Hawa ndio Watanzania waliotekwa na magaidi wa Hamas

Kuna habari zimevuja zinasema Waisrael walikuwa wanauwa wao Wayahudi wenzao ile tarehe 7 halafu wanaudanganya ulimwengu kuwa ni Wapelestina waliouwa.

Hao vijana kama wanashikiliwa na Wapalestina basi wapo mikono salama kuliko kuwa na wayahudi.
Kibibi Cha kutunga uongo! Haya tuwekee hiyo taarifa iliyovuja hapa kutoka chanzo rasimi na sisi tuisome
 
ni rahisi sana, Serikali imwite tu balozi wa palestina imwambie awapigie simu hamas waachie watoto wetu basi. balozi wa palestina yupo hapahapa na alishaomba watanzania tuilaani israel.
Tuilaani Israel wakati wapalestina wameshikilia watoto wetu? Ni damu yetu hao wawarudishe salama! Mungu awalinde na kuwarudisha salama watoto wa tumbo la mama Tanganyika 😢
 
yaani ajuza, hauna point hata kidogo, kwasababu huyo aliyehojiwa amesema hao raia 5 au 6 aliowaona wakipigwa risasi, waliuawa katikati ya cross fire, katikati ya mapigano, wakati wanajeshi wa israel wanajaribu kupiga magaidi ya hamas, ndipo wakaua raia waliokuwa katikali. haimaanishi kuwa israel walienda pale wakati hamas hawapo wakaanza kuua raia, NO. sasa kwa hicho kilichotokea, nini cha ajabu? hata hapa bongo ukiwa katikati ya cross-fire kati ya polisi na majambazi, risasi zinaweza kukukuta ila sio intentional. cha ajabu nini sasa hapo.
 
Sikikiliza vizuri.
 
Sikikiliza vizuri.
nimesikiliza yote, wanasema hao waliuawa kwenye crossfire, kuna baadhi ya raia waliuawa na wanajeshi katikati ya mapigano, na wanasema haimanishi kwamba hamas hawakuua, waliuwa lakini wanahisi kuna udhaifu kwenye jeshi la israel kwenye kulinda raia katikati ya mapigano. so cha ajabu nini hapo? unataka kutuaminisha nini, kwamba hamas hawakuwa wachokozi, kwamba hamas hawakuua raia wakati wameteka hadi watu zaidi ya 200 hadi leo hii? walikuwa wanateka kimyakimya? hujaona hata clip zao wa operaiton walizopost youtube?

ajuza pigania watanzania wenzako, vijana waliotekwa na hamas, hata kama ni wagalatia.
 
swali ni kwamba, eneo lile linakaliwa na watu weupe, hao vijana ni pure african, wanajulikana kabisa kwamba sio waisrael, kwanini waliwakamata? hao nao wamewakosea nini au walikuwa wanakamata kila mtu tu, si wawaachie?

Kwenye ambush huwa wanachagua nani wa kuacha nani kuchukua?!!
 
H
nimesikiliza yote, wanasema hao waliuawa kwenye crossfire, kuna baadhi ya raia waliuawa na wanajeshi katikati ya mapigano, na wanasema haimanishi kwamba hamas hawakuua, waliuwa lakini wanahisi kuna udhaifu kwenye jeshi la israel kwenye kulinda raia katikati ya mapigano. so cha ajabu nini hapo? unataka kutuaminisha nini, kwamba hamas hawakuwa wachokozi, kwamba hamas hawakuua raia wakati wameteka hadi watu zaidi ya 200 hadi leo hii? walikuwa wanateka kimyakimya? hujaona hata clip zao wa operaiton walizopost youtube?

ajuza pigania watanzania wenzako, vijana waliotekwa na hamas, hata kama ni wagalatia.
amas hajawahi kuwa mchokozi.

Uwaweke kwenye kambi za mateso kwa miaka kadhaa wakipata fursa kidogo ya kukung'ata useme wao ndiyo wachokozi?
 
Kuna habari zimevuja zinasema Waisrael walikuwa wanauwa wao Wayahudi wenzao ile tarehe 7 halafu wanaudanganya ulimwengu kuwa ni Wapelestina waliouwa.

Hao vijana kama wanashikiliwa na Wapalestina basi wapo mikono salama kuliko kuwa na wayahudi.
Then after wakawateka na kuwapeleka Gaza kwa Hamas
 
ni rahisi sana, Serikali imwite tu balozi wa palestina imwambie awapigie simu hamas waachie watoto wetu basi. balozi wa palestina yupo hapahapa na alishaomba watanzania tuilaani israel.
Tuilani Israel badala ya watekaji!?
 
Back
Top Bottom