Hawa ndio Watanzania waliotekwa na magaidi wa Hamas

Yaani kiongozi yuko Qatar?
hamas viongozi wao wote wakubwa hawaishi Gaza wala eneo lolote la palestina, wana ofisi nje ya nchi. na kiongozi wao mkuu ana ofisi Qatar, serikali ya Doha inamhudumia kila kitu kwasababu yupo pale kama mkimbizi. kwahiyo anapatikana hata kwasimu.
 
yaani ni rahisi sana. unajua Kiongozi wa Hamas haishi Gaza, anaishi Qatar ana ofisi kabisa, na anaoperate na kutoa maelekezo yote akiwa Doha Qatar, hata mateka hao walioachiwa yeye lazima ndio alitoa maelekezo, na negotiations zote za mateka kuachiwa hata sasahivi zinaendelea na mediator ambaye ni Qatar. Balozi wa palestina hawezi kusema Hamas hawapatikani kwenye simu kwasababu ukipiga simu Doha hata sasahivi zinapatikana, au Balozi wetu aliyepo Qatar awashe tu gari aende kwa kiongozi wa hamas, amwambie chondechonde hao madogo hawahusiki na mgogoro, na sio wayahudi, ni masai na mchaga. hivi hawaoni hata aibu Africa miaka yote imekuwa supporter wa Palestine na bado wameteka watoto wao?
Unawajua magaidi wa kiislamu wewe? Huwa waoga na hupdnda kuwavamia raia
Israel imetangaza vita, kwanini hao Hamas wasiwe mstari wa mbele kupigana? Ila kwa vile wao ni magaidi wamekimbilia shimoni na kwenye makazi ya watu.
 
hamas viongozi wao wote wakubwa hawaishi Gaza wala eneo lolote la palestina, wana ofisi nje ya nchi. na kiongozi wao mkuu ana ofisi Qatar, serikali ya Doha inamhudumia kila kitu kwasababu yupo pale kama mkimbizi. kwahiyo anapatikana hata kwasimu.
Swala so kupatikana kaka ni kwanini hawapo mstari wa mbele kupigana na wayahudi
 
Wamemalizwa wote na mateka wao.
sasa ajuza, hivi kwanini ndugu zako hamas wamekamata hadi mchaga na mmasai, kweli walishindwa kuangalia hata sura tu kwamba hao sio wayahudi? chonde chonde muwasilianenao wawaachie watoto wetu warudi, ni wanafunzi tu walienda kwenye internship, wanahangaika tu kutafuta maisha ndio maana walienda kule.
 
Hamas wamefanya makosa kuteka watu hovyo pamoja na mengine ,na hatusemi kuwa Hamas ni wasafi.

Ila utashangaa Migalatia ya humu (baadhi akiwemo Maghayo na genge lake) inafurahia mauaji ya kutisha na ukatili wanaofanya Israel kwa raia wa Gaza wakiwemo watoto , Wanawake na Wazee .

Unafiki ,na chuki huwa zinadhihirika mapema sana.
 
Joshua Loitu Mollel and Clemence Felix

wapalestina wa buza na wakomonisti wa mbweni waambieni vijana wenu wa itikadi kali wawaachilie hawa vijana au mnaendelea kusupport hata huu ujinga.
View attachment 2796985
Hawa kuachiliwa au kurudi wakiwa hai ni ngumu sana tena sana, na sababu kubwa ni human organs biashara, yaani hao hamas unakuta vyanzo vya mapato pia ni kuuza viungo vya waliowateka na wenye biashara hizo unaweza kuta wanakimbilia huko ni kuuza figo, moyo etc. Tuwaombee ila inapotokea vita kuna mambo mengi sana.
 
Hamas wamefanya makosa kuteka watu hovyo pamoja na mengine ,na hatusemi kuwa Hamas ni wasafi.

Ila utashangaa Migalatia ya humu (baadhi akiwemo Maghayo na genge lake) inafurahia mauaji ya kutisha na ukatili wanaofanya Israel kwa raia wa Gaza wakiwemo watoto , Wanawake na Wazee .

