Hawa ndio aina ya Makandarasi wetu

Hawa ndio aina ya Makandarasi wetu

Mkuu faida kwa mkandarasi kwa njia ya fidia ni hasara kwa nchi

Nalielewa hilo, lakini hebu tuwe wakweli tuvumilie huo ujinga kwa kuogopa hasara ya nchi??? , katika mlolongo huo wote, mwisho kuna mtu ambaye anahusika na kuisababishia nchi hasara, ndo awajibike , kudai fidia serikali ni kama wake up call kwa serikali, ili ijitazame utendaji kazi wake.
 
Tatizo ni mawasiliano. Mjenzi wa barabara alijenga barabara yake akakuta Tanesco tayari ameshasimika nguzo pale. Ufumbuzi ni kuwa Tanesco ahamishe nguzo yake lakini wa kugharamia hiyo kazi ni mwenye barabara (sio mkandarasi). Sasa utakuta mwenye barabara hana kasma ya pesa ya kufanya hiyo kazi ya kuhamisha hiyo nguzo.

Kwa hiyo asilaumu mkandarasi mlaumu mwenye barabara kwa sababu alipokuwa akifanya upembuzi yakinifu alipaswa aione hiyo nguzo na aweke hela ya kuihamisha kwenye bajeti yake ya kuijenga bararbara hiyo. Hapo hakuna cha hongo wala rushwa ni upeo tu umepungua kwenye kuona mambo!

Tatizo ni pesa ya kuhamisha miundombinu na kulipa wanaohamishwa.Miradi mingi haiwekewi hiyo bajeti.kwa hiyo service providers huwa wanajikuta wapo kwenye wayleave moja na kila mmoja anataka compasation.Na nchi yetu toka mwanzo imeshindwa suala la mipango miji
 
"Misingi ikiharibiwa mwenye haki atafanya nini..."
Makandarasi husajiliwa kwa kigezo cha uwezo wa mitambo, fedhavna kiasi kidogo wataalamu. Serkali imetifikisha hapo na siyo wakandarasi. tatizo ni serikali tusilaumu mjenzi

Mkuu Mwananzengoo nakubaliana na wewe hii fani ya ukandarasi imevamiwa wakati fani kama za uhasibu au sheria ili upractice lazima uwe wa fani hizo kwenye ukandarasi ni tofauti kabisa kumekaa kibiashara zaidi kuliko kitaaluma.

Na mzizi wa haya yote ni kupoliticize kila kitu
 
Last edited by a moderator:
Kinachoniuma zaidi ni kuwa pamoja na uzembe km huu mkandarasi na watendaji wa serikali wamejichotea mabilioni ya shilingi kwa ujenzi huu feki na hta ukiangalia uimara wa barabara hii unatia mashaka sana!tukiwa km watz tujaribu kuwa wazalendo kdg jmn,tuache kutetea ufisadi km huu!makosa yamefanyika hpa na haipaswi kufumbia macho uzembe huu,mi nko mbeya toka juzi na nimeona uzembe huu na bila shaka kuna sehemu tz vtu km hivi vinaendelea na watu wanaona sawa tu!tuamke na tuache kuona mafisadi km mashujaa vile hz ni kodi zetu jmn.najaribu kutupia picha nyingine za miradi mibovu mbeya zinagoma lkn i hope zitapanda tu!
 
Mikataba yoyote ni lazima iwe na terms kutoka pande zote, na ni lazima zioneshe kila hali, kama kuchelewa, na kucheleweshwa, na adhabu stahiki kutoka kila upande, mkuu inaezekana unaongelea hii mikataba ya kupeana kwa rushwa ambapo mkandarasi kwa kuwa alihonga kupewa tenda, anajaribu asimkwamishe mhandisi kwa kudai fidia ya kucheleweshwa, na ndio kilichotokea hapo.
Mfano wa konoike na ucheleweshaji wa barabara ya morocco ndo exactly poster boy ,ya jinsi mkandarasi timamu anavyo operate, na huwa ni faida kwake kwa kuwa huwa anadai fidia.

