Mwana Mtoka Pabaya
JF-Expert Member
- Apr 22, 2012
- 15,117
- 16,506
Hapo unataka tujue umepanda ndege Wahaya buana.
Hajui Yanga daily wako kwenye ndege na tumemkimbiza Kiiza sababu hatutaki Wahaya kwenye ndege
Hapo unataka tujue umepanda ndege Wahaya buana.
Leo nimeangalia kipindi cha Uswazi kuna jamaa anafuga hawa vyura sasa ningeomba kama kuna wataalamu wa viumbe vya majini watuambie hawa vyura nia aina gani?
![]()
![]()
😀😀😀haahaahaaaaa😀😀😀Juzi nilikuwa airport nasubiria begi langu ili niingie bongo, mwanaume mmoja akaja pembeni yangu na kusubiria begi lake. Alipolipata kabla langu halijaja akanisalimia. ... mambo chura.... umenona. .. umependeza chura......
Sikumjibu kitu kwa kuwa nilikuwa nimechoka na safari. Sasa hapa namjibu. .....
Chura mwenyewe. ..
anawafuga ili wawe niniau wanaliwa?huyu jamaa anayefuga hawa vyura ni JIPU. ana kibali cha kumiliki hizo NYARA za serikali? jela inamuita.
Fa. la kweli ww umekariri ufugaji ni kuku tu......!!!?Vijana wa dar bhana badala ya kufuga kuku wa mayai au wanyama wanafuga vyura. Magufuli una kazi sana Rais wangu.
Kishafungiwa huyo...nilifikiri wa snura
hao ni dili mdau wanauzwa kwa pesa nzuri aise na wateja wakubwa ni wachina wabongo tusikariri biashara siyo kuku tu kuna fursa nyingi tena hazina ushindani kabisa kama hii ya vyuraWakuu kama huyu ni dili mniambie tafadhali, nyumbani kwangu wananisumbua sana hawa kuingia kwenye reservoir ya mma. Ni jeuri sana huyo chura, kama ni 'bayoanuai' ningefurahi kujua
infact my sister wayukayo! umepandamo ka-eroplane. eee nyegera n'otushene waitu.Juzi nilikuwa airport nasubiria begi langu ili niingie bongo, mwanaume mmoja akaja pembeni yangu na kusubiria begi lake. Alipolipata kabla langu halijaja akanisalimia. ... mambo chura.... umenona. .. umependeza chura......
Sikumjibu kitu kwa kuwa nilikuwa nimechoka na safari. Sasa hapa namjibu. .....
Chura mwenyewe. ..
mkuu mbona umebadlisha ile avatar yako? irudishe, ndio identity yako unique zaidiccm hao
swissme
niko summer bro.mkuu mbona umebadlisha ile avatar yako? irudishe, ndio identity yako unique zaidi
Yaani dar ni noma nilikuwa Kariakoo nikasia chura chura nikangalia kwenye mitaro labda ameonekana lahaula kumbe walimanisha chura...we ukisikia chura chura angalia kwa nakini utamwona.Hapo unataka tujue umepanda ndege Wahaya buana.
wapi huko?niko summer bro.
swissme
Juzi nilikuwa airport nasubiria begi langu ili niingie bongo, mwanaume mmoja akaja pembeni yangu na kusubiria begi lake. Alipolipata kabla langu halijaja akanisalimia. ... mambo chura.... umenona. .. umependeza chura......
Sikumjibu kitu kwa kuwa nilikuwa nimechoka na safari. Sasa hapa namjibu. .....
Chura mwenyewe. ..
Hapo unataka tujue umepanda ndege Wahaya buana.