Hawa ndiyo Campaign Managers wa CHADEMA Arumeru Mashariki na Kamanda wa Operation | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hawa ndiyo Campaign Managers wa CHADEMA Arumeru Mashariki na Kamanda wa Operation

Discussion in 'Chaguzi Ndogo' started by Tumaini Makene, Mar 5, 2012.

 1. Tumaini Makene

  Tumaini Makene Verified User

  #1
  Mar 5, 2012
  Joined: Jan 6, 2012
  Messages: 2,617
  Likes Received: 291
  Trophy Points: 180
  Wakuu salaam

  Jana kulifanyika uteuzi wa watu wawili, meneja wa kampeni pamoja na msaidizi wake kwa ajili ya uchaguzi mdogo wa Arumeru Mashariki. Wapiganaji hao ni;

  Meneja wa Kampeni atakuwa Ndugu Yohana Israel Natse (MB), msaidizi (naibu) atakuwa Ndugu Vicent Nyerere (MB). Kamanda wa Operation katika uchaguzi huu, kama mjuavyo kwa sababu ya kutangazwa awali ni mpiganaji John Mrema.

  Habari juu ya masuala ya mengine ya kampeni na mengine mengi, hasa yanayotokana na maamuzi ya Kamati Kuu iliyokutana Machi 3-4, USA River, Meru, Arusha, yatatolewa katika mkutano na waandishi wa habari unaotarajiwa kufanyika mchana huu, Machi 5, 2012, Makao Makuu ya CHADEMA, Dar es Salaam.
   
 2. Duble Chris

  Duble Chris JF-Expert Member

  #2
  Mar 5, 2012
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 3,487
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  O K asante kwa taarifa tunawatakia kila la heri ili ushindi upatikane
   
 3. M

  Molemo JF-Expert Member

  #3
  Mar 5, 2012
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Hii imetulia sana.Ushindi utakuwa ni mkubwa kuwahi kutokea
   
 4. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #4
  Mar 5, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Kamanda Nyerere na Natse tunawakubali ni watu Makini sjapata Ona,kweli hapo CHADEMA mmecheza kama Brazil,kumbukeni mashambulizi ya anga na nchi kavu
   
 5. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #5
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  1 loveeeee wameru wote kwa cdm.
   
 6. p

  pstar01884 Senior Member

  #6
  Mar 5, 2012
  Joined: Sep 26, 2010
  Messages: 117
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Ukisikia PAAA..! Jua ccm imeliwaa. Uteuzi upo makini.
   
 7. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #7
  Mar 5, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  ukiona manyoya ujue kaliwa
   
 8. Mungi

  Mungi JF Gold Member

  #8
  Mar 5, 2012
  Joined: Sep 23, 2010
  Messages: 16,986
  Likes Received: 445
  Trophy Points: 180
  Safi Sana, hii imetulia, ukizingatia Israel Yohana ni Mchungaji, na Wameru 80% kila moja ana kanisa nyumbani kwake ni Kampeni na Injili kwa kwenda Mbele! Mwigulu afiche tu uso wake mbele ya wana wa meru!
   
 9. Mwakiluma

  Mwakiluma Senior Member

  #9
  Mar 5, 2012
  Joined: Jan 23, 2012
  Messages: 120
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Tutashinda
   
 10. TaiJike

  TaiJike JF-Expert Member

  #10
  Mar 5, 2012
  Joined: Dec 14, 2011
  Messages: 1,475
  Likes Received: 174
  Trophy Points: 160
  Hongera sana CHADEMA hakukika mmejipanga, tunasubiri matokeo chapeni kazi makamanda.
   
 11. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #11
  Mar 5, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Wakati CCM wanapeleka Mzinzi CHADEMA wanapeleka wacha mungu na wachapa kazi
   
 12. S

  Skillionare JF-Expert Member

  #12
  Mar 5, 2012
  Joined: Nov 6, 2011
  Messages: 1,158
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 145
  I like it,hakuna namna Ccm itashinda Arumeru!CHADEMA FOREVER!
   
 13. Ritz

  Ritz JF-Expert Member

  #13
  Mar 5, 2012
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 42,252
  Likes Received: 4,674
  Trophy Points: 280
  Mkuu Mungi,
  Vipi tena unachanganya Injili na siasa.
   
 14. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #14
  Mar 5, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  kazi na sala
   
 15. Idimulwa

  Idimulwa JF-Expert Member

  #15
  Mar 5, 2012
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 3,384
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hadi raha...Yaani ndani ya CHADEMA kuna kila aina ya silaha...ni suala la kusoma mazingira na kuamua ni silaha ipi itumike...Kila la kheri makamanda.
   
 16. m

  mwakalebela Member

  #16
  Mar 5, 2012
  Joined: Feb 20, 2012
  Messages: 15
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  hakika yaliyo andikwa yametimia, CHADEMA isonge mbele daima! Kila lakheri wapiganaji makini
   
 17. Sihali

  Sihali Member

  #17
  Mar 5, 2012
  Joined: Nov 17, 2010
  Messages: 89
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kumbe chadema mnasimamisha mgombea kwa kutegemea kanisa? Sasa kukitokea uchaguzi kusikokuwa na kanisa mtapataje ushindi? Sasa mmejidhihirisha wazi kuwa nyinyi ni watu wa dini ya kikristo na ukanda wa kaskazini aah! Chademaaaa mnajitokeza wenyewe bila ya bugudhaa tushawajua mtakuja kusikokuwa na kanisa mtalijua jiji ni mtazamo tuu.
   
 18. m

  mgeni wenu JF-Expert Member

  #18
  Mar 5, 2012
  Joined: Jan 2, 2012
  Messages: 3,669
  Likes Received: 614
  Trophy Points: 280
  Hawa jamaa ni noma full mipango sjapata ona
   
 19. Muangila

  Muangila JF-Expert Member

  #19
  Mar 5, 2012
  Joined: Feb 24, 2010
  Messages: 1,854
  Likes Received: 196
  Trophy Points: 160
  Unaeelewa lengo la mchangiaji au unakurupuka?
  Tambua wengine ni mamluki huyu haisemei CDM.
   
 20. Babuu blessed

  Babuu blessed JF-Expert Member

  #20
  Mar 5, 2012
  Joined: Oct 14, 2010
  Messages: 1,340
  Likes Received: 98
  Trophy Points: 145
  imekula kwenu,endeleeni na wazee wanaotegemea mizimu washili
   
Loading...