Ng'wanamangilingili
JF-Expert Member
- Aug 22, 2015
- 5,794
- 4,883
ingependeza zaidi kama wasaidizi wa bibi harusi wangembeba bwana harusi and vice versa.
ingependeza zaidi kama wasaidizi wa bibi harusi wangembeba bwana harusi and vice versa.
Wangemshika dudu, na hao wasaidizi wa bwana harusi no wonder wakagusa kipochi manyoya makusudiingependeza zaidi kama wasaidizi wa bibi harusi wangembeba bwana harusi and vice versa.
Hahahaha mzee wa 3Wangemshika dudu, na hao wasaidizi wa bwana harusi no wonder wakagusa kipochi manyoya makusudi
Hahaha mbna mm niliusiwaga mkigombana na mwenzio nenda sebuleni ukaangalie cd ya ndoa? hasa ile party ya kanisani wakati wa pete!!!Ila hizo mbwembwe tu. Hizo swaga utafikir hakuna kuachana. Baadae ukiwaza shangwe ulizofanya kwny harusi yko, halafu ndani mnazinguana, utatamani CD au albam uichome moto.
Mbna mnawaonea wivu hvo, hawa wameapa hadi kifo kiwachukue[emoji23] [emoji23] [emoji23]Ukiona ndoa inafanyika kwa mbwembwe nyingi ujue mwisho wake unahesabika, uliza waliofungia angani wamefikia wapi.
Me huwa nasema, Kama lilivyo tendo la ndoa hata ndoa yenyewe inapaswa iwe faragha ili hata ikiachika uachike kimya kimya.
Kwa mihemuko hiyo, lazima kifo kianze na ndoa kwanza ndo wanandoa wanafuata. Ndoa haitaki mbwembwe, ni kama kaburi tu.Mbna mnawaonea wivu hvo, hawa wameapa hadi kifo kiwachukue[emoji23] [emoji23] [emoji23]
toa mikono nkutakie heri ya sikukuu mkuu!Tena bwege la mwisho
Ushamba na ulimbukeni mtupu huo!All that resource and effort just for kissing???
Hahahaha! Kuonea wivu ushamba na ulimbukeni?? Hahahahaha.Ebu niache!Wacha wivu wewe ungependa uwe wewe.
Mwenye bahati ndio huyo anakula denda.
Kitu kingine sidhani walitumia Sh Milioni 30 Au 50 Kwa maraha Yao.
Hongereni sana tu Na kila la kheri ktk ndoa yenu
Ndoa raha ww unafikiri hawa single mamas wanapenda kua hivo??Huyo dada wa kwanza kulia nae ametamani