Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

Status
Not open for further replies.
Adui mkubwa wa uislam ni waislamu wenyewe!

Ni aibu, hoja kibao zimetolewa hapo juu kuhusu maadui wa uislam na waislam Tanzania, wewe unakuja na maelezo mafupi yasiyo hataw na point ., au jaribu kufafanua hoja yako pengine tupate kukuelewa, kama hukua na chakuandia basi kua mfuatiliaji tu, naamini utafaidika sana.,.....
 
Wamejenga shule za kata za kidato cha nne nyingi ila za kidato cha sita hazijaongezwa lengo lao ni kubana elimu isitanuke
 
Waislam mumuenzi Mtoi kwa andiko hili, Tutakukumbuka Daima mtoi hasa sisi tuliokufahamu.

Nitakuenzi kwa kuchapicha katika Facebook page yangu andiko lako hili.

Umenifunza mengi gone too young 😢
 
Kumbe Mtoi alikuwa mpumbavu kiasi hiki !
Afadhali angekuwa mbuzi watu wangeambulia kitoweo
 
Kwanza mungu amrehemu mwandishi na amsamehe kwa alokesea....pili hili la bakwata ni gumu sana kama ccm kukubali kushindwa. Juzi tayari bakwata wamechagua mufti mpya tena kachaguliwa dodomaaaaa....na qualification zile zile tu tulo zizoea. Tatu bakwata ni mfupa mgumu nadhani ponda anuafahamu vizuri ..huu mfupa hata akija mrisho , mwinyi bilali omary wooooote walifahamu kuwa kuna tatizo tena tatizo kubwa lakini mfupa huuu umewashinda...tuombe labda tukipata mabadiliko tutapata meno ya simba na kuutafuna mfupa huu
 
Kutoka kwa mluteri !?
 
Adui mkubwa KABISA ni WAISLAM KUACHA MAFUNZO YA QUR AN NA SUNNA ZA MTUME..HAPO NDIO WAMEZALIWA HAYO MENGINE YA MASHEIKH KUTUMIWA NA KADHALIKA..NDIO MAANA NIGERIA WANA "BOKO HARAM maana yake ELIMU YA MAGHARIBI NI DHAMBI" Yaani wanataka kurudi kwenye QUR AN NA SUNNA..WAPO ISIS,AL QAEDA,AL SHABAB NA WENGI WENGINE SISI TANZANIA TUNAAMINI SIASA BADALA YA MAFUNZO YETU...NOTE:HATA MTUME MOHAMMADI S.A.W KAPIGANA JIHADI NA NDIYE MUASISI...
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom