Hapo unataka tujue umepanda ndege Wahaya buana.Juzi nilikuwa airport nasubiria begi langu ili niingie bongo, mwanaume mmoja akaja pembeni yangu na kusubiria begi lake. Alipolipata kabla langu halijaja akanisalimia. ... mambo chura.... umenona. .. umependeza chura......
Sikumjibu kitu kwa kuwa nilikuwa nimechoka na safari. Sasa hapa namjibu. .....
Chura mwenyewe. ..
Nimekusikia ujue?Juzi nilikuwa airport nasubiria begi langu ili niingie bongo, mwanaume mmoja akaja pembeni yangu na kusubiria begi lake. Alipolipata kabla langu halijaja akanisalimia. ... mambo chura.... umenona. .. umependeza chura......
Sikumjibu kitu kwa kuwa nilikuwa nimechoka na safari. Sasa hapa namjibu. .....
Chura mwenyewe. ..
Watanzania tubadilike kifkra sio kiumbonilifikiri wa snura
huyu jamaa anayefuga hawa vyura ni JIPU. ana kibali cha kumiliki hizo NYARA za serikali? jela inamuita.Leo nimeangalia kipindi cha Uswazi kuna jamaa anafuga hawa vyura sasa ningeomba kama kuna wataalamu wa viumbe vya majini watuambie hawa vyura nia aina gani?
hata mimi nimekuja mbiombio nikidhani ni chura wa snura kumbe sio.nilifikiri wa snura