Hawa ndiyo Campaign Managers wa CHADEMA Arumeru Mashariki na Kamanda wa Operation

Mkuu turudi kwenye hoja ya msingi, ukitaka tafsiri ya mzinzi, Dr Slaa anaangukia kwenye kundi la wazinzi nikiwemo mimi mwenyewe.

Nashukuru Mkuu Matola kwa kutoa mfano zaidi.Binafsi sikupenda kufika kwenye mfano uliotoa wewe.Na imani kijana ataelewa.
 
Tukiendelea kumshambulia Mwigulu badala ya kushambulia hoja zake tutaanza kushindwa kabla ya uchaguzi wenyewe! Ngoja mimi ni muulize maswali machache ambayo Nape aliyakimbia bila kuyatolea majibu:
-Mwigulu, umeridhika na mchakato wa kumpata mgombea wenu Siyoi?
-Mwigulu, kura za maoni nazo zilihitaji mgombea apate zaidi ya nusu ya kura halali zilizopigwa?
-Mwigulu, secretariet yenu inaonekana kuvuja sana. Tatizo ni nini na ni nani?
-Mwigulu, mnapambanaje na makundi/watu yenye nguvu kuliko vikao vyenu halali vya chama?
-Mwigulu, sidhani kama wewe ni mwanasiasa. Wamekutoa wapi akina JMK?
-Mwigulu, unaamini juu ya chaguzi za matumizi makubwa ya pesa kutupatia VIONGOZI BORA?
-Mwigulu, mara nyingi unapokuwa wewe, Nape hayupo au yuko kungine. Mnafanyaje kazi ndani ya secretariet?
Nitaakuuliza na mengine mengi kama utaridhia kunijibu haya. Natanguliza shukrani.
 
Wana jf mbona kwenye topic hii mmejitambulisha kwa vyama? Jf leo kama ofisi ya chama vile. Mimi mtazamo wangu tusubiri hata siku kumi za mwanzo za kampeni ndio tutoe tathimini upepo wa siasa huwa sio mnyoofu kiasi cha ku determine kwa kupitia mfungua kampeni au kiongozi wa kampeni.

Upepo wa siasa hubadilika hata siku ya kufunga kampeni. Kujiaminisha kwa namna hii ni kujeruhi nafsi punde matokeo yanapokuwa tofauti. Mpiga kura pekee ndie anaweza kuwa na uhakika wa kura yake endepo mungu akimweka hai mpaka voting day. Kama wenzangu na campain team yenu mnatabiri mteremko ni heri kwenu.

But to me I PREDICT A TOUGH BATTLE, NA NAKWENDA NIKIJUA HILO AND AM DETERMINED TO USE USHAWISHI WOTE NILIOJALIWA HAPA DUNIANI KUTETEA NINACHOAMINI TO PROVE WRONG WATU WANAOTABIRI MTEREMKO KAMA THE SO CALLED MGENI WENU KWENYE ID YAKE

Karibu sana mkubwa.

Afadhali umekuja,ivi zile tuhuma za kumla uroda mke wa kada mwenzako ni zakweli?
 
Wakuu salaam

Jana kulifanyika uteuzi wa watu wawili, meneja wa kampeni pamoja na msaidizi wake kwa ajili ya uchaguzi mdogo wa Arumeru Mashariki. Wapiganaji hao ni;

Meneja wa Kampeni atakuwa Ndugu Yohana Israel Natse (MB), msaidizi (naibu) atakuwa Ndugu Vicent Nyerere (MB). Kamanda wa Operation katika uchaguzi huu, kama mjuavyo kwa sababu ya kutangazwa awali ni mpiganaji John Mrema.

Habari juu ya masuala ya mengine ya kampeni na mengine mengi, hasa yanayotokana na maamuzi ya Kamati Kuu iliyokutana Machi 3-4, USA River, Meru, Arusha, yatatolewa katika mkutano na waandishi wa habari unaotarajiwa kufanyika mchana huu, Machi 5, 2012, Makao Makuu ya CHADEMA, Dar es Salaam.

Huyu Yohana Natse hajui kuongea aisee ila kwa Vincent Nyerere na John Mrema CDM wamepatia! tukutane Arumeru Mashariki!
 
Mkuu Mgeni Wenu

Nadhani si busara kutumia lugha ya mauzi ama matusi hapa jukwaani kwa kumlenga mtu binafsi,sidhani kama una ushahidi wa kuprove hizo allegation beyond reasonable doubt zaidi ya tetesi (japo hapa si mahala pake pia). Ni utamaduni wetu hapa jamvini kupingana kwa hoja lakini si ku-attack personal character ya member yeyote hapa. Neno MZINZI ama UZINZI ni pana sana na tafsiri yake iko wazi ndani ya vitabu vitakatifu ambavyo na imani ata wewe ni muumini pia. Kukusaidia "kuzini" ni kwenda nje ya ndoa ama kushiriki na mwanamke asiye halali yako. Kwa Waislam wanaendaa mbali zaidi kwa maana ya kumtizama Mwanamke kisha ukamtamani ni KUZINI pia.

