Hawa ndio aina ya Makandarasi wetu

Hawa ndio aina ya Makandarasi wetu

biashara ya ukandarasi hasa unapo-deal na halmashauri ni ngumu na inahitaji roho ngumu kuifanya! ungekuwa na akili ya kupembua mambo kwa umakini ungetafiti kwa nini aliamua kujenga bila kuitoa hiyo nguzo ya umeme! in short you a hard headed guy, you can't learn easily!

sawa smart guy.
 
Hivi unaujua urasimu uliopo linapokuja jambo linalokutanisha mamlaka na au taasisi zetu kwenye utekelezaji wa miradi?

urasimu uliopo unajulikana na kwa maelezo yako mwenyewe gharama zinamwangukia client au?
 
Tuache kuruhusu ujenzi wa miji bila kwanza kupangilia. Hayo sio matatizo ya wakandarasi...ni matatizo ya kufanya mipango miji bila kufuata taratibu
 
urasimu uliopo unajulikana na kwa maelezo yako mwenyewe gharama zinamwangukia client au?

Fanya jambo dogo, from the idea-procurement stages-contract implementation and management and the like. Bado nguzo ipo huoni aibu wewe???????????? naogopa kukupa aka kama alivyofanya mdau hapo juu.
 
acha ujinga kuna asiejua client,consultant,contractor ni nini? mimi nimeishia form 2 lakini kiingereza nakibahatisha. mnanipa wasiwasi nyinyi wenye hio taaluma ya ujenzi mnasapoti huyo mkandarasi kujenga na nguzo ipo barabara. ndio maana povu linawatoka ni wabovu acha wachina wapewe kazi.

ha ha ha ha punguza jazba mkuu you need to learn a lot concerning this trade:CONSTRUCTION BUSINESS IN TANZANIA ESP. WHEN DEALING WITH GOVT OFFICES! usitokwe tu na mapovu! kwanini hujiulizi mtu analipia gharama kuwekewa umeme kwenye jengo lake lakini inawachukua TANESCO MIAKA 2 KUMHUDUMIA! mkandarasi is just doing business na wahusika wamemwambia aachane na nguzo yeye atengeneze barabara! kama huridhiki kawauulize mhandisi na city director kwa nini nguzo ya umeme barabarani!!!!!!!!!!!!!??
 
Tatizo ni mawasiliano. Mjenzi wa barabara alijenga barabara yake akakuta Tanesco tayari ameshasimika nguzo pale. Ufumbuzi ni kuwa Tanesco ahamishe nguzo yake lakini wa kugharamia hiyo kazi ni mwenye barabara (sio mkandarasi). Sasa utakuta mwenye barabara hana kasma ya pesa ya kufanya hiyo kazi ya kuhamisha hiyo nguzo.

Kwa hiyo asilaumu mkandarasi mlaumu mwenye barabara kwa sababu alipokuwa akifanya upembuzi yakinifu alipaswa aione hiyo nguzo na aweke hela ya kuihamisha kwenye bajeti yake ya kuijenga bararbara hiyo. Hapo hakuna cha hongo wala rushwa ni upeo tu umepungua kwenye kuona mambo!

Hakuna sababu utayotoa itakayomuondoa mkandarasi kwenye lawama ya moja kwa moja.mkandarasi aliyefuzu hawezi fanya huu upuuzi.
 
ha ha ha ha punguza jazba mkuu you need to learn a lot concerning this trade:CONSTRUCTION BUSINESS IN TANZANIA ESP. WHEN DEALING WITH GOVT OFFICES! usitokwe tu na mapovu! kwanini hujiulizi mtu analipia gharama kuwekewa umeme kwenye jengo lake lakini inawachukua TANESCO MIAKA 2 KUMHUDUMIA! mkandarasi is just doing business na wahusika wamemwambia aachane na nguzo yeye atengeneze barabara! kama huridhiki kawauulize mhandisi na city director kwa nini nguzo ya umeme barabarani!!!!!!!!!!!!!??

kama ungesema hili na kuweka ushahidi wala hamna mtu angemlaumu mkandarasi mwenzenu. naona mmekuwa wakali kweli.
 
hivi unajua kwanini upanuzi wa barabara ya ali hassan mwinyi kutoka morocco hadi mwenge unachelewa???!!! ni kwasababu tanesco na dawasco wanachelewa kuhamisha nguzo na mabomba....sasa KONOIKE wangekuwa na akili kama huyo mkandarasi unaemtetea sasa hivi tungeona hicho kituko zaidi ya mara 20 kutoka mwenge mpaka morocco. KONOIKE wanajua kazi yao ndio maana hawaanzi ujenzi hadi maandalizi yatimie. huyo mkandarasi unaemtetea alikuwa ana haki zote kuto kujenga na kusema nguzo ziondolewe kwani ni hatari sio kwake tu ila kwa kila mtu.

Kaka kuna watu wanachojua wao ni kutetea tuu...nadhani ni maslahi binafsi
 
Fanya jambo dogo, from the idea-procurement stages-contract implementation and management and the like. Bado nguzo ipo huoni aibu wewe???????????? naogopa kukupa aka kama alivyofanya mdau hapo juu.

sipo concerned na watu wanaopenda kutukana wata,u can as well do that, sawa mkandarasi mwenzenu hana kosa hapo.
 
Hakuna sababu utayotoa itakayomuondoa mkandarasi kwenye lawama ya moja kwa moja.mkandarasi aliyefuzu hawezi fanya huu upuuzi.

