Hawa ndio wageni wa CC!

Hawa ndio wageni wa CC!

TheDealer

JF-Expert Member
Joined
Nov 19, 2012
Posts
2,424
Reaction score
1,132
Salaam!

Namnukuu Invisible

''..........Chit Chat imekuwa ikitumika kama njia ya kutafuta WACHUMBA, kuunganisha marafiki na kukuza ujamaa kati ya baadhi ya members...........Wana Chit Chat hili jukwaa linaweza kuonekana ni sehemu ya mzaha na lisilo na tija! Hii sio sahihi!..........". Mwisho wa kunukuu.

Wageni wa CC! TheDealer, @fiexd point, Kipaji Halisi, Eli79!

Mkongwe wa CC! Bishanga!

Imekula kwangu!
 
Last edited by a moderator:
Last edited by a moderator:
Kaka kasomee kale kauzi ka hapo juu! halafu chungulia neno lililo bold, halafu kumbuka ule uzi wa Bishanga kuhusu capo feki na ukweli, umenipata Kipaji Halisi! ssshhshshshsshshsh usimwambie mtu, nakunong'oneza tu hapa! mwambie na mgeni mwenzio Fixed Point! sawa! nenda sasa kimya kimya!

jamani TheDealer kwani ni serious!!!!!!
au chitchat ina maana gani
 
Last edited by a moderator:
TheDealer
Unanitafutia ubavu wangu nini!...nipigie debe mkubwa..
 
Last edited by a moderator:
Salaam!

Namnukuu Invisible

''..........Chit Chat imekuwa ikitumika kama njia ya kutafuta WACHUMBA, kuunganisha marafiki na kukuza ujamaa kati ya baadhi ya members...........Wana Chit Chat hili jukwaa linaweza kuonekana ni sehemu ya mzaha na lisilo na tija! Hii sio sahihi!..........". Mwisho wa kunukuu.

Wageni wa CC! TheDealer, @fiexd point, Kipaji Halisi, Eli79!

Mkongwe wa CC! Bishanga!

Imekula kwangu!

jamani TheDealer kwani ni serious!!!!!!
au chitchat ina maana gani

Angalia hapo kwenye underlined, wewe kumbe ulijua hapa ni stree free zone pekee? mm pia nilikuwa najua hivyo! kumbe wewe na UNDENIABLE mlikuwa mnafanya masikhara!
 
Last edited by a moderator:
Angalia hapo kwenye underlined, wewe kumbe ulijua hapa ni stree free zone pekee? mm pia nilikuwa najua hivyo! kumbe wewe na UNDENIABLE mlikuwa mnafanya masikhara!

mie mwenyewe najuaga hivyo,lakin ukipata mchuba
huku sidhani kama ni mbaya!!!!!!!

mie na UNDENIABLE yake yalikuwa masikhara,nothing serious.....
 
Last edited by a moderator:
mie mwenyewe najuaga hivyo,lakin ukipata mchuba
huku sidhani kama ni mbaya!!!!!!!

mie na UNDENIABLE yake yalikuwa masikhara,nothing serious.....

Ok!
ila shemu kubwa nilikuwa najua masikhara ndio maana nilikuwa nadondosha moyo tu kwa kila apitaye! kumbe ipo serious to some extent!

wasiwasi!
naweza kupata mchumba seroius huku halafu siku tukizinguana anaweza kusema, aaaaah usinizingue babu wee kwanza tulikutana chit chat tuachane ki-chit chat! hapo sasa kazi inakuwa kubwa sana!
 
TheDealer..moyo wako bado unao? au unataftia namna ya kuudondoshea kwa mtu?
hii CC..nothng siriaz

heehehehehehe hii CC nothing serious, kakuambia nani! hujasoma nukuu ya invisible nini? mm mwenyewe nilikuwa najua hivyo! moyo wangu upo sawa sasa hv, shukurani nyingi ziende kwa shansarie!
 
Last edited by a moderator:
Ok!
ila shemu kubwa nilikuwa najua masikhara ndio maana nilikuwa nadondosha moyo tu kwa kila apitaye! kumbe ipo serious to some extent!

wasiwasi!
naweza kupata mchumba seroius huku halafu siku tukizinguana anaweza kusema, aaaaah usinizingue babu wee kwanza tulikutana chit chat tuachane ki-chit chat! hapo sasa kazi inakuwa kubwa sana!

huyo hakuwa serious.....

mtu serious hawezi kutoa majibu ya hivyo
 
Back
Top Bottom