Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,753
wewe msikilize Heaven on earth, ni muongo! sasa kama ni msumari mbona hakuwa na msumari wala nyundo! ila kuna kitu nilikuwanacho mm kama msumari vile japo sehemu ya mwili!
mie nakupenda sana mdogo wangu mpenzi.....................
tea usimskilize kabisa TheDealer asije akakuharibia huyu manake naskia alikuwa mvunja ndoa za watu na yuko wanted.
Heaven on earth wakati mwingine si lazma kumwona mtu laiv ndo ujue yuko level gani kimaisha, angependa kuwa na mtu wa aina gani.. alafu ujue wewe ushamilikiwa tayari , na kwa taarifa nilizozipata.. mambo ya CC yamekuwa moo zan siriaz!
Naniii???? wana wenyewe hao... katika list ya mabilionea wa JF mi simo bana..
Tafuta saiz yangu
nimeshakujua mbinu zako na hapa angoja nikuitie shemeji yake Eli79 aje akushikishe adabu.basi kama hivyo kam-watch Heaven on earth! naona kama moyo wake umemdondokea vile! fuatilia mjadala wao! sio haba mm mwenyewe kanitoa kidogo ili nisaidie kutengeneza miundo mbinu, sasa sijui kama alichakachua hela za mboga, mm hio hainuhusu!
dada gfsonwin naomba ufatilie nyendo za Heaven on earth...hyuy binti nimevutiwa nae sana sema tu Mentor alikuwa ananikataza. TheDealer anataka rushwa tu huyu.mie nakupenda sana mdogo wangu mpenzi.....................
tea usimskilize kabisa TheDealer asije akakuharibia huyu manake naskia alikuwa mvunja ndoa za watu na yuko wanted.
dada gfsonwin naomba ufatilie nyendo za Heaven on earth...hyuy binti nimevutiwa nae sana sema tu Mentor alikuwa ananikataza. TheDealer anataka rushwa tu huyu.
Heaven on earth subiri kwanza anipe hela, ndio umkubalie sasa!
ngoja kwanza nipate ushauri ''nasaha'' UNDENIABLE ameshaniambia nisichezee ''mzigo'' wake, sitaki mambo ya kugandana...
dada gfsonwin naomba ufatilie nyendo za Heaven on earth...hyuy binti nimevutiwa nae sana sema tu Mentor alikuwa ananikataza. TheDealer anataka rushwa tu huyu.
halafu naskia umefilizi hela za saccos za jf kwa kuhonga na kupeleka kwa kalumanzira!!
je kuna ukweli wowote ndani yake??
sasa umeona gfsonwin?, sasa Heaven on earth njoo huku ila make sure nachukua kwanza hela za dogo, tayari nimeshachukua advance!
sasa umeona gfsonwin?, sasa Heaven on earth njoo huku ila make sure nachukua kwanza hela za dogo, tayari nimeshachukua advance!
ngoja kwanza nipate ushauri ''nasaha'' UNDENIABLE ameshaniambia nisichezee ''mzigo'' wake, sitaki mambo ya kugandana...
Umeonaaaaaaaa! Money stunna ananihusu!
gfsonwin yaani hakuna hata moja ulilokosea,huyu binti ni binti mzuri sana manake kweli ni pepo iliyoko duniani.
ana umbo zuri la kike, ngozi yake black beauty ana nywele natural nzuri sana urefu wake na kiuno kama cha nyigu. tabia yake na uzuri wake vinashabihiana.
nimjuavyo si mchoyo, wala mbea ana upendo wa dhati na nimkaribu sana mwenye nidhamu kwa watu wote. sijui familia yake ikoje ila kwa uchache tu naweza kumsemea hivi.
huyu binti ni binti mzuri sana manake kweli ni pepo iliyoko duniani.