HAWA MAINFLUENCERS WA YANGA NI MACHAWA TU!

HAWA MAINFLUENCERS WA YANGA NI MACHAWA TU!

kibaigwa finest

Senior Member
Joined
Oct 18, 2026
Posts
136
Reaction score
141
Yaani WANAONA timu Kama ni timu yao wenyewe wanaamua tu kuongea chochote kwenye mitandao Ila shabiki wa kawaida akitoa ukweli kuhusu club Tena mwenendo was timu ni mbovu Hawa jamaa wanamjia juu Hawa no machawa tu
 
Back
Top Bottom