Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 35,667 Reaction score 70,303 Jan 6, 2023 #1 Kuna chuo fulani huko majuu kimetoa list yake ya "The most beutiful women in the world" na list ya ndo hii...
Kuna chuo fulani huko majuu kimetoa list yake ya "The most beutiful women in the world" na list ya ndo hii...
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 35,667 Reaction score 70,303 Jan 6, 2023 Thread starter #2 Ila hawa wenzetu sijui uzuri wao huwa wanaangalia nini mimi hapo naona wa pili ndo mzuri zaidi na labda Deepika
Ila hawa wenzetu sijui uzuri wao huwa wanaangalia nini mimi hapo naona wa pili ndo mzuri zaidi na labda Deepika
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 35,667 Reaction score 70,303 Jan 6, 2023 Thread starter #3 Maoni baadhi ya watu
Kinengunengu JF-Expert Member Joined May 3, 2021 Posts 1,717 Reaction score 4,401 Jan 6, 2023 #4 Kama kwenye Listi hii hayupo mke wangu mama Manka ni Batili.
raraa reree JF-Expert Member Joined Jul 11, 2015 Posts 11,509 Reaction score 35,699 Jan 6, 2023 #5 List ya mchongo tu ili waendelee kuwatumia kupiga pesa kwenye matangazo nk
Troyes JF-Expert Member Joined Aug 1, 2018 Posts 1,405 Reaction score 1,196 Jan 6, 2023 #6 Kalpana said: Kuna chuo fulani huko majuu kimetoa list yake ya "The most beutiful women in the world" na list ya ndo hii... View attachment 2471064View attachment 2471066View attachment 2471067View attachment 2471068View attachment 2471069View attachment 2471070View attachment 2471071View attachment 2471072View attachment 2471073 Click to expand... Bado cjaona wa kufikia mke wangu
Kalpana said: Kuna chuo fulani huko majuu kimetoa list yake ya "The most beutiful women in the world" na list ya ndo hii... View attachment 2471064View attachment 2471066View attachment 2471067View attachment 2471068View attachment 2471069View attachment 2471070View attachment 2471071View attachment 2471072View attachment 2471073 Click to expand... Bado cjaona wa kufikia mke wangu
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 35,667 Reaction score 70,303 Jan 6, 2023 Thread starter #7 Kinengunengu said: Kama kwenye Listi hii hayupo mke wangu mama Manka ni Batili. Click to expand... Hapo sasa...mama mankaa
Kinengunengu said: Kama kwenye Listi hii hayupo mke wangu mama Manka ni Batili. Click to expand... Hapo sasa...mama mankaa
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 35,667 Reaction score 70,303 Jan 6, 2023 Thread starter #8 Troyes said: Bado cjaona wa kufikia mke wangu Click to expand... Eti eee
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 35,667 Reaction score 70,303 Jan 6, 2023 Thread starter #9 Huyo namba 10 jamani
Kelsea JF-Expert Member Joined Dec 21, 2020 Posts 14,970 Reaction score 35,342 Jan 6, 2023 #10 Kalpana said: Huyo namba 10 jamani Click to expand... Hahaa imebidi nirudi kumcheki, wana utani hawa walio toa hyo list.
Kalpana said: Huyo namba 10 jamani Click to expand... Hahaa imebidi nirudi kumcheki, wana utani hawa walio toa hyo list.
DeepPond JF-Expert Member Joined Nov 18, 2017 Posts 43,311 Reaction score 109,418 Jan 6, 2023 #12 Wazungu hawana akili kabisa
atlas copco JF-Expert Member Joined Jun 15, 2015 Posts 8,545 Reaction score 9,774 Jan 6, 2023 #13 No 2 ndio nimemwelewa na hao mablack
Shimba ya Buyenze JF-Expert Member Joined Dec 22, 2014 Posts 183,582 Reaction score 1,105,433 Jan 6, 2023 #14 Kama hawana tako ni kazi bure! ๐ฎ๐ฎ๐ฎ Attachments Pisi kali.mp4 2.9 MB
N Nikilewa mniache JF-Expert Member Joined Aug 8, 2015 Posts 19,326 Reaction score 52,045 Jan 6, 2023 #15 Yani wote hawajamfikia hata Eliza wangu hapa kitaa... Wapowapo kama midoli hivi
Zulu man JF-Expert Member Joined Nov 28, 2020 Posts 6,320 Reaction score 16,564 Jan 6, 2023 #16 Kama umekosekana kwenye hii list huu uzi ni uongo Kalpana ๐
Kalpana JF-Expert Member Joined Jun 16, 2017 Posts 35,667 Reaction score 70,303 Jan 6, 2023 Thread starter #18 Zulu man said: Kama umekosekana kwenye hii list huu uzi ni uongo Kalpana ๐ Click to expand... Umeona eee kuna pisi kali za kiafrica unabaki unashangaa
Zulu man said: Kama umekosekana kwenye hii list huu uzi ni uongo Kalpana ๐ Click to expand... Umeona eee kuna pisi kali za kiafrica unabaki unashangaa
Toxic Concotion JF-Expert Member Joined Aug 5, 2015 Posts 5,782 Reaction score 21,010 Jan 6, 2023 #19 itakuwa huyo alietoa ripoti ni kipofu. Kuna wengine hapo ukiwaweka na Harmorapa ataonekana pisi kali.
itakuwa huyo alietoa ripoti ni kipofu. Kuna wengine hapo ukiwaweka na Harmorapa ataonekana pisi kali.
Kinumbo JF-Expert Member Joined Dec 8, 2019 Posts 3,188 Reaction score 5,810 Jan 6, 2023 #20 Shimba ya Buyenze said: Kama hawana tako ni kazi bure! Click to expand...