Hawa ndio wageni wa CC!

4-1-9-stand! hii ni fomesheni inayotumika kwenye ligi kuu ya uingereza, inaitwa EPL! hofu ondoa!

hahhahahah!!! hiyo hata Klei wanu anaweza kukutafsiria ......................
achilia mbali mimi mama yake.
 
sista gfsonwin (of course pamoja na wengine) hivi Nyumbwa Kubwa amepotelewa wapi? nimemisi comments zake aisee
 
sista gfsonwin (of course pamoja na wengine) hivi Nyumbwa Kubwa amepotelewa wapi? nimemisi comments zake aisee

kwa kweli hata mi i binafsi sijui kapotelea wapi.
lakin kwakua alikuwa ni mwanachuo ngazi ya uzamivu basi yawezekana kabanwa sana. tumwombee Mungu amrudishe tena jamvini.

BTW nimeipenda sana sign yako
 
hata mimi nayaaribu muda si mrefu....unarukia hata kama umekubaliwa
Nasema hata mimi naharibu...

hajui kuwa wewe ndio mgambo wa CC, shauri yake!
wewe Eli79 umenidhulumu mm hela yangu, halafu sasa unataka kumzingua mgambo wa CC! Shauri yako!
 
Last edited by a moderator:
hajui kuwa wewe ndio mgambo wa CC, shauri yake!
wewe Eli79 umenidhulumu mm hela yangu, halafu sasa unataka kumzingua mgambo wa CC! Shauri yako!
TheDealer, imekula kwako! teh! afu uache mchezo wako kunyemelea vya watu...we unaona vinang'aa ila hujui rangi imenunuliwa dola ngapi
 
Last edited by a moderator:
sista gfsonwin nimeamua kubadilisha signature yangu kujaribu kuwaonyesha watu (ambao wataisoma anyway) solution ya tatizo linalosumbua relationships nyingi (cheating). Ktk uzoefu wangu wa kuishi hapa duniani, nime-conclude kwamba wale wote rijali wanaoweza kushinda tamaa za miili yao (hapa nalenga zaidi wanaume), utangundua ni wale tu wenye hofu ya Mungu.

Binafsi siamini kama kuna mwanaume rijali anayeweza kushinda uzinzi bila kuwa na hofu ya Mungu. Sana sana atajitahidi kuwa msiri sana kulinda heshima yake, ya mkewe na jamii inayomzunguka. Mfano yuko radhi atoke dar akafanyie uchafu wake Chunya

Mwenye conclusion tofauti na yangu tafadhali anipe uzoefu wake
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…