Mkuu unaisifu KONOIKE wakati hata huo mkataba wao hatuujui.
Wapi deceleration lanes , kama Nyerere Rd?
Wapi taa za barabarani?
Na umeshatumia hiyo barabara mpya? wapi service roads?
Wapi...wapi...wapi??? matatizo kibao.
Nipe mkataba wao tuuone!!
 
Mimi ni kati ya Watanzania waliokuwa wakitetea sana Wahandisi wazawa kupewa kazi mbalimbali nchini lakini baada ya kuona picha hizi nimesikitika sana!
attachment.php
Mtoa mada hebu tazama picha yako vizuri na tuambie mwenye makosa hapo ni nani, TANESCO au Halmashauri, au kama unavyosema mkandarasi.
Kwa jinsi picha ilivyoonyesha nguzo hazijafuata mipaka ya viwanja, TANESCO wamejibandikia miundombinu yao pale wanapoona wao pana faa bila kufikiria mipaka.
 
Mkuu unaisifu KONOIKE wakati hata huo mkataba wao hatuujui.
Wapi deceleration lanes , kama Nyerere Rd?
Wapi taa za barabarani?
Na umeshatumia hiyo barabara mpya? wapi service roads?
Wapi...wapi...wapi??? matatizo kibao.
Nipe mkataba wao tuuone!!

Du mbona una ni mis qoute mkuu... nilichokuwa na maanisha kuwa kitendo cha konoike kutoendelea na shughuli wakiwasubiri Tanesco,na dawasco warekebishe miundo mbinu, ndo mfano halisi wa mkandarasi anayejiamini, nani kasema anaujua mkataba wa konoike?

Mkuu kumbuka hapa tunachangia kutokana na picha iliyoletwa mtoa mada, na suluhisho kwa nini hali ile imetokea.
Pole kama hukunielwa
 
Lole Gwakisa mi nimeleta hoja tujadili aina hii ya uzembe,mi naona kuna tatizo km c kwa mkandarasi,tanesco au halmashauri bac hta viongozi wa chini walitakiwa kuwajibika!lkn ukweli n kwamba huu ni uzembe mkubwa!
 
Last edited by a moderator:
Inamaana kwenye
1.Mchakato
2.Upembuzi Yakinifu
3.Usanifu wa kina
Hawajaiona hiyo nguzo?
 
Sasa kodi hapo inahusikaje? Relocation ya services kama njia za umeme, simu au maji vinafanywa na wahusika kama Tanesco, ttcl etc hapo huenda Tanesco walitoa gharama kubwa na Client akashindwa. Mkandarasi au mhandisi hahusiki na uhamishaji wa miundo mbinu mingine zaidi ya ile inayomuhusu

Pia tujaribu kutofautisha kati ya mhandisi(Engineer) na mkandarasi(Contractor)

Ebu nisaidie mkuu tofauti ya engineer na contractor?! samahani
 
Una akili za tope. Mkandarasi kosa lake nini hapo? Unajua issue ya mikataba ya kazi za serikali ya ccm wewe? Unalaumu mkandarasi unajua vurugu alizokumbana nazo hadi akaamua kufanya hivo??? siku nyingine fanya utafiti kwanza siyo kutukana wakandarasi wa wazalendo as if wao ndo consultants.

Mkuu haujamwelewa.. mbona ipo wazi sana.. hata hajatukana wakandarasi wazalendo rudia kusoma vizuri alichopost tena.
 
