ndio nikapanga kumlipa 40 kwa huruma yangu.
Sasa hawa jamaa huwezi kuwadhurumu aseee, hata ukisafiri mwaka ukirudi utamkuta anakusubiri.
Kuna jamaa yangu bingwa wa kutapeli lakini amefeli mission zote, yeye alichukua feni sasa kila chocho atakayopita muha huyu hapa, na siku akiwa job muha hatokei ila akiwa home tuh Muha anaoteshwa huko chap amefika na daftari lake, jamaa bila kudaiwa yeye mwenyewe anatoa pesa yake.
Hawa jamaa ni hatari kwa mambo ya mikopo usijaribu kuwakopa kama huna uhakika maana kazi ya kukopeshana na kudaiana ilivyo ngumu lakin kwao wanaimudu kwelikweli.
😅😅😅Wanawala sana wake za watu. Tena hawajyi kuhonga. Ni dawa tu wamechanjia kwenye ulimi au kinywa
Deni dawa yake rejeshoNilijaribu kukopa begi la elfu 65 huku nikilipishwa bukumbili kila siku hadi itimie yote, kwa thamani ya lilie begi Kariakoo imezidi sana 35 ndio nikapanga kumlipa 40 kwa huruma yangu.
Sasa hawa jamaa huwezi kuwadhurumu aseee, hata ukisafiri mwaka ukirudi utamkuta anakusubiri.
Kuna jamaa yangu bingwa wa kutapeli lakini amefeli mission zote, yeye alichukua feni sasa kila chocho atakayopita muha huyu hapa, na siku akiwa job muha hatokei ila akiwa home tuh Muha anaoteshwa huko chap amefika na daftari lake, jamaa bila kudaiwa yeye mwenyewe anatoa pesa yake.
Hawa jamaa ni hatari kwa mambo ya mikopo usijaribu kuwakopa kama huna uhakika maana kazi ya kukopeshana na kudaiana ilivyo ngumu lakin kwao wanaimudu kwelikweli.
Wakopesha vyombo sio machinga?Wewe unazungumzia wamachinga, Hakuna muha aliechoka huku
nawaogopaga sijawahi kopa kwao maana vitu vyao maana Bei zao ghalii mnoo mara mbili au tatu ya mjiniKuna mama mmoja hpa kitaa deni lilikuwa kubwa akataka akimbie, ile siku ya kuhama Muha amefika ngoma ikaenda hadi kwa mjumbe ikabidi wagawane vyombo
Umekutana na kiboko ya dhulumatiNilijaribu kukopa begi la elfu 65 huku nikilipishwa bukumbili kila siku hadi itimie yote, kwa thamani ya lilie begi Kariakoo imezidi sana 35 ndio nikapanga kumlipa 40 kwa huruma yangu.
Sasa hawa jamaa huwezi kuwadhurumu aseee, hata ukisafiri mwaka ukirudi utamkuta anakusubiri.
Kuna jamaa yangu bingwa wa kutapeli lakini amefeli mission zote, yeye alichukua feni sasa kila chocho atakayopita muha huyu hapa, na siku akiwa job muha hatokei ila akiwa home tuh Muha anaoteshwa huko chap amefika na daftari lake, jamaa bila kudaiwa yeye mwenyewe anatoa pesa yake.
Hawa jamaa ni hatari kwa mambo ya mikopo usijaribu kuwakopa kama huna uhakika maana kazi ya kukopeshana na kudaiana ilivyo ngumu lakin kwao wanaimudu kwelikweli.
Hawa watu wanakiwango kikubwa sana Cha uvumilivu.Daah hawa jamaa najiuliza wanapataje hela