Hawa Polisi wetu vipi? Mtakamata kabila zima?

Polisi wetu wana changamoto nyingi sana maana inakuwa shida sana katika kujua au kutafiti kosa, leo watu kama hawa wanakamatwa kabila nzima na je vipi watuhumiwa wengine wa ufisadi walifanya makosa na hasira kwa taifa letu
 
Unazungumzia kuwekwa rumande au kushikiliwa kwa mahojiano? Naona mnachanganya mambo hapa.

Sidhani kama unaweza kumshikilia mtu kwa mahojiano kwa zaidi ya masaa 24. Baada ya hapo ni mahakamani au aachiwe huru. Na je hayo mahojiano yanafanyika wakati wakili wa shahidi akiwepo?

Amandla.......
 
Naomba tusilaumiane huko mbeleni.
Let me give you a rule by Mafioso "Anybody who means business doesn't use threats gets up and does what he has to do. Or still, borrow a leaf from Clint Easstwood's movie 'The Good, the Bad and the Ugly'; "If you have come to shoot just shoot... Don't tal, talk."
Najua wengine hapa ni wafuata upeopo watu wa wakuitikia kiitikio cha hata wimbo msioujua. Hiyo hainisumbui. Karibu.
Mtu mzima hatishiwi nyau.

Mkuu mi sioni sababu ya kumtukana jamaa kwa comment zake.
Sasa na wewe naye tusi hapo ni lipi?
 
Everybody, and I mean everybody, is a suspect until the culprit is known with certainty. Unsubstantiated alibis are not solid alibis. Timelines have to be established and verified by the Police.

When was the victim last seen alive? Who was the last person to talk to her? When did the husband leave Tanga? When did he arrive in Dar? Who saw him? What details can be gleaned from the victim's mobile phone? What, according to the post mortem, was the time of death?

Who was the last person to see Mabakuri? When, and what transpired? Who phoned Mabakuri on Saturday and Sunday, and when was the last call made? Telephone companies can assist in this.

Relatives of persons of interest have to be asked about their last conversations with the victim and the persons of interest. The times involved are important.

Majinga's relatives should file a habeas corpus in court, and sue the Police for wrongful arrest.
 
Wa jameni msilaumu polisi katika hatua hii pamoja na mazingira ya mauaji haya. Mtu anavyomrecomend mtu ni kwa sababu anamfahamu. Hivyo basi ili apatikane ni lazima yeye anayemfahamu atusaidie kwa kiasi gani anamfahamu ili wapelelezi waweze kumpata kutokana na taarifa ambazo atawapatia. Na kwa kuwa mtu amefariki wakimuacha huru kwa kipindi hiki ni rahisi na yeye kutoroka na habari za mtuhumiwa zikashindikana kupatikana kirahisi.

Hivyo basi tuwaachie polisi wafanye kazi yao kwa muda. Huyu "contact" akitoa ushirikiano naamini watamuachia tu baada ya muda. Haya mambo tusiyachukulie kwa jazba. Hata kama CCTV ingekuwepo ingeonyesha tukio tu isingeonyesha mtu ameelekea wapi. Na kwa mazingira halisi huyu houseboy kama hajahusika kwa nini akimbie. Yeye ndio angekuwa wa kwanza kutoa taarifa hizo hata kwa majirani.
Una uhakika gani kama kakimbia? Kwa nini haufikiri kwamba yawezekana amepatwa na majanga (katekwa au kauawa) na wauwaji wa mke wa balozi.
 
Sidhani kama unaweza kumshikilia mtu kwa mahojiano kwa zaidi ya masaa 24. Baada ya hapo ni mahakamani au aachiwe huru. Na je hayo mahojiano yanafanyika wakati wakili wa shahidi akiwepo?

Amandla.......

Mh, ni wangapi kati yetu wana mawakili? au hata kujua kwamba ipo haki ya kuhojiwa mbele ya wakili wako? Lakini hili si kosa la polisi, huwezi kuwatupia mzigo huu polisi, maana itakua kichekesho.

