Hawa ndio matairi wa enzi hizooooo

Hawa ndio matairi wa enzi hizooooo

Safi sana hii.
c69a76f84f4a08c5a7de2f949580b658.jpg
 
Duh...umenikumbusha Enzi zile za 1980's yaani hicho kimfuko kulikuwa na mtu mmoja 'maarufu' (kwa jambo ambalo siwezi kulitaja hapa na ambalo hushabikiwa na Marekani na nchi za ulaya) jijini Dar es salaam Enzi hizo akiitwa .....alikuwa anatembea nacho .....basi rafiki yetu mmoja akawa nacho...anapita mitaani jamaa akamtania wewe unatembea nacho hicho kama fulani ...Duh jamaa alihamaki na ikawa mwisho wa kutembea kwa mbwembwe na hicho kimfuko cha leather....
Faruku?!
 
Chipthii mayai, chipthi mayai na mishikaki changanya humo humo!
Kipindi hicho cha miili mizuri watu waliishi maisha ya kawaida mno,
Walitembea kwa miguu wakati wa safari zao za karibu, walikula vyakula vyenye virutubisho.
Leo hii kuna bodaboda, magari binafsi na daladala kila sehemu na faida yake ni vitambi vilivyozagaa kwa watu wengi tu.
 
Back
Top Bottom