Kaka tuko pamoja ila kuna watu inaonesha wana maslahi kwenye hivi vitu, kiukweli kabisa kandarasi.timamu hawezi kuji engage kwenye ujenzi ambao anajua kabisa utamuharibia cv yake.
 
Kaka tuko pamoja ila kuna watu inaonesha wana maslahi kwenye hivi vitu, kiukweli kabisa kandarasi.timamu hawezi kuji engage kwenye ujenzi ambao anajua kabisa utamuharibia cv yake.

ha ha ha ha ila mkurugenzi wa jiji, meneja wa tanesco mkoa na mhandisi wa jiji wao wana akili kwa kushindwa kuiondoa hiyo nguzo???? na wewe ambaye huna maslahi binafsi kwa nini usiwalaum hao watatu kwa kushindwa kuitoa hiyo nguzo ya umeme?????
 
Kama wataalamu wetu mmefikia hatua hii basi ni hatari, Inawezekana kweli mimi ni mtu wa kijiweni, lakini sio kwamba sijui..
Tatizo hapa ni kutia siasa kwenye mambo ya kitaalam, na ndio sababu kila siku tunajengewa barabara mbovu,
Iko hivi,
Client anataka kitu ilichokamilika cha world standard
Consultant ndo anawaunganisha
Contractor ndo mwenye dhamana yote ya project, kwa taarifa yako mkandarasi timamu hawezi kukubali kuendelea project ambayo anahisi itamuharibia sifa yake, au hata kumchafulia , kwa kesi ya hii picha, hiyo nguzo halikuwa jukumu la mkandarasi, na kama kweli ni timamu toka siku wanafanya site viewing akiwa na client ilitakiwa hilo swala liwe limeshakuwa wazi kwa kandarasi ili lisiwe kikwazo na kumalizia muda wake ambao pia ni pesa nyingi.

Hivi kwa hii picha , unadhani inamuharibia nani, client au contractor? ,when worse come kama ghorofa yaliyoanguka unadhani mkandarasi anabaki salama,
?[/QUOTE

Hah,haaa,haaaaaaa! mazombie ndo watamlaumu contractor kwa picha hii, unless tests zilizofanyika ziwe zimefail ndo utakuwa na haki ya kusema kazi yake imeharibika. Unaweza kuongea sana but mwisho wa siku rudi katika contract agreement kujiridhisha kwamba jamaa ametimiza majukumu yake!!!
 
Sikiliza mleta mada.....ukiwa na rais kilaza, kila kitu kitakwenda sawa na msimamo wake. Jiulize, unafikiri ingekuwa enzi za Nyerere mkandarasi anajenga kitu namna hii angeachiwa? Unajuwa ni kwa nini? Umepata jibu?
 
Mbeya hii....

Jamani tatizo si mkandarasi nadhani ni "client" Yaani mtoa kazi hakuweza kuandaa utaratibu ambao ungewezesha idara ya tanesco kutoa nguzo hiyo, lakini pia tuwe wakweli kwa kusema hali iliyopo kimahusiano kati ya idara moja ya serikali na nyingine kuwa ni ngumu kiasi cha wakati fulani kuwa rahisi kufanya wawasiliano na nchi jirani na mambo yakafanyika haraka.
 
Kesi unayoonglea ni tofauti kaka, kuna dharula zinakubalika sio kila kitu , labda tuseme kokoto aliyotegemea ilikuwa natoka sehemu x, halafu ghafla sehemu hiyo kokoto zikaadimika, hapo mkandarasi anaweza andika barua akielezea hali halisi.kuwa kokoto sasa zinatoka sehemu' y' hivyo naomba kuongezwa muda,

Hapa tunazungumzia nguzo ambayo kimsingi kandarasi aliiona toka siku anafanya site viewing akiwa na client pamoja consultant, unataka kuniambia alianza project bila kuelewa mustakabali wa hiyo nguzo?

Daaaaah! nimekuelewa sasa wala sihangaiki na wewe tena,jf yote wanakusaidia but huelewi.... haya endelea kutokwa povu wakati jamaa anapiga hela!!!!!
 
Wakuu narudia tena ukandarasi ni biashara na kamwe siyo taaluma. Swala la cv kama 1 alivyodai halipo hasa kwa nchi kama hii. Huyu ataendelea kupewa kaz hata kesho. Tatizo siyo lake ni mfumo. Wanaolaumu hawajui hii industry inavyoendeshwa hapa tz. Msitoke povu kwa jazba. Hahahaaaa.
 
Upumbavu mmoja hauhalalishi mwingine ndugu....na kwa kuwa sense of humour imeondoka miongoni mwetu ndio maana tunashabikia kila kitu mradi tu eti "mkandarasi anapiga hela"
Hili si jambo la kuentertain sisi kama wananchi...
Wote ni wa kuwajibishwa(mkandarasi,client na tanesco)
 
VITUKO MITAANI NANI ALAUMIWE KATI YA JIJI NA TANESCO MBEYA KWA KITUKO HIKI?

Hii hatari kwa waendesha magari nyakati za usiku hii nguzo ipo barabara mpya jirani ya bustani ya jiji eneo la uwanja wa sokoine jijini Mbeya

Picha yenyewe inajieleza je mnasubiri ajali itokee ndiyo mchukue hatua?

Hii hatari sana

Mi nawaza hayo mawe kwenye windshield ukipishana na gari lingine.
 
Back
Top Bottom