Kuhusu kumshikilia mtu kwa mahojiano sijui sheria inasemaje kuhusu timeframe, maana ninavyojua mtu akishukiwa ndio anapewa muda fulani wa kukaa rumande kabla ya kupelekwa mahakamani, lakini kwa mahojiano sijui muda ukoje. Hata hivo ktk kadhia sijapata hasa nini kilijiri maana naona mambo mengi hapa yameanzia kwenye conclusion na kuja kinyumenyume.

Ni hayo tu kamanda.
 
Shukrani, Mkuu. Najua watanzania wengi hawajui hata maana ya wakili aca haki zao. Ndio maana Polisi wanatumia udhaifu huo kuwaonea wananchi. Haiwezekani wakawekewa muda ambao wanaweza kumshikilia mtuhumiwa halafu wakapewa blank cheque inapokuja mtu ambae wanataka kumhoji bila kuwa na uhakika wa kuhusika kwake kwenye tukio. Kumweka ndani mtu hadi awatajie mtuhumiwa yuko wapi ni unyanyasaji wa hali ya juu hasa tukizingatia hali ya hizo mahabusu za polisi.

Scenarios ni nyingi tu katika tukio hili la kusikitisha:
1) Mfanyakazi wa ndani alishirikiana na watu wengine katika tukio.
2) Mfanyakazi wa ndani alifanya mauaji haya peke yake. apa vile vile inawezekana alifanya kwa makusudi au bila kukusidia.
3) Mfanyakazi wa ndani alishirikiana na jamaa ambao baada ya tukio wamemuua nae ili kupoteza ushahidi au kujiongezea mgao.
4)Mfanyakazi hakuhusika kabisa lakini alikimbia kwa kutambua kuwa kwa vyovyote vile yeye ndiye atakayebebeshwa mzigo wote.

Amandla......
 
inapotokea mauaji ya spouse.. the first person you need to eliminate from the possible suspects ni mwenzi aliyesalia. You have to be sure 100% that he/she is not involved.. it doesn't matter what they tell you happened..

Naomba mpitie hapa kuhusu mauaji ya Tara Grant si mbali na kijiji ninachoishi (as a matter of fact walipooka baadhi ya viungo vya mwili wake ni sehemu ninayopenda kuwapeleka wajukuu kucheza cheza)

[ame]http://en.wikipedia.org/wiki/Murder_of_Tara_Lynn_Grant[/ame]
 
Scenarios ni nyingi tu katika tukio hili la kusikitisha:
1) Mfanyakazi wa ndani alishirikiana na watu wengine katika tukio.
2) Mfanyakazi wa ndani alifanya mauaji haya peke yake. apa vile vile inawezekana alifanya kwa makusudi au bila kukusidia.
3) Mfanyakazi wa ndani alishirikiana na jamaa ambao baada ya tukio wamemuua nae ili kupoteza ushahidi au kujiongezea mgao.
4)Mfanyakazi hakuhusika kabisa lakini alikimbia kwa kutambua kuwa kwa vyovyote vile yeye ndiye atakayebebeshwa mzigo wote.

Amandla......

FM.. let me add something here.. : Itakuwaje kama huyo msaidizi wa nyumbani alishuhudia mauaji hayo na akawakuta waliofanya kitendo hicho na akajua hata akienda mahakamani hawezi kuwashinda?
 
check this out:

Daily News

POLISI Kanda Maalumu ya Dar es Salaam, itatoa zawadi nono na fedha taslimu Sh milioni 5 kwa mtu atakayefanikisha kukamatwa kwa kijana James Mabakuri (22), anayetuhumiwa kumuua mke wa Balozi mstaafu Andrew Daraja.

Kamanda wa Kanda hiyo, Suleiman Kova, alisema hayo jana wakati akizungumza na waandishi wa habari na kuongeza kuwa mtoa taarifa huyo atalindwa na kuhakikishiwa usalama wake baada ya kutoa taarifa.

Kijana huyo anatuhumiwa kumuua Anna Mbago (65), mkazi wa Kimara Temboni, kwa kumchoma kisu kifuani na tangu siku ya tukio Polisi inaendelea kumsaka bila mafanikio.

