Hawa ndio aina ya Makandarasi wetu

Hawa ndio aina ya Makandarasi wetu

hivi unajua kwanini upanuzi wa barabara ya ali hassan mwinyi kutoka morocco hadi mwenge unachelewa???!!! ni kwasababu tanesco na dawasco wanachelewa kuhamisha nguzo na mabomba....sasa KONOIKE wangekuwa na akili kama huyo mkandarasi unaemtetea sasa hivi tungeona hicho kituko zaidi ya mara 20 kutoka mwenge mpaka morocco. KONOIKE wanajua kazi yao ndio maana hawaanzi ujenzi hadi maandalizi yatimie. huyo mkandarasi unaemtetea alikuwa ana haki zote kuto kujenga na kusema nguzo ziondolewe kwani ni hatari sio kwake tu ila kwa kila mtu.
Mkuu achana na mifano ya mikataba ambayo huijui!

Kwa taarifa yako katika mradi uliokamilika hivi karibuni, Bagamyo rd iliyojengwa na KONOIKE, jukumu la kuondoa mabomba ya maji, simu na nguzo za umeme ni la serikali ya Tanzania na si la mkandarasi.
Na hivyo ndivyo imekuwa ikifanyika kwa miradi mingi ya misaada.
 
na wewe sio unakurupuka tu. wapi nimesema ni jukumu la mkandarasi??? nimesema konoike hawaanzi mpaka nguzo ziondolewe kwahio hawawezi kulaumiwa kwa kuchelewa mpaka nguzo ziondolewe, je huyu wa mbeya kwanini hakusubiri nguzo ziondolewe???

btw nimesema from mwenge to morocco ambayo hata haijaanza hio iliokamilika umeitaja wewe.
 
huyo atakuwa anavuta bangi si bure sasa hapo kama magari yako spidi yanatakiwa kupihana na ni wageni njia hiyo unategemea nini
 
hivi unajua kwanini upanuzi wa barabara ya ali hassan mwinyi kutoka morocco hadi mwenge unachelewa???!!! ni kwasababu tanesco na dawasco wanachelewa kuhamisha nguzo na mabomba....sasa KONOIKE wangekuwa na akili kama huyo mkandarasi unaemtetea sasa hivi tungeona hicho kituko zaidi ya mara 20 kutoka mwenge mpaka morocco. KONOIKE wanajua kazi yao ndio maana hawaanzi ujenzi hadi maandalizi yatimie. huyo mkandarasi unaemtetea alikuwa ana haki zote kuto kujenga na kusema nguzo ziondolewe kwani ni hatari sio kwake tu ila kwa kila mtu.

Una akili za tope. Mkandarasi kosa lake nini hapo? Unajua issue ya mikataba ya kazi za serikali ya ccm wewe? Unalaumu mkandarasi unajua vurugu alizokumbana nazo hadi akaamua kufanya hivo??? siku nyingine fanya utafiti kwanza siyo kutukana wakandarasi wa wazalendo as if wao ndo consultants.
 
Mkuu kama unaijua mikataba basi unafanya kile kitu tu ulichoelekezwa.
Na mkandarasi ana lipwa tu kile kilichomo kwenye mkataba.
Hata hivyo hapa naona mtoa kazi na mlipiaji wa kazi yenyewe amesepa gharama za kuhamisha nguzo.

Mikataba yoyote ni lazima iwe na terms kutoka pande zote, na ni lazima zioneshe kila hali, kama kuchelewa, na kucheleweshwa, na adhabu stahiki kutoka kila upande, mkuu inaezekana unaongelea hii mikataba ya kupeana kwa rushwa ambapo mkandarasi kwa kuwa alihonga kupewa tenda, anajaribu asimkwamishe mhandisi kwa kudai fidia ya kucheleweshwa, na ndio kilichotokea hapo.
Mfano wa konoike na ucheleweshaji wa barabara ya morocco ndo exactly poster boy ,ya jinsi mkandarasi timamu anavyo operate, na huwa ni faida kwake kwa kuwa huwa anadai fidia.
 
