looh! sijui nimwamini nani. 1844/1920!!! huyu wa 1920 leo ni miaka 96 tangu apite, je alikuwa na umri gani wakati anapita? bado anacharaza herufi kutupia comment jf. hii ni zaidi ya maajabu saba. ngoja niitafute na GUINESS BOOK OF RECORDS huenda tumeshachangia chochoteKimeanzishwa 1857 mimi nilipita hapo 1920
Ni ukweli usio na shaka vijana wa zamani walikuwa watanashati sana,
Walikuwa wanajua kuvaa, walikuwa maridadi sana, hebu fananisha na wavaaji wa sasa
Fanya tafiti ndogo tu utagundua na kupata jibu sahihi, wanaongeza matundu ya mikanda ya kiunoInamaa vitambi soon vitapotea?