hearly
JF-Expert Member
- Jun 19, 2014
- 54,297
- 80,156
Hahaha eti bahati '---- huyo nchina ni chick --?aise kweli mkavu
Uo si mtihani... Iyo ni bahati.
Mtihani ulinikuta mim.
Nilikaa na mchina toka dar es salaam hadi kampala kwa bus.
Mamaamae ni mikausho hadi tunafika dadek... Alafu nlikaa upande wa dirisha.
Control zoote za kwake..