Una akili za tope. Mkandarasi kosa lake nini hapo? Unajua issue ya mikataba ya kazi za serikali ya ccm wewe? Unalaumu mkandarasi unajua vurugu alizokumbana nazo hadi akaamua kufanya hivo??? siku nyingine fanya utafiti kwanza siyo kutukana wakandarasi wa wazalendo as if wao ndo consultants.

wapi nimemtukana huyo mkandarasi??kama huoni kosa la mkandarasi hapo hata akili za tope huna....ur a jarhead....
 
Mikataba yoyote ni lazima iwe na terms kutoka pande zote, na ni lazima zioneshe kila hali, kama kuchelewa, na kucheleweshwa, na adhabu stahiki kutoka kila upande, mkuu inaezekana unaongelea hii mikataba ya kupeana kwa rushwa ambapo mkandarasi kwa kuwa alihonga kupewa tenda, anajaribu asimkwamishe mhandisi kwa kudai fidia ya kucheleweshwa, na ndio kilichotokea hapo.
Mfano wa konoike na ucheleweshaji wa barabara ya morocco ndo exactly poster boy ,ya jinsi mkandarasi timamu anavyo operate, na huwa ni faida kwake kwa kuwa huwa anadai fidia.

hiki ndio nilichosema nashangaa watu povu linawatoka eti tunamtukana mkandarasi mzalendo!!! seriously ujenge barabara katikati kuna nguzo kisa mkataba!!??
 
Tuko pamoja
 
Mkuu miku sijajua unafanya kazi gani.lakini ukitaka kujua uhondo wa ngoma ingia uicheze.
 
Tutahangaika sana na mambo haya,lakini hapo hadithi ya KALUMEKENGE inahusika inabidi watajane wa mwisho hadi wa kwanza....
 
Mkuu achana na mifano ya mikataba ambayo huijui!

Kwa taarifa yako katika mradi uliokamilika hivi karibuni, Bagamyo rd iliyojengwa na KONOIKE, jukumu la kuondoa mabomba ya maji, simu na nguzo za umeme ni la serikali ya Tanzania na si la mkandarasi.
Na hivyo ndivyo imekuwa ikifanyika kwa miradi mingi ya misaada.

HIvi hata ww ukiwa kama mpishi na ukaletewa sahani chafu unaweza ukapakulia chakula tu hata kama chombo hakikuoshwa kwavile mwenye zamu hakuwepo kuosha? Note:Mkandarasi alizembea, hakutimiza wajibu wake sawasawa.
 
Hiyo barabara utakuta magufuri na kikwete waliifungua kwa mbwembwe zote..nchi ytu inavituko mpka basi.
 
HIvi hata ww ukiwa kama mpishi na ukaletewa sahani chafu unaweza ukapakulia chakula tu hata kama chombo hakikuoshwa kwavile mwenye zamu hakuwepo kuosha? Note:Mkandarasi alizembea, hakutimiza wajibu wake sawasawa.

Mkuu upishi uliozoea na uhandisi ni vitu viwili tofauti.
 
Mikataba yoyote ni lazima iwe na terms kutoka pande zote, na ni lazima zioneshe kila hali, kama kuchelewa, na kucheleweshwa, na adhabu stahiki kutoka kila upande, mkuu inaezekana unaongelea hii mikataba ya kupeana kwa rushwa ambapo mkandarasi kwa kuwa alihonga kupewa tenda, anajaribu asimkwamishe mhandisi kwa kudai fidia ya kucheleweshwa, na ndio kilichotokea hapo.
Mfano wa konoike na ucheleweshaji wa barabara ya morocco ndo exactly poster boy ,ya jinsi mkandarasi timamu anavyo operate, na huwa ni faida kwake kwa kuwa huwa anadai fidia.