Kwa kutumia neno hili kama tusi kwa mtu, si ajabu ukagusa watu wengi pia na wale unaohisi unawasupport na kuwatukuza kisiasa. Tuwe na ustaarabu kwa kuzingatia dhana ya forum (Great Thinkers) na desturi zetu za ki-afrika. Narudia tubishane kwa hoja na kutofautiana ama kukubaliana ni matokeo Mkuu.

Jukwaa linasomwa na watu wengi na rika tofauti, tukilijenga kama jukwaa la wahuni tutakosa maana kwenye macho ya jamii.Na imani Mkuu wangu umenielewa.
Usije kwa sura ya kondoo kutetea uzinzi, mzinzi ni mzinzi tu hata umpake rangi gani, there is no replacement on that,
the only good thing is kama ni rafiki yako mshauri aache tamaa ya wake za watu.
 
Mungu awatangulie makamanda Pamoja na kwamba wapinzani wenu muda mwingine wanatumia mbinu chafu nawashauri nyie kuepukana Nazo coz wapo wanaosubiri lions chadema inafanya nini wapate cha kusema pos kuandika kwenye vijarida vyao,munakumbuka igunga issue sio issue wenye vichwa vibovu wakaifanya issue,mchangiaji mmoja amesema kazi na sala na kweli na iwe kazi na sala arumeru no ya chadema sasa.
 
Tukiendelea kumshambulia Mwigulu badala ya kushambulia hoja zake tutaanza kushindwa kabla ya uchaguzi wenyewe! Ngoja mimi ni muulize maswali machache ambayo Nape aliyakimbia bila kuyatolea majibu:
-Mwigulu, umeridhika na mchakato wa kumpata mgombea wenu Siyoi?
-Mwigulu, kura za maoni nazo zilihitaji mgombea apate zaidi ya nusu ya kura halali zilizopigwa?
-Mwigulu, secretariet yenu inaonekana kuvuja sana. Tatizo ni nini na ni nani?
-Mwigulu, mnapambanaje na makundi/watu yenye nguvu kuliko vikao vyenu halali vya chama?
-Mwigulu, sidhani kama wewe ni mwanasiasa. Wamekutoa wapi akina JMK?
-Mwigulu, unaamini juu ya chaguzi za matumizi makubwa ya pesa kutupatia VIONGOZI BORA?
-Mwigulu, mara nyingi unapokuwa wewe, Nape hayupo au yuko kungine. Mnafanyaje kazi ndani ya secretariet?
Nitaakuuliza na mengine mengi kama utaridhia kunijibu haya. Natanguliza shukrani.

Matola says Thanks for this useful post Waberoya.
 
"We know we shall win as we wre confident of the victory"

Bob Marley kumbe alikuwa Chadema na yeye.Chama chetu kitashinda bila ajizi yoyote.
 
Tukiendelea kumshambulia Mwigulu badala ya kushambulia hoja zake tutaanza kushindwa kabla ya uchaguzi wenyewe! Ngoja mimi ni muulize maswali machache ambayo Nape aliyakimbia bila kuyatolea majibu:
-Mwigulu, umeridhika na mchakato wa kumpata mgombea wenu Siyoi?
-Mwigulu, kura za maoni nazo zilihitaji mgombea apate zaidi ya nusu ya kura halali zilizopigwa?
-Mwigulu, secretariet yenu inaonekana kuvuja sana. Tatizo ni nini na ni nani?
-Mwigulu, mnapambanaje na makundi/watu yenye nguvu kuliko vikao vyenu halali vya chama?
-Mwigulu, sidhani kama wewe ni mwanasiasa. Wamekutoa wapi akina JMK?
-Mwigulu, unaamini juu ya chaguzi za matumizi makubwa ya pesa kutupatia VIONGOZI BORA?
-Mwigulu, mara nyingi unapokuwa wewe, Nape hayupo au yuko kungine. Mnafanyaje kazi ndani ya secretariet?
Nitaakuuliza na mengine mengi kama utaridhia kunijibu haya. Natanguliza shukrani.

pesa ndiyo nguzo kuu ya Mchemba, kipindi namzimia kila nilipohitaji kumuona hasa kuhusu matatizo ya vijana Shelui jimboni kwake,alipiga chenga lakini hakuacha kunitupia M-Pesa
 
ebu tusubiri tuone kama supermarkets wanaweza kuuza cements na tiles..
 
Usije kwa sura ya kondoo kutetea uzinzi, mzinzi ni mzinzi tu hata umpake rangi gani, there is no replacement on that,
the only good thing is kama ni rafiki yako mshauri aache tamaa ya wake za watu.

No Comment on you kwani ni sawa na kupingana na maoni ya Comrade "Mkandara" juu yako.
 
Haya ndiyo huwa yanawafanya msema kuwa matokeo yamechakachuliwa pale mnapokuwa mmeangukia pua. Too much majigamboz.
 
