Hawa ndio aina ya Makandarasi wetu

Hawa ndio aina ya Makandarasi wetu

Maswali hayako hayana maana yoyote kwani sijasema mkandarasi ndio angehamisha hiyo nguzo... nimesema angetumia busara... eg kutojenga hiyo sehemu. Hii ni valid reason kuliko kuweka nguzo yenye umeme wa msongo mkubwa ndani ya barabara. Maafa yake ni makubwa! Binadamu hatufanyi kazi kama marobot!

Maswali yangu yalilenga kujua kitu fulani kutoka kwako. Nimefanikiwa hilo. Ila kukusaidia ni kwamba
in management of civil engineering contracts wisdom is to execute projects in accordance with the contract na si vinginevyo!
 
Nchi ikifikia hapo jua mlie. Msubiri "gharika" ya mungu ili kila kitu kianze upya. Yabidi aje MALAIKA ndo nchi irejee kuwa na sifa ya kuishi watu.
 
Maswali yangu yalilenga kujua kitu fulani kutoka kwako. Nimefanikiwa hilo. Ila kukusaidia ni kwamba
in management of civil engineering contracts wisdom is to execute projects in accordance with the contract na si vinginevyo!
Wacha hizo blah blah zisizo na maana mazee! Hujajua chochote kutoka kwangu ila unazidi kuongea kama wewe ndio huyo mkandarasi ''robot'' aliyefanya hayo mahoka! Hata ugonge gonge kichwa changu na nyundo kama alivyosema mmoja ya watetezi wako lakini mimi huu ujinga siwezi kuuelewa sembuse kuukubali. Bado hujaniambia ni kwanini huku-skip hicho kisehemu, jambo ambalo lingekuwa la busara zaidi. Halafu basi... hizo terms za contract hazisemi unapotokea ucheleweshaji wa eg uondoaji wa nguzo kutoka kwa mhusika A mhusika B afanye nini? Au mlikubalina kuwa mjengee ''nguzo ndani ya barabara'' (Haa haa haa ..hii nayo ni mahoka nyingine ambayo ni made only in Tanzania by Tanzanian contractors)
 
Wacha hizo blah blah
zisizo na maana mazee! Hujajua chochote kutoka kwangu ila unazidi
kuongea kama wewe ndio huyo mkandarasi ''robot'' aliyefanya hayo mahoka!
Hata ugonge gonge kichwa changu na nyundo kama alivyosema mmoja ya
watetezi wako lakini mimi huu ujinga siwezi kuuelewa sembuse kuukubali.
Bado hujaniambia ni kwanini huku-skip hicho kisehemu, jambo ambalo
lingekuwa la busara zaidi. Halafu basi... hizo terms za contract
hazisemi unapotokea ucheleweshaji wa eg uondoaji wa nguzo kutoka kwa
mhusika A mhusika B afanye nini? Au mlikubalina kuwa mjengee ''nguzo
ndani ya barabara'' (Haa haa haa ..hii nayo ni mahoka nyingine ambayo ni
made only in Tanzania by Tanzanian contractors)

Kwa akili yako unaamini kazi ile imefanyika nguzo zikiwa pale? Utakuwa ni kilaza wa ajabu sana!

Fikiria:
roller, grader, water bowser, chip spreader, nk zilifanyaje kazi ktkt ya nguzo?
 
Kwa akili yako unaamini kazi ile imefanyika nguzo zikiwa pale? Utakuwa ni kilaza wa ajabu sana!

Fikiria:
roller, grader, water bowser, chip spreader, nk zilifanyaje kazi ktkt ya nguzo?

Kwa akili yangu naweza kuamini kabisa kuwa kazi kama ile INAWEZA kufanyika nguzo ikiwepo (note: sijasema ilifanyika nguzo ikiwepo ila nimesema INAWEZA KUFANYIKA nguzo ikiwepo). Sasa wewe kama una uhakika ilifanyika kabla ya nguzo kuwepo ilitakiwa useme tangu mwanzo kuwa: ''jamani msinisulubu bure! Ilianza barabara na baadae ndio ikawekwa nguzo''. Mimi nimekosoa kilichowakilishwa mbele yangu na sio AMBACHO NINGEHISI. Lesson number one: Kutetea uzembe bila kuonekana mzembe sio rahisi!
 
Mimi ni kati ya Watanzania waliokuwa wakitetea sana Wahandisi wazawa kupewa kazi mbalimbali nchini lakini baada ya kuona picha hizi nimesikitika sana!
attachment.php

Ndugu ulichokiandika hukijui, mkandarasi anapewa kujenga barabara bila kupewa gharama za kuondoa hiyo kitu ambacho kipo chini ya taasisi ya serikali, Tanesco au posta inabidi walipwe ili waondoe miundo mbinu yao na siyo juu ya mkandarasi.
 
Maswali hayako hayana maana yoyote kwani sijasema mkandarasi ndio angehamisha hiyo nguzo... nimesema angetumia busara... eg kutojenga hiyo sehemu. Hii ni valid reason kuliko kuweka nguzo yenye umeme wa msongo mkubwa ndani ya barabara. Maafa yake ni makubwa! Binadamu hatufanyi kazi kama marobot!
Mkuu inaelekea huna habari na kanununi za kandarasi, unajenga kile ulichoambiwa kujenga na mkataba, no less no more!
Halafu hapo nani kaiweka nguzo barabarani, mkandarasi au TANESCO?
Jiridhishe na hizo querries kwanza.
 
Kwani nimesema ajenge less or more? Hata hivyo hujafanya kazi bure... umenifungua macho na masikio! Kuwa ''mkataba ulisema ajengee nguzo yenye umeme ndani ya barabara''. Just like that! No more no less! BTW sisi tuna-comment kilichowasilishwa mbele yetu. Sasa kama wewe unajua baada ya mkandarasi kumaliza kujenga barabara ndio Tanesco walikuja kuweka hiyo nguzo ungetuelewesha na tungeelewa. Ndio maana ya forum...
 
Back
Top Bottom