swissme
JF-Expert Member
- Aug 15, 2013
- 13,663
- 19,906
weka picha yako tujue kuwa wewe chura umenona kweli.Juzi nilikuwa airport nasubiria begi langu ili niingie bongo, mwanaume mmoja akaja pembeni yangu na kusubiria begi lake. Alipolipata kabla langu halijaja akanisalimia. ... mambo chura.... umenona. .. umependeza chura......
Sikumjibu kitu kwa kuwa nilikuwa nimechoka na safari. Sasa hapa namjibu. .....
Chura mwenyewe. ..
hao ni dili mdau wanauzwa kwa pesa nzuri aise na wateja wakubwa ni wachina wabongo tusikariri biashara siyo kuku tu kuna fursa nyingi tena hazina ushindani kabisa kama hii ya vyura
infact my sister wayukayo! umepandamo ka-eroplane. eee nyegera n'otushene waitu.
Nimekusikia ujue?
Haaaaa, kumbe ndio wewe yule dada? Khaaa. Uongo mbaya nlikuangalia Mara kumi kumi na mwisho nkajikuta naropoka vile. Nsamehe na pia Hongera sana maana looh!!
Hapo unataka tujue umepanda ndege Wahaya buana.
wahaya wapi msukuma huyo hahahah!
afu weweeee we ngoja tu.Juzi nilikuwa airport nasubiria begi langu ili niingie bongo, mwanaume mmoja akaja pembeni yangu na kusubiria begi lake. Alipolipata kabla langu halijaja akanisalimia. ... mambo chura.... umenona. .. umependeza chura......
Sikumjibu kitu kwa kuwa nilikuwa nimechoka na safari. Sasa hapa namjibu. .....
Chura mwenyewe. ..
afu weweeee we ngoja tu.
kiin macho maji nimeyaficha huku.Chura nakuulizia unipe jibu makini kwa kila .........
Kutwa kucha kisimani maji hatuyaoni. ...........
Churaaaaaaaaa
kiin macho maji nimeyaficha huku.
kwan wayataka maji nikutoleee???
ija maha wange rubis iliyomuka.Tooobaaaaaaa............ laahaaaulaaaaaa......
Rubisi unayo. ..?
Nchutama jee...
ija maha wange rubis iliyomuka.
[emoji239] wang
mmmmmh njo Pm......................
Mmmmhhhhh ngoja nimuite Rugaibamu anigambire. ......😀
Vijana wa dar bhana badala ya kufuga kuku wa mayai au wanyama wanafuga vyura. Magufuli una kazi sana Rais wangu.