Unafiki ,na chuki huwa zinadhihirika mapema sana.
swala ni kwamba, Kuna watanzania wenzio wawili, wote wakristo wa arusha na moshi hapo, wamekamatwa na kutekwa na hamas, wao sio wayahudi, mbona hamlaani kitendo hicho cha hamas na mnataka sisi tuamini ninyi ni watu wazuri au tuamini hamas ni watu wazuri tu. huoni aibu? mpalestina kwako ana thamani kuliko mchaga na mmasai? au kwasababu hawa vijana ni wakristo? shetwan kweli wewe.
 
Hawa kuachiliwa au kurudi wakiwa hai ni ngumu sana tena sana, na sababu kubwa ni human organs biashara, yaani hao hamas unakuta vyanzo vya mapato pia ni kuuza viungo vya waliowateka na wenye biashara hizo unaweza kuta wanakimbilia huko ni kuuza figo, moyo etc. Tuwaombee ila inapotokea vita kuna mambo mengi sana.
yap, human organ duniani hasa ni figo, though sidhani kama hamas wanaweza kufanya hivyo.
 
Kuna habari zimevuja zinasema Waisrael walikuwa wanauwa wao Wayahudi wenzao ile tarehe 7 halafu wanaudanganya ulimwengu kuwa ni Wapelestina waliouwa.

Hao vijana kama wanashikiliwa na Wapalestina basi wapo mikono salama kuliko kuwa na wayahudi.

sema wanashikiliwa na magaidi. wewe kama mzazi ata hakiumi kwasababu watekaji ni waislamu na watoto sio wako unajua ni kitu gani hao watoto wanatendewa huko walipo?
 
Wapo mikono salama hawawezi kuuliwa ng'o.

Mateka hawauliwi maana wanatumika kama defensive mechanism ...Kiufupi ni suala pa mda tu wataachiwa mbona yule pastor sijui wa wapi alishikiliwa juzi kati hapa hapa africa akaachiliwa..
 
swala ni kwamba, Kuna watanzania wenzio wawili, wote wakristo wa arusha na moshi hapo, wamekamatwa na kutekwa na hamas, wao sio wayahudi, mbona hamlaani kitendo hicho cha hamas na mnataka sisi tuamini ninyi ni watu wazuri au tuamini hamas ni watu wazuri tu. huoni aibu? mpalestina kwako ana thamani kuliko mchaga na mmasai? au kwasababu hawa vijana ni wakristo? shetwan kweli wewe.
Kama hauna akili basi upeo wako ni finyu .

Huoni comment yangu imeonyesha kulaani au unataka nitoke barabarani na mabango ? mbona tokea day one hakuna mahali ambapo nimesapoti Hamas ? kwa taarifa yako hata Crown Prince wa Saud amelani vitendo vya Hamas na Mashekh wakubwa tu waKiislamu ulimwenguni tokea enzi hizo mfano Sheikh Albaniy (Allah amrehemu) yeye alisema kabisa kupingana na mambo ya kiuharakati katika kudai ukombozi wa Palestin alipinga.

Halafu umekuja kwa kuPanic utadhani nimesema "Safi sana Jamaa hao mateka wauwawe" hivi una akili au umejaa na mihemko ?

Huoni Ingekuwa vyema kuniuliza una maoni gani kuhusu tukio hilo na matendo ya Hamas na mgogora wa Palestina kabla ya kuharisha uliyoharisha hapa ?
 
sasa ajuza, hivi kwanini ndugu zako hamas wamekamata hadi mchaga na mmasai, kweli walishindwa kuangalia hata sura tu kwamba hao sio wayahudi? chonde chonde muwasilianenao wawaachie watoto wetu warudi, ni wanafunzi tu walienda kwenye internship, wanahangaika tu kutafuta maisha ndio maana walienda kule.
Waulize wayahudi, kwani hao vijana walikuwa wapi?
 
Hao vijana watatoka na watarudi kawaida ya mateka wanakamatwa randomly ila baadae wanajua huyu wa wapi na huyu wa wapi ? Hao ni weusi pure kabisa .

Vita haina huruma hata Monalisa alimrudisha mwanae kule ukraine kweny ishu ya vita.
 
Back
Top Bottom