t blj
JF-Expert Member
- Dec 2, 2011
- 7,120
- 16,967
Shida ya nchi hii ni kila mtu kujifanya anajua kila kitu hasa hii fani ya ujenzi. Hivi kwenye hiyo blue unafikiri kusubiri au kuchelewa kwa mkandarasi kufanya shughuli fulani unafikiri ni kujiamulia tu eeenh? Hizi kazi ulishawahi kuona hata mkataba wake mmoja au unafikiri ni kama mikataba ya kupanga kwenye nyumba za manzese siyo?
Hapa kuna Client, Consultant na Contractor halafu wanaunganishwa na Contract..... kama hujui hivi vitu vinahusikaje katika project then bora muwe mnapita kimya tu bila kulaumu yeyote maana kwa kulaumu asiyehusika unajichumia dhambi ya bure.... tuache mambo ya vijiweni tunapoingia katika mas uala ya kitaalamu jamani!!!!
Kama wataalamu wetu mmefikia hatua hii basi ni hatari, Inawezekana kweli mimi ni mtu wa kijiweni, lakini sio kwamba sijui..
Tatizo hapa ni kutia siasa kwenye mambo ya kitaalam, na ndio sababu kila siku tunajengewa barabara mbovu,
Iko hivi,
Client anataka kitu ilichokamilika cha world standard
Consultant ndo anawaunganisha
Contractor ndo mwenye dhamana yote ya project, kwa taarifa yako mkandarasi timamu hawezi kukubali kuendelea project ambayo anahisi itamuharibia sifa yake, au hata kumchafulia , kwa kesi ya hii picha, hiyo nguzo halikuwa jukumu la mkandarasi, na kama kweli ni timamu toka siku wanafanya site viewing akiwa na client ilitakiwa hilo swala liwe limeshakuwa wazi kwa kandarasi ili lisiwe kikwazo na kumalizia muda wake ambao pia ni pesa nyingi.
Hivi kwa hii picha , unadhani inamuharibia nani, client au contractor? ,when worse come kama ghorofa yaliyoanguka unadhani mkandarasi anabaki salama,
?