johnsonmgaya
JF-Expert Member
- Oct 16, 2015
- 2,818
- 3,731
Ukiwa tayari tupo tayr kukodiwa mkuuahahahahaahaha
Tena bwege la mwishoHuyo jamaa bwege tu.. Baadae akiachwa ndo anakuja hapa kutusumbua.. Ooh nilikuwa nampenda xana
HahaahaTena bwege la mwisho
Hii ni siku spesho mara moja tu ktk dunia so wanahaki ya kuifurahia mkuuNi ujinga tu unawasumbua wanadhani maisha ya mke na mume ni kama wa kuishi na kimada.
Kuna miaka tutachekwa kama tunavyowacheka waliokuwa wanvaa Rizon (viatu- spelling???), bugaloo (suruali- spelling???) etc
Ushamba na ulimbukeni mtupu huo!All that resource and effort just for kissing???
Attraction,,,, na pozi la pichaUshamba na ulimbukeni mtupu huo!All that resource and effort just for kissing???
Daahhh we acha tu tena wa kwanza d platinum nguo anazovaagaKuna miaka tutachekwa kama tunavyowacheka waliokuwa wanvaa Rizon (viatu- spelling???), bugaloo (suruali- spelling???) etc
Ndiyoo kama nilivyosema, pozi za kishamba hizo!Attraction,,,, na pozi la picha
Mbona wamevutia lakini ??Ndiyoo kama nilivyosema, pozi za kishamba hizo!
Wendawazimu...!
Show love to each other... sherehe yenyewe ni 1 ktk maisha kujitoa ujinga siku moja unapungukiwa nn?Wendawazimu...!
[emoji3] [emoji3] [emoji3] [emoji115]Show love to each other... sherehe yenyewe ni 1 ktk maisha kujitoa ujinga siku moja unapungukiwa nn?