Mkuu Entreprenegro, Engineer(mhandisi) ni mtu mwenye degree au advanced diploma ya uhandisi(Engineering) na mkandarasi(Contractor) ni mtu au kampuni inayofanya kandarasi(Contract) ya kufanya kazi kwa malipo fulani. Contractor anawatumia wahandisi pale inapobidi ili kufanya kazi zake hivyo mhandisi ni mtaalam na Contractor ni kampuni/mwenye kampuni yaweza kuwa mhandisi or even darasa la nne
 
Last edited by a moderator:
Tatizo ni mawasiliano. Mjenzi wa barabara alijenga barabara yake akakuta Tanesco tayari ameshasimika nguzo pale. Ufumbuzi ni kuwa Tanesco ahamishe nguzo yake lakini wa kugharamia hiyo kazi ni mwenye barabara (sio mkandarasi). Sasa utakuta mwenye barabara hana kasma ya pesa ya kufanya hiyo kazi ya kuhamisha hiyo nguzo.

Kwa hiyo asilaumu mkandarasi mlaumu mwenye barabara kwa sababu alipokuwa akifanya upembuzi yakinifu alipaswa aione hiyo nguzo na aweke hela ya kuihamisha kwenye bajeti yake ya kuijenga bararbara hiyo. Hapo hakuna cha hongo wala rushwa ni upeo tu umepungua kwenye kuona mambo!

Uko sahihi kabisa mkuu
 
Du mbona una ni mis qoute mkuu... nilichokuwa na maanisha kuwa kitendo cha konoike kutoendelea na shughuli wakiwasubiri Tanesco,na dawasco warekebishe miundo mbinu, ndo mfano halisi wa mkandarasi anayejiamini, nani kasema anaujua mkataba wa konoike?

Mkuu kumbuka hapa tunachangia kutokana na picha iliyoletwa mtoa mada, na suluhisho kwa nini hali ile imetokea.
Pole kama hukunielwa

Shida ya nchi hii ni kila mtu kujifanya anajua kila kitu hasa hii fani ya ujenzi. Hivi kwenye hiyo blue unafikiri kusubiri au kuchelewa kwa mkandarasi kufanya shughuli fulani unafikiri ni kujiamulia tu eeenh? Hizi kazi ulishawahi kuona hata mkataba wake mmoja au unafikiri ni kama mikataba ya kupanga kwenye nyumba za manzese siyo?
Hapa kuna Client, Consultant na Contractor halafu wanaunganishwa na Contract..... kama hujui hivi vitu vinahusikaje katika project then bora muwe mnapita kimya tu bila kulaumu yeyote maana kwa kulaumu asiyehusika unajichumia dhambi ya bure.... tuache mambo ya vijiweni tunapoingia katika masuala ya kitaalamu jamani!!!!
 
Mikataba yoyote ni lazima iwe na terms kutoka pande zote, na ni lazima zioneshe kila hali, kama kuchelewa, na kucheleweshwa, na adhabu stahiki kutoka kila upande, mkuu inaezekana unaongelea hii mikataba ya kupeana kwa rushwa ambapo mkandarasi kwa kuwa alihonga kupewa tenda, anajaribu asimkwamishe mhandisi kwa kudai fidia ya kucheleweshwa, na ndio kilichotokea hapo.
Mfano wa konoike na ucheleweshaji wa barabara ya morocco ndo exactly poster boy ,ya jinsi mkandarasi timamu anavyo operate, na huwa ni faida kwake kwa kuwa huwa anadai fidia.

Kama unaijua mikataba elewa kwamba lazima mkandarasi aombe kwa maandishi kuongeza muda au kususpend kazi na lazima atoe sababu. Suppose mkandarasi kafuata hizo taratibu lakini akajibiwa kwamba endelea na kazi na hapo paache kama palivyo... wewe ukiwa huyo mkandarasi umejibiwa hivyo na unajiamini kama huyo konoike wako utafanyaje???????????
 
Ni sawa na mweka alama barabarani -Zebra cross kupitisha alama juu ya mzoga wa mbwa na kusema si kazi yake kuuondoa.

Hata hivyo Feasibility study - desgn Eng. alitakiea kuainisha tatzo au emcroachment hii ndani ya RoW ili pesa zitengwe.
 
Back
Top Bottom