Hawa ndio wabaya wa waislamu na uislamu wenyewe kwa Tanzania...

Status
Not open for further replies.
na ndiyo maana enzi hizo maisha alikuwa duni

akili yako pia ni duni

kaka naomba nikusaidie kidogo binadamu wa kwanza aliish kulingana na life experience thow hakwenda shule aliish kama muwindaji maisha yakaendelea kubadilika akaachana na kuwinda akaanza kufuga akaacha kuhanagaika huku na kule akaanzisha familia aka setle saaa basi kutokana na changamoto za maisha kama magonjwa majanga ya asili njaa ndipo binadamu akaanza kujifunza kuepukana nayo lakin hapa kulikuwa na try and errow nyingi sana kwa hiyi aatu walipoteza maisha sana hapo ndipo binadamu akayaweka kumbukumbu jinsi alivyoweza kukabiliana na zile changamoto alizo kutana nazo na ndipo elimu ilipo anzia
kama kuna watu hawajasoma aisee dunia ya leo watapata shida sana hatuwabagui lakin ulimwengu ushawabagua tayari
 
Good points, ndugu waislamu tukisoma na kuelewa somo la huyu mwenzetu mambobyatakuwa muswano kabisa

Japo marehemu hasemwi lakini ndugu yetu huyu ambaye kuna baadhi ya watu wanaamini alikuwa mwerevu alopotoka na kwa kweli mpaka anafariki hakuwahi kufahamu uislamu vizuri wala hakupata kufahamu uislamu matatizo ya waislamu nchi hii yametokana na nini. Midhali ametangulia mbele za haki basi Mungu wetu ndiye ajuaye ajuaye zaidi atamlipa kadri anavyostahiki. Yeye ametangulia mbele sisi nyuma yake tunafuata
 
Status
Not open for further replies.
276 Reactions
Reply
Back
Top Bottom