Mkuu faida kwa mkandarasi kwa njia ya fidia ni hasara kwa nchi
 
Sasa kodi hapo inahusikaje? Relocation ya services kama njia za umeme, simu au maji vinafanywa na wahusika kama Tanesco, ttcl etc hapo huenda Tanesco walitoa gharama kubwa na Client akashindwa. Mkandarasi au mhandisi hahusiki na uhamishaji wa miundo mbinu mingine zaidi ya ile inayomuhusu

Pia tujaribu kutofautisha kati ya mhandisi(Engineer) na mkandarasi(Contractor)

Unatetea uozo Mkuu!

Kama mhandisi na mkandarasi hawahusiki nani anahusika sasa? Nionavyo Mimi wote hao uliowatetea wanahusika! Nafasi ya mhandisi alipaswa kuyaona hayo wakati Wa feasibility study na kujua barabara itapitaje hapo!?! Pia angeainisha nani atahusika na uhamishaji Wa miundombinu mingine! She.nzy type kabisa!

Mkandarasi alipaswa kuona hiyo miundombinu kuwa ni kikwazo kwenye ukamilishaji Wa mradi wake na kuweka shinikizo kwamba nguzo hizo zihamishwe kwanza! Tatizo la viongozi wetu ni matumizi mabaya ya raslimali, ukute gharama ya uhamishaji Wa nguzo hizo ilifikia 50 milioni badala ya shs.250,000/= shen.zy type kabisa!!!
 
Ha ha ha mkuu Job @K usitoke povu mpaka ukaongea maneno makali, hizi Id zetu fake hizi unaweza jikuta unamtukana mzazi(joking).

All in all hatujui conditions za mradi huenda Client alisema atashughulikia nguzo baadaye, na hawa Tanesco huwa wasumbufu sana unaweza kuta bei ya kuhamisha hiyo nguzo ililingana na gharama ya mradi Client akaona isiwe shida huenda kulikuwa kunakaribia uchaguzi(joking) au mwenye kaya alikuwa na shughuli pande hizo.

Zamani nilisikia huko Mbeya kulikuwa na ziara ya JKN wakuu wa eneo lile walipandikiza mahindi usiku mmoja kabla mkuu hajawasili, alipokuwa anakagua shughuli za maendeleo akawashitukia maana kila muhindi aliougusa ulikuwa unaanguka.

Tuna shida sana kwenye systems zetu, sasa kama tuliowapa dhamana wanapiga chini vipengele vinavyozungumzia uadilifu wa viongozi wa umma what do you expect?
 
Last edited by a moderator:
Ha ha ha mkuu Job @K usitoke povu mpaka ukaongea maneno makali, hizi Id zetu fake hizi unaweza jikuta unamtukana mzazi(joking).

All in all hatujui conditions za mradi huenda Client alisema atashughulikia nguzo baadaye, na hawa Tanesco huwa wasumbufu sana unaweza kuta bei ya kuhamisha hiyo nguzo ililingana na gharama ya mradi Client akaona isiwe shida huenda kulikuwa kunakaribia uchaguzi(joking) au mwenye kaya alikuwa na shughuli pande hizo.

Zamani nilisikia huko Mbeya kulikuwa na ziara ya JKN wakuu wa eneo lile walipandikiza mahindi usiku mmoja kabla mkuu hajawasili, alipokuwa anajagua shughuli za maendeleo akawashitukia maana kila muhindi aliougusa ulikuwa unaanguka.

Tuna shida sana kwenye systems zetu, sasa kama tuliowapa dhamana wanapiga chini vipengele vinavyozungumzia uadilifu wa viongozi wa umma what do you expect?

Ha ha ha haaaa! Ngafu bwana!!

Kwa kweli nchi hii kazi tunayo! Ukute dude la kuchakacheka limepita kuzindua mradi huo!
 
Last edited by a moderator:
"Misingi ikiharibiwa mwenye haki atafanya nini..."
Makandarasi husajiliwa kwa kigezo cha uwezo wa mitambo, fedhavna kiasi kidogo wataalamu. Serkali imetifikisha hapo na siyo wakandarasi. tatizo ni serikali tusilaumu mjenzi
 
Back
Top Bottom