Mkuu Mgeni Wenu

Nadhani si busara kutumia lugha ya mauzi ama matusi hapa jukwaani kwa kumlenga mtu binafsi,sidhani kama una ushahidi wa kuprove hizo allegation beyond reasonable doubt zaidi ya tetesi (japo hapa si mahala pake pia). Ni utamaduni wetu hapa jamvini kupingana kwa hoja lakini si ku-attack personal character ya member yeyote hapa. Neno MZINZI ama UZINZI ni pana sana na tafsiri yake iko wazi ndani ya vitabu vitakatifu ambavyo na imani ata wewe ni muumini pia. Kukusaidia "kuzini" ni kwenda nje ya ndoa ama kushiriki na mwanamke asiye halali yako. Kwa Waislam wanaendaa mbali zaidi kwa maana ya kumtizama Mwanamke kisha ukamtamani ni KUZINI pia.

Kwa kutumia neno hili kama tusi kwa mtu, si ajabu ukagusa watu wengi pia na wale unaohisi unawasupport na kuwatukuza kisiasa. Tuwe na ustaarabu kwa kuzingatia dhana ya forum (Great Thinkers) na desturi zetu za ki-afrika. Narudia tubishane kwa hoja na kutofautiana ama kukubaliana ni matokeo Mkuu.

Jukwaa linasomwa na watu wengi na rika tofauti, tukilijenga kama jukwaa la wahuni tutakosa maana kwenye macho ya jamii.Na imani Mkuu wangu umenielewa.

haya si maisha ya kuigiza mkuu, hatufanyi mambo yetu jf ili tutizamwe, Tunakwambia mwigulu alifumwa akizini, hivyo ni mzinifuuuuuuu. Mwanamke mmoja alisubiri jamaa ako.j.oe ili apate ushahidi wa kubakwa, zijui wewe unasubiri nini kutoka proff beyond resonable dought, humu watu mbona wanaheshimiana sana tu! kama vipi mshauri mwigulu ajitetee mwenyewe dhidi ya tuhuma hii ya uzinzi na utoaji rushwa, kiapo kiwe akisema uongo huu uwe mwaka wake wa mwisho kuishi.
 
Usije kwa sura ya kondoo kutetea uzinzi, mzinzi ni mzinzi tu hata umpake rangi gani, there is no replacement on that,
the only good thing is kama ni rafiki yako mshauri aache tamaa ya wake za watu.
Jamani, WAZINZI wapo kila mahali na kila TAASISI nchi hii. Kule CCM wapo. Kule CHADEMA wapo tele. Wengine hata kuoa hawataki kabisa! Leteni hoja ingine.
 
Wana jf mbona kwenye topic hii mmejitambulisha kwa vyama? Jf leo kama ofisi ya chama vile. Mimi mtazamo wangu tusubiri hata siku kumi za mwanzo za kampeni ndio tutoe tathimini upepo wa siasa huwa sio mnyoofu kiasi cha ku determine kwa kupitia mfungua kampeni au kiongozi wa kampeni.

Upepo wa siasa hubadilika hata siku ya kufunga kampeni. Kujiaminisha kwa namna hii ni kujeruhi nafsi punde matokeo yanapokuwa tofauti. Mpiga kura pekee ndie anaweza kuwa na uhakika wa kura yake endepo mungu akimweka hai mpaka voting day. Kama wenzangu na campain team yenu mnatabiri mteremko ni heri kwenu.

But to me I PREDICT A TOUGH BATTLE, NA NAKWENDA NIKIJUA HILO AND AM DETERMINED TO USE USHAWISHI WOTE NILIOJALIWA HAPA DUNIANI KUTETEA NINACHOAMINI TO PROVE WRONG WATU WANAOTABIRI MTEREMKO KAMA THE SO CALLED MGENI WENU KWENYE ID YAKE

Kinachonishangaza ni kitu kimoja.Bwana Nchemba unafahamu fika kuwa CCM haiwezi kushinda Arumeru.,unafahamu kuwa tayari chama chako kwa sasa kinaongozwa na watu wanaopoteza umakini siku hadi siku,watu wanaopoteza mvuto wa kiutendaji na kisiasa,watu wanaopungukiwa na nidhamu na utii kwa wanaowaongoza,watu wasiokua tayari kujikosoa wakosapo na mengine mengi...Nashndwa kukutofautisha nao hasa kwa hayo unayoyaongea...usimpe moyo mkulima apande mbegu wakati unaona jua linazidisha makali,bora mbegu zitunzwe zituepushe na kifo cha njaa jumatatu ingawa tuna uhakika Jumatano tunakufa..
 
Tatizo sio watu wenye majina makubwa, imejipinga kisera kuwashawishi wa Meru au maneno tu, uchaguzi tuwaachie wana Arumeru mashariki kwani wao wataamua na kufanya maamuzi. Mbwembwe za JF hazitabadili mambo!!
 
Back
Top Bottom