Hawa ndiyo wabunge wa viti Maalum CHADEMA, CCM na CUF

Yaani nimecheka mpaka mbavu zikauma!!!
Yaani mke wa Slaa, mama mkwe, mtoto wa Ndesamburo, dada wa Mbowe, shemeji wa zitto Kabwe, na ndugu na marafiki wa vigogo wa Chadema wako katika listi ya wabunge wa kuteuliwa!!!!!!!!!!!
Kiukweli kuna watu wanapenda sana kuisingizia Chadema mambo ya uongo, mfano huyu Kadogoo, huu si ni uongo mtupu huu?!.
Pasco.
 
Back
Top Bottom