Heaven on Earth
Platinum Member
- Mar 21, 2013
- 37,233
- 26,753
yaani na ukija maneno yako yoote yaongee kwa herufi kubwa la sivyo patachimbika
Kumbeee! Heaven on earth yaani umeanza mambo yako kuniweka foleni kumbe unamilikiwa huko na figganigga afu unataka nikosane na jamaa... afu Passion Lady = dismynder1?ati unasemaje?????? Hivi hujui kuwa Heaven on earth ni wifi yangu......? Hebu muulize tena kwa maranyingine, hana mahusiano na kaka wa mtu humu??? Lasivyo nitairewind ile movie ya kipindi kilee tuliyocheza mimi, wewe, Passion Lady aka dismynder1 na heaven on earth
yalikukuta yapi tena shosti!!!
Kumbeee! Heaven on earth yaani umeanza mambo yako kuniweka foleni kumbe unamilikiwa huko na figganigga afu unataka nikosane na jamaa... afu Passion Lady = dismynder1?
oo! Mepeperushiwaje ndege wangu himidini!! Hadi kakimbia mazima cc
ndio nashangaa..ila usikute wako serious kweli oohYaani kuna watu wapo serious na yanayoendelea humu chit chat?
Arushaone kaenda tafuta pweza anataka nimtengenezee thupu
Kumbeee! Heaven on earth yaani umeanza mambo yako kuniweka foleni kumbe unamilikiwa huko na figganigga afu unataka nikosane na jamaa... afu Passion Lady = dismynder1?
ndio nashangaa..ila usikute wako serious kweli ooh
binafsi huwa najua ni "utani" tuhata mimi ya hum yanaishia hum hum tu,
mie naona baadhi wako serious kweli humuYaani kuna watu wapo serious na yanayoendelea humu chit chat?
nasikia inaongeza nguvu ya ile makitu....
nikija jioni niikute japo nusu bakuli,
hata mimi ya hum yanaishia hum hum tu,
hujawahi kuona baadhi ya post zinafungwa....humu..hahahahahaaha..kalagabhao...huwahi kuona post watu wanatishiana wakionana watapigana?jiulize wamejuanaje?...mkuu najua kuliko unavyodhani....samahani lknMi nadhani walioko serious wana-pm-ana bwana..sasa humu utakuwa serious kweli~ hembu tumia medulla kidogo bwna, haa!
leo hulali mamito...we jiandae tu! teh!
hujawahi kuona baadhi ya post zinafungwa....humu..hahahahahaaha..kalagabhao...huwahi kuona post watu wanatishiana wakionana watapigana?jiulize wamejuanaje?...mkuu najua kuliko unavyodhani....samahani lkn
yaani jamaa kanipania leo, kesho msiponiona humu msishangae maana kuna dalili za kupumulia mashine
kwa sentensi hii nakupa POINT...ila mkuu kuna baaadhi wako serious..mayb mimi na wewe ndio tunachukulia poaSasa mkuu, hao si walikutana, wakaanza urafiki, wakasemana mpaka wakafikia huko walipo! Nadhani tuwe serious kidogo...jukwaa lipo kwa ajili ya mada zisizo rasmi, utani na imaginations tu... ukitumia jukwaa linavyotaka wala hayakukuti hayo.