Pastor Achachanda
JF-Expert Member
- May 4, 2012
- 3,023
- 1,317
Wakati huo no chips zege za mafuta ya transformer, vijana matumbo yako flat.Ni ukweli usio na shaka vijana wa zamani walikuwa watanashati sana,
Walikuwa wanajua kuvaa, walikuwa maridadi sana, hebu fananisha na wavaaji wa sasa
Umenikumbusha enzi hizo miaka ya 1844 kipindi nipo chuoni mwaka wa pili pale calfonia state university
Wewe kiboko ni East bay au Long beach ? Huo mwaka hata hicho chuo hakikua establishedUmenikumbusha enzi hizo miaka ya 1844 kipindi nipo chuoni mwaka wa pili pale calfonia state university
Ha ha haa,una uhakika?Wewe kiboko ni East bay au Long beach ? Huo mwaka hata hicho chuo hakikua established
Kimeanzishwa 1857 mimi nilipita hapo 1920Ha ha haa,una uhakika?
1844 hata nyerere alikuwa hajazaliwa ? kwanini hukuwa hata rais bongo?Umenikumbusha enzi hizo miaka ya 1844 kipindi nipo chuoni mwaka wa pili pale calfonia state university
Ni ukweli usio na shaka vijana wa zamani walikuwa watanashati sana,
Walikuwa wanajua kuvaa, walikuwa maridadi sana, hebu fananisha na wavaaji wa sasa
Hapa sasa ndio utaona vikongwe...Uzi wa maajuza na mashaibu huu.
atakuwa kazaliwa mara ya pili...Duh...msikaji we wa longi kweli😀😀😀.
Halafu umekula chumvi kweli kweli!
Mwaka 1844?Umenikumbusha enzi hizo miaka ya 1844 kipindi nipo chuoni mwaka wa pili pale calfonia state university