Hawa ndiyo Campaign Managers wa CHADEMA Arumeru Mashariki na Kamanda wa Operation

Kumbe chadema mnasimamisha mgombea kwa kutegemea kanisa? Sasa kukitokea uchaguzi kusikokuwa na kanisa mtapataje ushindi? Sasa mmejidhihirisha wazi kuwa nyinyi ni watu wa dini ya kikristo na ukanda wa kaskazini aah! Chademaaaa mnajitokeza wenyewe bila ya bugudhaa tushawajua mtakuja kusikokuwa na kanisa mtalijua jiji ni mtazamo tuu.
Operational strategy huwa hivi unatafuta relative advantage na siyo kichwa kichwa tu. Soma alama
 
Kaka Jogi

Hapo nilipobold sijakuelewa! Hizi ni hoja nyepesi kama zilivyokuja za DR. Slaa mkazipinga humu kipindi cha Kampeni za Mwaka 2010. Yote yalihusiana na UZINZI.Let us stick to those which bring benefit to our entire community with no doubt badala ya gutter politics.

Musa wangota,
awali kabisa nikuombe usiendelee kutumia hoja-maswali ya kuwa aliye kinyume chako ama anafanya siasa uchwara, au aliye na hoja ya kujadili ukajigeuza hakimu kuomba ushahidi pasipo kuacha shaka. Nijuavyo mimi, fedha ni haramu kuliko nguruwe, Ikiwa mwigulu nchemba hawezi kuiheshimu jamii inayomzunguka kwa swala la mahusiano? unategemea uaminifu na uadilifu upatikane kwa kiumbe huyu kwenye maswala mazima ya shilingi zetu!!!!!! uchumi wetu!!!!!!!! hapo tegemea kusikia "nimefanya uamuzi huu kwa mujibu wa sheria" huku sheria hiyo ikiwa imeiumiza jamii ya watanzania. ZINGATIA;
mwigulu amefumaniwa live akakurupuka na kutwaa kivazi cha mzinzi mwenzie na kukiacha kivazi chake. hiyo ni kuonyesha alijua anafanya kosa kibinadamu na kiroho pia. usitafute ulinganifu kwenye hili.
 
Pesa kwa m pesa ndo mpango mkakati wa CCM arumeru,sukari inapandishwa milimani kuanzia kesho,c c m hawana mbinu mpya zaidi ya rushwa
 
Back
Top Bottom