Katika hatua nyingine, Polisi inawashikilia raia wawili wa Kenya na Ujerumani kwa tuhuma za kukutwa na noti bandia zikiwamo dola za Marekani 8,400, euro 9,500 na Sh 680,000.

Tukio hilo lilitokea juzi jioni Msasani Mwisho, Kinondoni na watuhumiwa hao ni Arne Kipper(30) wa Ujerumani na raia wawili wa Kenya waliotambuliwa kwa jina moja moja la Reuben na Yego, wote wakiwa na umri wa miaka 36.

Fedha hizo zilikamatwa baada ya upekuzi uliofanywa katika gari namba T 727 BAK aina ya Toyota Cresta ya raia huyo wa Ujerumani na Polisi inaendelea na uchunguzi zaidi ili kufahamu mtandao wa watuhumiwa hao.

Pia aliwahadharisha wananchi kuwa makini na fedha zinazotolewa kutokana na kuwapo nyingi bandia badala ya kuziamini zaidi za nje kwa madai kwamba haziwezi kuwamo za bandia.
 
Wewe jamaa inaonekana akili yako ina chongo maana hata siyo makengeza. Polisi wa Tanania wamesomea wapi? CCP? Kwenye hili jambo siyo swala la kwata (ambayo ndio wametumia ni busara za kawaida tu. Kwa hiyo unataka mnyororo urefushwe hadi kwa wazazi wake maana kwa mtazamo wako wana makosa mawili. Mosi kumzaa na pili kutoa ruhusa akafanye kazi kwa balozi. Hapa pia ongeza na karani aliyemuuzia tiketi ya basi, dereva wa basi aliyemleta mjini.umalizie na balozi mwenyewe aliyempa ajira.

Wakuu,

Believe me or not unaweza ukakuta huyo houseboy wala hausiki na hayo mauaji ukiachilia mbali huyo mdhamini wake. Inawezeakana kijana ameamua kukimbia kuogopa hadha za polisi baada ya mauaji kutokea. Inawezeakana aliona kilichotokea au hakuona. Je kutoweka kwa huyo kijana haiwezekani ikawa njama za huyo Mzee Daraja mwenyewe na kwamba yeye ndiye aliyehusika na hayo mauaji?

Naamini mdhamini anashikiliwa ili kusaidia kutoa taarifa zitakazosaidia kupatikana kwa huyo houseboy lakini si kwa kuwa alishiriki mauaji!!!

Tiba
 
Ningekuwa mimi ndio naongoza upelelezi mtu wa kwanza kumpa kizaa zaa ni dereva wa Balozi!
 
pix.gif

Na Haruni Sanchawa
Bosi wa Tanzania Awamu ya Tatu, Benjamin William Mkapa amewabana mahausigeli na mahausiboi akitaka wasipewe ajira bila kuwa na mafaili yenye rekodi inayoonesha maeneo wanayoweza kupatikana punde wanapoharibu kwa waajiri wao na kuingia mitini.... Mheshimiwa Mkapa aliyasema hayo Jumatano iliyopita, kwenye msiba kwa Balozi Mstaafu, Andrew Daraja ambapo shambaboi, James Maburu anatuhumiwa kumuua kwa kumchoma na kisu mke wa balozi huyo.

Akiongea katika hali ya masikitiko na majonzi mazito wakati akiagana na baadhi ya waombolezaji, Mkapa alisema iko haja kwa waajiri wa wafanyakazi wa ndani kuhakikisha kila anayeajiriwa (hausigeli, hausiboi) anafunguliwa ‘faili’ lenye vielelezo vyote vitakavyowezesha kupatikana kwake punde inapotokea anafanya uhalifu na kukimbia.

Kwa upande wake Balozi Daraja alipoongea na Mwandishi Wetu alisema kuwa, alikuwa safarini na siku aliporejea aliukuta mwili wa mkewe ukiwa umelala nyuma ya nyumba ukiwa amechomwa kisu kifuani.

