nimepata tamko hili toka chadema:
mwanakijiji, kama chadema wamesingiziwa si walishitaki gazeti?
Kwanini chadema wakanushe ripoti hiyo bila ya kuwaonyesha wa tz orodha sahihi ya wabunge wao wa kuteuliwa?
Kwanini iwe siri mpaka baada ya uchaguzi? Wapiga kura wanahitaji kuambiwa ukweli na kudai orodha ni siri, basi tutaingiwa na shaka ya kuwa kuna kitu hapa tunafichwa!!!