Balozi Daraja alisema kuwa, upekuzi uliofanywa na polisi uligundua kuwa, kitu kilichochukuliwa ni pesa kiasi cha shilingi milioni mbili tu, kwa pembeni kukiwa na silaha.

Polisi bado inamshikilia mtu aliyempeleka nyumbani kwa balozi huyo Shambaboi James kwa ajili ya uchunguzi, lengo likiwa kusaidia kupatikana kwa mtuhumiwa.

http://www.globalpublisherstz.com/
 
Kwa nini umpe yeye kizaazaa wakati hakuwepo hapo muda unaosadikika kuwa mauaji hayo ndio yalifanyika?

Well.. angalia jibu hili jipya...

Na Haruni Sanchawa
.....
Kwa upande wake Balozi Daraja alipoongea na Mwandishi Wetu alisema kuwa, alikuwa safarini na siku aliporejea aliukuta mwili wa mkewe ukiwa umelala nyuma ya nyumba ukiwa amechomwa kisu kifuani.

Balozi Daraja alisema kuwa, upekuzi uliofanywa na polisi uligundua kuwa, kitu kilichochukuliwa ni pesa kiasi cha shilingi milioni mbili tu, kwa pembeni kukiwa na silaha.

http://www.globalpublisherstz.com/[/QUOTE]

ndiyo sababu ningemtia pingu huyo dereva.. na huyo aliyemrecommend aachiliwe tu kwani huyo Mabakuri hawezi KAMWE kupatikana.
 
Dude...sikuelewi kabisa. Umtie pingu dereva kwa minajili gani? Sielewi kabisa dereva anahusika vipi na kilichotokea. Hebu nieleweshe maana labda kuna kitu sikipati...Or are you just being sarcastic?
 
pix.gif

Na Haruni Sanchawa
Bosi wa Tanzania Awamu ya Tatu, Benjamin William Mkapa amewabana mahausigeli na mahausiboi akitaka wasipewe ajira bila kuwa na mafaili yenye rekodi inayoonesha maeneo wanayoweza kupatikana punde wanapoharibu kwa waajiri wao na kuingia mitini.... Mheshimiwa Mkapa aliyasema hayo Jumatano iliyopita, kwenye msiba kwa Balozi Mstaafu, Andrew Daraja ambapo shambaboi, James Maburu anatuhumiwa kumuua kwa kumchoma na kisu mke wa balozi huyo.

Akiongea katika hali ya masikitiko na majonzi mazito wakati akiagana na baadhi ya waombolezaji, Mkapa alisema iko haja kwa waajiri wa wafanyakazi wa ndani kuhakikisha kila anayeajiriwa (hausigeli, hausiboi) anafunguliwa ‘faili' lenye vielelezo vyote vitakavyowezesha kupatikana kwake punde inapotokea anafanya uhalifu na kukimbia.

Huyu chinga naee..aarggh.

Waajiriwa wenu tu serikalini mnashindwa kueka rekodi zao sawasawa, ndio mtawaweza hawa mahaus help ambao kwanza wanakuwa under-employed na manyanyaso kibao, ambayo machozi yake ni ya samaki?
 
Houseboy amefanya kazi kwa mda gani?
Intention ya kumuua mke wa balozi ilikua ni hiyo million mbili tu?
Something isn't right fellas na kwanini wakimbilie kumshutumu huyo hoesboy haraka hivyo?
Ndoa ya balozi na mkewe ilikueje? Yani palikua na ugomvi, tishio la talaka e.t.c.

Marehemu kakutwa nyuma ya nyumba na Kisu kifuani halafu kitu kilicho chukuliwa ni sh milioni 2 na pembeni kuna silaha???????????? Hahahaha ni silaha ipi tena hio?
 
Huyu chinga naee..aarggh.

Waajiriwa wenu tu serikalini mnashindwa kueka rekodi zao sawasawa, ndio mtawaweza hawa mahaus help ambao kwanza wanakuwa under-employed na manyanyaso kibao, ambayo machozi yake ni ya samaki?

hahahaha!! Mimi nilicheka tu!! Proposed solution zingine?? I can't even start to criticize!
 
Back
Top Bottom